Huyu Kigwangalla nae vp tukubaliane tu kwamba sisi hatufanyi kwa sera ya taifa tunafanya tu kusapoti walichoanzisha ndugu zetu wa ughaibuni ila ukirudi kwenye uhalisia 50/50 itakaaje kwenye nyumba japo ni nje ya mada lakini ni mule mule litafaa nn taifa lenye wanawake bila wanaume imara? Hongera sana msambatavangu
Naona idadi kubwa ya wanaume bungeni hawajui kuwa wao ni wanaume na vichwa vya taifa ndio maana hawaoni ujinga ulioko kwenye vipaymbele kwenye wizara hii. Na wanasababisha watu waendelee kusema na kuimba nani kama mama
Mh. Jesca anatufaa, ikiwa Mh. Rais itampendeza kuunda wizara ya Ustawi na Maendeleo ya Wanaume.... Mama anatufaa sana, tangu ameingia mjengoni ni Mbunge anaewakingia kifua jinsia ya kiume,.... Usawa wa kijinsia uwe chachu, utolewe bila kubagua makundi bali vipaumbele iwe ni kwa jinsia zote.
Serikali inaiga uzungu kutetea wanawake tu ila wanaume wanaachwa nyuma wapambane wenyewe. Mwisho wa siku serikali itasapoti ushoga kuunga mkono mizungu
Safi san be blessed naamin ipo cku haki itatendeka...Na huo mpango kazi waufanyie kazi c waandik kiini macho...kingwala umeyumba hapo...bas mbona hakun balance na kama wameshindwa kubalance bas ingekuwa ata 70/30
sharaut nyingi kwa mh mbunge wa iringa hakika kaonyesha utofauti wa kipekew sana na Yuko kupigania haki ya wananchi ubarikiwe mama hakika confidence ya mwanaume ni fedha mana mwanaume ni producer mwanamke ni consumer.
Huyu dingiii nani sijui kingwangula,,, aache bangi ,, hayo ni mambo ya kukariri vitabu. Ila ukiangalia mambo yanayo zunguka jamii kwa sasa, mwanaume kweli yupo kwenye huo muhanga,, na ukiwezesha jinsia moja ni kweli mwanaume hawezi kuwa na confidence kabisa.Hadi wanawake wamekubali hili sasa, alaf Kingwangula analeta ugumu! Wauniiii ,,tumtoe nini huyuuuu?😂
Huyu mama ni very smart, hongera kwako mbunge kwa kazi nzuri 👍
Hongera mama hayo ni maono kutoka kwamwenyezi mungu
wanaume mmeona mnatetewa na mwanamke 😢😢daah hongera mama
Huyu mam apewe hii wizara jmn cz yupo na hoja nzuri sana
Huyu Kigwangalla nae vp tukubaliane tu kwamba sisi hatufanyi kwa sera ya taifa tunafanya tu kusapoti walichoanzisha ndugu zetu wa ughaibuni ila ukirudi kwenye uhalisia 50/50 itakaaje kwenye nyumba japo ni nje ya mada lakini ni mule mule litafaa nn taifa lenye wanawake bila wanaume imara? Hongera sana msambatavangu
Huyu mama hatumtetei ila anafikiri nje ya box. Sio wa kukaririshwa. Hongera
Naona idadi kubwa ya wanaume bungeni hawajui kuwa wao ni wanaume na vichwa vya taifa ndio maana hawaoni ujinga ulioko kwenye vipaymbele kwenye wizara hii. Na wanasababisha watu waendelee kusema na kuimba nani kama mama
Ni ubinafsi ndo unawasumbua,, mtu akishapata yeye hana mda wa kufikiria wengine
Wengi hawana cha zaidi cha kufikiria bora wanapewa posho za kila siku kifupi hawana maono yoyote
Very bright huyu mama
Wewe mama mungu akulinde Kwa maaono Yako, ila amlinde mama Samia Rais wetu inshallah.
Bonge la Speech 🎉🎉🎉🎉🎉
huyu mama🙌🙌 anaongea point
Wanaume tumepata mama wa kweli,huyu mama ni mtetezi wa wanaume
Wanaume wanapiga makofi badala ya kuchangia
Makofi mengi sana kwako mh mbunge,na ndio maana ya usawa
Mh. Jesca anatufaa, ikiwa Mh. Rais itampendeza kuunda wizara ya Ustawi na Maendeleo ya Wanaume.... Mama anatufaa sana, tangu ameingia mjengoni ni Mbunge anaewakingia kifua jinsia ya kiume,....
Usawa wa kijinsia uwe chachu, utolewe bila kubagua makundi bali vipaumbele iwe ni kwa jinsia zote.
AWAKENING,
barikiwa sana mama kwautetezi
Wanawake mnataka 50/50 ukiangalia hata kwenye umbaji nilama mnamuambia Mungu kama kasosea mnamlekebisha
Serikali inaiga uzungu kutetea wanawake tu ila wanaume wanaachwa nyuma wapambane wenyewe. Mwisho wa siku serikali itasapoti ushoga kuunga mkono mizungu
Nimekubali mama your very bright
MUNGU akubariki sana wewe Dada.
