DAKTARI AFAFANUA ISHU YA OMMY DIMPOZ KUFANYIWA UPASUAJI/SUMU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 авг 2018

Комментарии • 76

  • @joycemakori3835
    @joycemakori3835 5 лет назад +15

    madaktari Mungu awatunze make mnatusaidia sana. just imagine mtu anatolewa kitu fulani anawekewa kingine na anaishi. udaktari hauendeki kwa VILAZA. HONGERENI SANA tunajua darasani wote ni vichwa.👏👏👏

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 5 лет назад +28

    Jaman mungu saidia mtu wetu apone 🙏🙏 Inshallaah mungu yupo utapona Ommy

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 5 лет назад +20

    SAUTI SI SHIDA KUBADILIKA.....MUHIMU APONE..... KABISAAAAAAAA TWAMUOMBEA 🙏🙏🙏🙏 MUNGU SANA NA TWAAMINI UTAPONA KUPITIA MAOMBI YETU NAJUA TUKO WEEENGIII SAANA TUNAO KUPENDA HATAKAMA HATUJA WAI KUKUONA LIFE LIFE TWAKUPENDA AMINI UTAPONA.

  • @mwajayshekallaghe568
    @mwajayshekallaghe568 5 лет назад +9

    Hakuna linaloshindikana mbele Ya MUNGU...MUNGU ATAKUSIMAMIA OMMY

  • @JulienneHeart
    @JulienneHeart 5 лет назад +1

    Asante sana kwakuwa Dactor wa brother wangu Ommy❤️😍❤️ check my RUclips channel❤️

  • @fadhilikapasi8055
    @fadhilikapasi8055 5 лет назад +48

    Like kama unamkubali ommy

  • @mercymichael2873
    @mercymichael2873 5 лет назад

    God is faithful will heal u ommy

  • @lucyngowinimrkorogwe2298
    @lucyngowinimrkorogwe2298 5 лет назад +1

    Dr. Mongi. Korogwe tunakumiss sana since uleft. All the best Daktari wetu

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 5 лет назад +1

    Pokea uponaji wa haraka omidimpoz kwa imani umepona mungu alie kuvusha kule kungu alikua na mpango na wewe wa kesho yako jipe moyo utapoba

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 5 лет назад +9

    ALIE MWEKEA MWENZAKE SUMU JE AMEFAIDIKA NA NINI? GOD LOVES OMY DIMPLE MAADUI HAWAWEZI SHINDANA NA MUNGU NAALIE MWEKEA SUMU OMY ATAKUFA MBELE YA OMY. MUNGU TUEPUSHE NA MARAFIKI WABAYA. OMY UTAPONA IN JESUS NAME 🇰🇪🇨🇿💕

  • @jaycee9067
    @jaycee9067 5 лет назад +1

    Tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu akuponye mapema Ommy Dimpoz. 🙏

  • @EliahParpulisEvalyneMkulati
    @EliahParpulisEvalyneMkulati 5 лет назад +1

    Yes Brother!! Proud of you!!

  • @zachariakabona6634
    @zachariakabona6634 5 лет назад +2

    Well-done Dr kwa maelezo mazuri

  • @irenei9480
    @irenei9480 5 лет назад +1

    God see👀👀👀👀all be well soon Amem🙏

  • @queenysamiranur3781
    @queenysamiranur3781 5 лет назад +1

    May u recover soon my brother ommy dimpoz

  • @salumanadsalumanad5900
    @salumanadsalumanad5900 5 лет назад

    dimpozi pore sana ndugu

  • @oblemongi4195
    @oblemongi4195 5 лет назад

    Dr Robby Hongera sana kwa ufafanuzi

  • @abubakaralliy8435
    @abubakaralliy8435 5 лет назад +1

    Good Dr kwa shule safi

  • @AbdulWahid-hp8qr
    @AbdulWahid-hp8qr 5 лет назад

    Ungu atakusaidia inshaallah

  • @latb2747
    @latb2747 5 лет назад +5

    ndio mana nasomea udaktar napenda hii kitu toka moyoni