AUCHO ALIVYOPEWA MAOKOTO NA WANANCHI MWENYEWE ASHINDWA KUJIZUIA UWANJA WA KMC DHIDI YA KEN GOLD

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025
  • #DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

Комментарии • 201

  • @Boazituyishime
    @Boazituyishime 5 часов назад +17

    Hili ni jambo zuri sana. Upendo wa kweli... Aucho the best midfielder of all time

  • @KaungaDory
    @KaungaDory 5 часов назад +9

    Aisee Yanga umeweza kuwapambania wachezaji wetu hongeren sanaa wananchi wenzangu🎉🎉🎉❤❤❤

  • @onesmombele2571
    @onesmombele2571 2 часа назад +1

    Huyu jamaa utafikili ni mtanzania. Maana anapambana km timu yakwake. Hongela Yako kaka
    Mm usipokuwepo uwanjani naumwa. Hapa pale ulivyotolewa nilichukia. Nakubali sana kazi Yako. Namuomba mungu azidi kukupa nguvu ya kucheza mpila. Tena ustafu ukiwa yanga. 1 love

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 4 часа назад +7

    Hongera injinia hersi furaha tunapata huna baya President

  • @MichaelVicent-b8f
    @MichaelVicent-b8f 5 часов назад +13

    Limenivuta hisia sana hii huyu mwamba anavuja dam na jasho yupo tayari aumie lakin tim iwe salama

  • @nicksonmlay542
    @nicksonmlay542 5 часов назад +4

    Mu Favorite and all time Midfielder Aucho

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 21 минуту назад

    Sema Aucho pia anaupendo na sisi ingekua mchezaji mwengine angekua ashaondoka zake we love you Doctor

  • @KispanmeshiliMollely
    @KispanmeshiliMollely 3 часа назад +2

    ❤❤wananchi wanavyopenda timu yao hongereni wananchi

  • @Roy45Drama
    @Roy45Drama 5 минут назад

    Sijakosea kuipenda Yanga 💚💛💪
    Aucho the best

  • @myself-T2
    @myself-T2 5 часов назад +4

    this is what we call love,daima mbele nyuma mwiko

  • @Elasmo_talent
    @Elasmo_talent 4 часа назад +7

    Hili jambo lina mpa hasira ya kupambana trh 8 , sijamtaja mtu😂😂 🏃🏽🏃🏽🏃🏽

  • @cornelphilipo2976
    @cornelphilipo2976 5 часов назад +7

    Vizuri sana na appreciate

  • @LeonardPhilimon-p2u
    @LeonardPhilimon-p2u 5 часов назад +7

    safi sana yanga tuna upendo na wachezaji wetu

  • @braymwakaburufu1130
    @braymwakaburufu1130 5 часов назад +7

    Safi sana wananchi

  • @AngelMtumbuka
    @AngelMtumbuka Час назад

    So lovely ❤

  • @violethkalinga2980
    @violethkalinga2980 3 часа назад

    We recognize you our friend 😂😂😂😂😂❤❤❤

  • @JamilaMbaruk-j3m
    @JamilaMbaruk-j3m 5 часов назад +5

    Yanga ni timu yenye upendo sanaa

  • @Beatricemwakateba-lz2fb
    @Beatricemwakateba-lz2fb 5 часов назад +23

    Ilo begi ni mshaara anao lipwa ateba

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 Час назад

    Adi Rahaa Bwana Hii Ndio Yanga Cjui Makolo Wanatesekeya Wapiii😂😂😂😂😂

  • @WAIGAMAkadinaliWAIGAMA
    @WAIGAMAkadinaliWAIGAMA 4 часа назад +1

    Tazama ilivyo vema ndugu kukaa pamoja kwa upendo ❤❤❤❤

  • @NassorSalum-m7r
    @NassorSalum-m7r 2 часа назад +2

    Mungu akuepushe na anasa za dunla

  • @williammajinge-fy3xp
    @williammajinge-fy3xp 3 часа назад +1

    Mwenyezi Mungu akulinde uendelee kuipambania timu

  • @FireboyFireboy-f1s
    @FireboyFireboy-f1s 2 часа назад

    Big up n 💪

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 4 часа назад

    Hii kibegi inaminoti 😮😮😮😮😮😮😮😮yangaa mnaupendo na wachezaji 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AnsethiThomsoni
    @AnsethiThomsoni 4 часа назад +2

