BAADA YA KATEMBEZA DOZI YA UBAYA UBWELA JESHI LETU LA MNYAMA LIMEANZA SAFARI YA KUREJEA NCHINI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 55

  • @Ommybabaa47
    @Ommybabaa47 29 дней назад +4

    ❤️ ALHAMDULILLAH ❤️ 🇹🇿 🇦🇪 BISMILLAH ❤️ 🇹🇿 🇦🇪 Inshallah safar njema yenye Baraka Tele UBAYAAA UBWELAA 🎉

  • @MagrethCostantine
    @MagrethCostantine 29 дней назад +1

    Mungu awatangulie katika safari yenu wana runyasi mfike salama makamanda wetu, kocha wetu Fadru, semaji wetu wa caf na benchi lote la ufundi

  • @agripinaapolinary1362
    @agripinaapolinary1362 29 дней назад +1

    Hongera sana Makamanda wetu na benchi la ufundi, Semaji letu Ahmed Ally, Mungu azidi kuwatangulia mfike salama nyumbani ❤❤❤❤

  • @ZakariaSandi-q7i
    @ZakariaSandi-q7i 27 дней назад

    UBAYA UBWELA ❤❤❤

  • @Christopher-c1x
    @Christopher-c1x 29 дней назад

    wanasimba wenzangu nawakumbusha kurudisha SHUKURANI KWA MUNGU kwani kwa uweza wake tulipata ushindi away . tufanye hivyo ili tupate kibali tena Cha kumuomba tena v bravo

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 29 дней назад +1

    Mungu ni mwemaaa mtafika salama tyuuu

  • @Esther-v9s8n
    @Esther-v9s8n 29 дней назад +3

    Kila la kheri safiri salama

  • @nurdinmvellah4032
    @nurdinmvellah4032 29 дней назад

    Mmejua kutufurahisha, mungu awatangulie

  • @GatsonGweso
    @GatsonGweso 29 дней назад +1

    Ubaya ubwela mungu akubariki sote

  • @N0RBETHMPOLOSI
    @N0RBETHMPOLOSI 29 дней назад +1

    Kila la heri timu ya ndoto ya wana msimbazi nguvu moja one team one dream forever UBAYA UBWELA

  • @tumaini37
    @tumaini37 29 дней назад +3

    Tunawatakia safari njema, Mungu awalinde mfike salama❤❤❤❤😂

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 29 дней назад

    Mungu ni mwema

  • @ashuraally9064
    @ashuraally9064 29 дней назад

    Safari njema mungu awalinde

  • @Mariah-r1o
    @Mariah-r1o 29 дней назад +3

    CHASAMBI ukirudi bongo jitahidi ata kuwakimbia waandishi au jus jinsi ya kujibu maswali usitukwaze

  • @Kacimbaz
    @Kacimbaz 29 дней назад +9

    Ubaya ubwela ♥️♥️ ila sas muunge mpk bravo huko huku tutawapokea wik ijayo

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 29 дней назад

    Tunawatakia msafiri salama kurudi nyumbani Simba nguvu moja

  • @joachimgolola62
    @joachimgolola62 29 дней назад

    Nawatakia safari njema🎉

  • @thehustlerafrica
    @thehustlerafrica 29 дней назад

    Good thing for is that no first 11 eleven any one is in first 11 and can play and win for the club

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 29 дней назад

    Waiu l jeshi safari salama

  • @kudrathmohammed
    @kudrathmohammed 29 дней назад

    Jaman naomba kuuliza, kwa nini amjawafata Bravos moja kwa moja ili kuepuka usubufu inge kuwa poa sana.

  • @KhanashyAlmassi
    @KhanashyAlmassi 29 дней назад

    Nguvu moja ndo hiyo Sasa yani watu wakobize na kazi zao.

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka 29 дней назад

    Ubaya ubwela unyamaa mwingii congratulations

  • @priscasaimon1959
    @priscasaimon1959 29 дней назад

    Mungu awatangulie mashuja wetu ili mfike salama wapambanaji wetu

  • @SophiaMbonde-m7g
    @SophiaMbonde-m7g 29 дней назад

    Kila lagheli chama letu allha awajalie mufike salama

  • @ShukuruMakoko
    @ShukuruMakoko 29 дней назад

    ❤❤❤❤

  • @MabalaLusanika
    @MabalaLusanika 29 дней назад

    Safari njema mnyama❤

  • @jumamangombe6493
    @jumamangombe6493 29 дней назад +1

    Why dont you fly straight to Angola?

  • @Salimramsey-x8u
    @Salimramsey-x8u 29 дней назад

    Mungu mkubwa

  • @Kapelepaul
    @Kapelepaul 29 дней назад

    Mfike nyumbani tz salama

  • @AnnaSilyvester
    @AnnaSilyvester 29 дней назад

    Nawatakia kila laheli chama lang

  • @lutiak7618
    @lutiak7618 29 дней назад

    MUNGU aibariki safari yenu awalinde na mujaliwe kufika salama nyumbani

  • @wifajoonlinetv9081
    @wifajoonlinetv9081 29 дней назад

    Admin angalia maneno uliyoandika kama yapo sahihi

  • @nbwchannel4997
    @nbwchannel4997 29 дней назад

    Ubaya ubwela

  • @SteveRyioba
    @SteveRyioba 29 дней назад

    Kiukwer mnastail pongez mmejituma

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 29 дней назад

    Kila la kheri mfike salama home😅

  • @MuslihiHassan-bi2nj
    @MuslihiHassan-bi2nj 29 дней назад

    Spear plasta ipo wap😂

  • @Mariah-r1o
    @Mariah-r1o 29 дней назад

    Mnaenda lini Angola kwa mechi na bravos tarehe ngapi 🙄

  • @amanisalum1638
    @amanisalum1638 29 дней назад

    Uturuki mmeishakuwa wenyeji.
    Kila la kheri wana

  • @RehemaSaid-ww1mm
    @RehemaSaid-ww1mm 29 дней назад

    Yn ikiwezekana wakikaribiana na warabu wabane pumzi WANAEZA wapulizia ht dawa y kuregea😅😅😅

    • @maryamnofli2109
      @maryamnofli2109 29 дней назад

      @@RehemaSaid-ww1mm
      Jamani. Siyo. Hivyo. Tena. 🙄😀😀😀

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m 29 дней назад

    Alhmdhulillah❤❤

  • @NoelaJohn-p5d
    @NoelaJohn-p5d 29 дней назад

    Rudin kwenu kweny aman tele waachin na nchi yao

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 29 дней назад

    🇹🇿🦁♥️♥️♥️♥️👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