Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Mungu awasaidie myatendee kazi mfike Mbinguni.tumebarikiwa mno
Eee raha sana jamani kwa yesu sing'oki ng'oooooo
Mungu awabaliki
Nyimbo zote za uwata zikiwekwa hapa itapendeza sana hasa machoni kwangu
Barikiwa saana my best choir 4 ever!
Kwaheli mwangomba tutaonana badae😭😭😭
Mungu awatie nguvu nikiwaona ni kama nawaona malaika waliopo mbngun jmn
godbless
Najisikia fahari sana kua nyumbani kwa baba
Asante nimebalikiwa
BWANA awasimamishe wimbo huu umenibarki sanaa katika albam yote.....
mubarikiwe
Uwatanimependa.kwaya
Bwana awabariki sana Yerusalem
uwata ndo kila kitu ni wokovu wakweli tuombewe tuloanguka turudi hakuna kama uwata
inapendeza
jamani uwata uwata . mungu awabariki nawapenda sana .maombi yenu mniombeee mmmm mage jamani
Bwana awabariki sana,kazi yenu si bure katika Bwana.
Tuombeen nasi tupate kufunuliwaa
Mko vizuri
odilina mwak
❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
hizi nyimbo zinanifanya nilie pekee yangu na kujiuliza ni lini? Mungu atanisamehe na kunirudisha faraghani.Mungu tukumbuke na sisi tukapige matali na kuchemka pale mikekani.Tuombeane jamani.
Fatilia msaada Kama Bado unatumaini usikate tamaa
Amen mpendwa
Big up sana UWATA
Dah!! Umeniliza isee huwenda ipo siku bwana atashusha rehema zake na kutukumbuka na sisi.