    Yanga rahh ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 4 часа назад +1

    Yanga 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @geraldmbengwa6381
    @geraldmbengwa6381 4 часа назад +3

    Dhambi za Aucho apewe Ahmed Ally 😂😂😂

  • @SifaKasimu
    @SifaKasimu 5 часов назад +2

    Jaman raha sana❤

  • @SelemanMagambo
    @SelemanMagambo 5 часов назад +2

    YANGA BINGWA 💚💚💚👈

  • @ManjaHisani
    @ManjaHisani 5 часов назад +4

    Dah hii yanga kila mchezaji anatamani kuichezeya

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 4 часа назад +1

    Doctor wa mpira🎉🎉🎉🎉🎉🎉aucho 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉💯

  • @AneirAme
    @AneirAme 5 часов назад +1

    Ni zaid ya upendo. ❤

  • @AllyMasangaluka-bm5ib
    @AllyMasangaluka-bm5ib 3 часа назад +1

    Lahah ll upati tz popote zaidi ya yanga timu yamfano

  • @jennifergodfrey7145
    @jennifergodfrey7145 4 часа назад

    Aucho amepata ela nyingi san yani❤❤❤

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu 3 часа назад

    Yanga raha sana 🎉🎉🎉

  • @GodwinMtungi
    @GodwinMtungi Час назад

    Good nice anastahili mechi ijayo diara

  • @alihussein4303
    @alihussein4303 4 часа назад +3

    Hii zaidi ya Upendo. Big up Wananchi Big up Yanga💛💚

  • @Imirirotvshow
    @Imirirotvshow 4 часа назад +1

    Hiyi ni rayon sports ya rwanda buana team za wanaichi 💪

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 Час назад

    Ongera San Wachezaji Watu Ninaimani Kubwa Kupitiya Ili Watatiya Bidii Sana Maana Wanajuwa Kuna Posho Kupitiya Mashabikiiiii

  • @MohamedAlly-sn2hf
    @MohamedAlly-sn2hf Час назад

    Hongera wananchi

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 4 часа назад +1

    Raha zote unazipata yanga 🙌🙌🎉🎉

    • @KhalfaniFarisy-c3w
      @KhalfaniFarisy-c3w 37 минут назад

      Uwongo Raha zipo Kwa Mungu Kwa atakae shika amri zake

  • @ndulatv2373
    @ndulatv2373 4 часа назад +2

    Love over love

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 4 часа назад

    Safi sana wanainchi 💚💛💛💚💚💚💛💚💚

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 4 часа назад +1

    Nachangieni mtaji wananchi hamna baya 🎉😊😊😊😊😊

    • @RestyLeopold
      @RestyLeopold 4 часа назад

      Sema umeniwah tu ndugu😂😂

  • @HassaniHamza-e4t
    @HassaniHamza-e4t 2 часа назад

    Nimependa sana na AUCHO Mimi nampenda sana mtu wa mpira alikuja kama utani hakuimbwa sana kiivo kawajibu uwanjani

  • @KengwaSaad
    @KengwaSaad Час назад

    Mwamba kabisa,,mungu atujalie uzima

  • @hggvg9809
    @hggvg9809 3 часа назад

    Doctaaaaaaaaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Iam_cleva
    @Iam_cleva 5 часов назад +2

