MAKOSA KATIKA DINI FEKI YA KI KRISTO NA YA KIYAHUDI DINI HUTOKA MBINGUN | SHEIKH MSELEM BIN ALY

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 5

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 4 часа назад

    Ingekuwa vizuri saana kama mngekuwa mnaandika sura gani aya namna ngapi

  • @Yohova_First
    @Yohova_First 31 минуту назад

    au mtu akisema
    MAISLAMU Badala ya WAISLAMU.
    ....Nahisi sio sahii hivo sikulaumu Sana ni kutokana na unachofundishwa na ulichokalili hivo endelea kujifunza kipi sahii
    A) MAYAHUDI au WAYAHUDI
    B) MATANZANIA au WATANZANIA
    C) MAISLAMU au WAISLAMU.
    .....UBAGUZI MKUBWA KUTUMIA neno ....MA....

  • @Yohova_First
    @Yohova_First 49 минут назад

    Usiseme MAYAHUDI huo ni UBAGUZI MKUBWA
    Ni sawa na kusema MATANZANIA Badala ya KUSEMA WATANZANIA unahisi ni sawa.
    Kama Quran imesema MAYAHUDI basi kitabu chako KINAUBAGUZI MKUBWA
    Tena Hatariii.
    Kuwa makini na mafundisho Unayosoma au uliyofundishwa yatafakari mala Kwa mala.
    Nakufundisha......wanaitwa WAYAHUDI sio MAYAHUDI.

  • @Yohova_First
    @Yohova_First 4 часа назад

    Mbona na wewe unasema hivo hivo kuwa UISLAMU ndo dini ya kweli.
    Hivo Kila mtu anafanya ushabiki katika Imani yake kitu ambacho hakitakiwi.