    Beg mbona litajaa😅

  • @MADUHUSALU
    @MADUHUSALU 4 часа назад

    Naomba next game apewe job the captain shark🦈

  • @FettyMsuya-p8f
    @FettyMsuya-p8f 5 часов назад +3

    Aucho tunakupenda sanaaa❤

  • @IdrissaMasoudy
    @IdrissaMasoudy 4 часа назад

    Saf sana mtukaz aucho 😊😊😊😊

  • @MartinjochimGaudens
    @MartinjochimGaudens 2 часа назад

    Mmeweza xana wananchi Mungu awaingezeee mlipopunguza

  • @MuscatKing-h9z
    @MuscatKing-h9z 4 часа назад

    ❤❤❤❤

  • @HusseinMiraji-p2j
    @HusseinMiraji-p2j 3 часа назад +1

    Haituhusu hata kama analipwa ateba kikubwa aucho kapewa hela

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 4 часа назад

    Ya aucho nilikuwa na isubiri mm nitatuma kwenye cm m pesa💚💛🙏 yanga laha ata ukitufunga tunalipa maomoti🙏🙏💚💛🙏🙏

  • @Muna-en4yq
    @Muna-en4yq 5 часов назад +3

    Mchizo ujao apewe job sada ama diara

  • @CharlesMpepo
    @CharlesMpepo 3 часа назад

    💚💛💚💛

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 5 часов назад +1

    🎉🎉🎉

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 3 часа назад

    Hiindioyanga asante wananchi ❤❤❤

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 4 часа назад

    Aucho 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 4 часа назад

    Aucho 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @hamisamajoka3284
    @hamisamajoka3284 4 часа назад +1

    💚💛💚💛💚👏👏

  • @rejinakweka2469
    @rejinakweka2469 4 часа назад

    hongereni sana

  • @Arashamael
    @Arashamael 5 часов назад +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @JescaLiani
    @JescaLiani 4 часа назад

    💚💛

  • @MariamZanzibari
    @MariamZanzibari 4 часа назад

    Wananchi.mnatisha sana hongereni

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 15 минут назад

    Wananchiiiiiii hamna bayaa ila mueke no kuna watu wako nje ya nchi

  • @Yassin-z6o
    @Yassin-z6o 4 часа назад

    Kuna watu wanaumia kwa hili jambo la kuwatunza wachezaji. Wataumwa sana😂😂😂

  • @ottutv6490
    @ottutv6490 3 часа назад

    Ahaa Leo aucho kakusanya hela

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 3 часа назад +2

    Yani saivi mashabiki ndo wanalipa mishahara wachezaji imekwisha utopolo😢😅😅

    • @ElizaMwandezi
      @ElizaMwandezi 3 часа назад

      Daaaaaaaah xina budi kukupa pole

    • @josephfrank4446
      @josephfrank4446 3 часа назад +1

      @ElizaMwandezi pole ya nn imetangazwa hio kila mechi mnamchangia mchezaji sasa kwan hawana mishahara 🤣🤣

    • @Mariacc699
      @Mariacc699 2 часа назад

      Ulivyo na roho ya kimaskini dume zima akili huna... Eti miahahara. Ka jinga.. Kolokwinyo Kolozidad

    • @uswegemwakalobo6220
      @uswegemwakalobo6220 2 часа назад

      Kolo wanashida sana, kwani huo ni mshahara?

    • @josephfrank4446
      @josephfrank4446 2 часа назад

      @uswegemwakalobo6220 ndo mishahara yenyewe sasa 🤣

  • @DoryGeorge
    @DoryGeorge 4 часа назад

    Safi aucho

  • @KudraEliasa
    @KudraEliasa 3 часа назад

    Nic San aucho

  • @KINGCUT-b6q
    @KINGCUT-b6q 2 часа назад

    doctor

  • @JackDaniel-f3x
    @JackDaniel-f3x 2 часа назад

    Saf Sana wanaishi mnajua kuishi na wachezaje hapo hata kama ukamwabia mchezaji aondok lazma aumize kichwa mana anaishi Kwa upendo sana

  • @scopy0428
    @scopy0428 4 часа назад

    Hii ni zaid ya upendo kwake na kwetu kama mashabik huyu mwamba anajitoa sana arafu sio mtu wa mitandao Mwenyeez Mungu amlinde

  • @Muna-en4yq
    @Muna-en4yq 5 часов назад +2

    Aucho hakuna kuondoka yanga plz tunataka ustafu mpira ukiwa yanga plz

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 5 часов назад

      Hii ndo yanga upendo mwingi...always happy💚💛

  • @DicksonWilliam-t1x
    @DicksonWilliam-t1x Час назад

    dah najikuta natoa machoz ya furaha kwa tim yangu

  • @HalimaSaid-d2s
    @HalimaSaid-d2s 4 часа назад

    Safi sana

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 4 часа назад

    Semaji akilinda maokoto😅😅😅😅😅

  • @ElizaMwandezi
    @ElizaMwandezi 3 часа назад

    Kweli yangaaaa rahaaaaaa Sasa apo wenzetu MASHUJAA badala ya kujifunza utawaona😂😂😂😂😂

  • @AidanSosy
    @AidanSosy 2 часа назад

    Binge liwaaangalie sana Ali kamwe ; aakmed aliii na Christina muagala; wawawekee posho zao Kila wiki; wanapambania sana soka la kwe2 !!!!

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 3 часа назад

    Huo nimshahara wa😂😂😂ateba kabisa duu

  • @AziCure
    @AziCure 4 часа назад

    Okota kk okota🎉🎉🎉

  • @aronyhussein8545
    @aronyhussein8545 2 часа назад

    😂😂😂😂😂❤❤❤

  • @furahaluvanda5317
    @furahaluvanda5317 3 часа назад

    Hakuna timu nyingine yenye UPENDO KAMA HIVI zaidi ya YANGA. BRAVO SANA WANANCHI

  • @FatumaIssa-m7i
    @FatumaIssa-m7i 4 часа назад +1

    Aya fanyeni na. Mikoni mukienda

  • @FaustinMagwala
    @FaustinMagwala 5 часов назад +5

    Nimependa sana hakika sisi yanga tunaweza

  • @MalinoKadwame-u1c
    @MalinoKadwame-u1c 3 часа назад +1

    Tutakums san doctor hakik unatup burudan san

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba 3 часа назад

    Haya kolo igeni na hiyo masna injinia alitoa somo namna gani kiongozi wa mpira anatakiwa kuwa karibu na timu na kuusaka hushindi, msimu huu tumewaona viongozi wa makolo nao wameaka na kuongozana na timu.

  • @AshaChilumba-f1l
    @AshaChilumba-f1l 3 часа назад

    Kwan mtaa wa pili mbona wachezaji wao awapewi maokoto😅 sijataja.jina

  • @WilonjaHatua
    @WilonjaHatua 5 часов назад +1

    Haya sasa nawengine waige sasa hii ndio yanga hatupoi na hatuboi

  • @MwajumaAbdallah-h9c
    @MwajumaAbdallah-h9c 4 часа назад

    Good wananchiiiiiiii

  • @StanleyStanley-j2w
    @StanleyStanley-j2w 4 часа назад

    Yanga tamu

  • @ShakiraBeka
    @ShakiraBeka 4 часа назад

    Nime pendanda sana hongereni wananch

  • @petermbezi202
    @petermbezi202 3 часа назад

    WENYE D 2 TUMESHAELEWA. KONGOLE SANA MSEMAJI WETU KAMWE

  • @mtalimaaloyce7860
    @mtalimaaloyce7860 3 часа назад

    Wachezaji wamekua omba omba😂😂

  • @hamisishabani4072
    @hamisishabani4072 4 часа назад

    HAWA NDIO WANANCHI WENYE MAPENZI NA WANAJESHI WAO.MADUNDUKA WANAUUUMIIIA!!

  • @MwegasonWilliam-h9x
    @MwegasonWilliam-h9x 7 минут назад

    Mm natabili leo hii isevuni hii siku ya leo talehe 8 yanga anashinda ambae atafunga goli ni mzize utabiliwangu kutoka kigoma asist atatoa k azizi

  • @bundalacharles234
    @bundalacharles234 3 часа назад

    Hiii ndio yangaaaaa

  • @filemonkwaja6181
    @filemonkwaja6181 4 часа назад

    Yanga bingwa