Jescar mama yangu pokea maua yako umenisemea sana. Ishi sana mh.
Huyo kigwangala tangu anyofolewe uwazir kashachanganyikiwa anataka sana uchawa huyooo kwa rais
😢😢😢katia aibu
Very strong speech
Huyu mama ana akili sana
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 chukua mauwa yako mama umesema ukweli aswaaaa
Ubarikiwe sana mama, Mungu akupe wepesi katika maisha Yako na kazi yako na chochote unacho kifanya kisikilizwe Amen 🙏🤲👏👏👏
Mama umeongea point sana nakuunga mkono 100
Huyu jamaa nae 😂😂😂😂 enzi zangu ningesema kaa chini
Mh. Mbunge zinamtosha. Budget ya kuua wanaume umeikataa kwa hoja
Huyu mama anywe pespsi nakuja kulipa.
Hili li kingwangwara ni li chiziiii na watoto wake wote ni wakike tupu
MITANO TENA FOR MADAM JESSICA
Nimekuerewa sana mueshimiwa
Mhe Jesca, Mungu akubariki.
Hv kigwangwala ni doctor 😢?
Huyu mbunge natamani awe waziri
Nikweli kabisa maana yuko vizuri Sana.
Mama ni mama
Kweli muheshimiwa wanawake wanapendelewa
Kigwangala jau
Kweli huyu daktar n shag
Inamaana wabunge wanaume wameisoma lakini mkabaki kimya tu Hadi mwanamke ndo anawatetea ...
ajabu
Yaani kama mazuzu 😂😂😂😂
Kigwangara mbona haeleweki ana shida gan
Safi sanaa
Asante sana mama wambie
Taarifa yake siipokei na nashangaa inatoka kwa mwanaume tena daktari:)
Kamumalizaaa duuh Taarifa imetoka sehemu ya mwanaume kingwalla Haibu yake
Safi sanaaaaaaaaaaaaaa
Safi san be blessed naamin ipo cku haki itatendeka...Na huo mpango kazi waufanyie kazi c waandik kiini macho...kingwala umeyumba hapo...bas mbona hakun balance na kama wameshindwa kubalance bas ingekuwa ata 70/30
🔥🔥🔥🔥
Kigwangwara ask ki zake jamani
Huyu mama apewe maua yake🎉
Hongera Mh, maneno mazito hayo
Na ndo maana madharau yamekua mengi kwa wanawake kwa sababu wao wanaamini wanaweza wenyewe bila mwanaume nasi tunaamua kuwaacha walee watoto wenyewe
Huyu mwanamke sijui ni mpe Nini, kula 100$
Hawa ndio viongozi sahii au munger sahii sio wabunge vilaza wanapoga tuu mabench hawajielewi kama baaazi yamawaziri
Hunalolote kigwangara
Mama yetu jesca tutetee wanaume
Hongera saba mama Mungu anajua alipokutoaaa
hongera Mhe. jesca
genious
Kigwangala anakatwa
Uyu mama ni kina kingwangala kumi na na mbili
Huyu Hamis Kigwangala mwangalieni kwa makin hana hata kidebu ni peupe kama batox la mtoto abaki na ushoga wake mama kaongea point sana
Kingala aibu mama kakuzarauuuuu
Inatia huruma sana kwa wanaume hii kauli alitakiwa kutoa mmbunge wa kiume
HIYO NDIO MIPANGO YA KUTENGENEZA SINGLE MOTHER
sharaut nyingi kwa mh mbunge wa iringa hakika kaonyesha utofauti wa kipekew sana na Yuko kupigania haki ya wananchi ubarikiwe mama hakika confidence ya mwanaume ni fedha mana mwanaume ni producer mwanamke ni consumer.
Mama umeongea katikati🤝
Safiiiiiiii,
Waziri aiwezi wizara ajiuzulu
Safi sana mbunge 👏👏👏
Akili nyingi hii
Ndio maana mo alikata kumkopesha pikipiki Ile ajari hakili haijakaa sawa huyo
Ni kweli mama sisi wanaume hatuna wakutusemea huko bungeni jamani sisi wanaume tuna kazi nzito yakusomesha
Huyu kigwangala hafai kabisa
👏
Huyu mama ni mbunge sasa ana hoja
👏👏👏
❤
MAMA UKO VIZURI SANA KWA KWELI
YAANI USAGAJI NA KUTOLEANA HAMU KWA WANAWAKE YAANI WATU WANAKULA MPAKA Mkongo MKONGO YAANI NI BALAAAA KABISAAA
Mama anaakili
Upo vzr sana mama jesca
Upo vizuri mama, huwa unamadiniii sanaa
Huyu dingiii nani sijui kingwangula,,, aache bangi ,, hayo ni mambo ya kukariri vitabu. Ila ukiangalia mambo yanayo zunguka jamii kwa sasa, mwanaume kweli yupo kwenye huo muhanga,, na ukiwezesha jinsia moja ni kweli mwanaume hawezi kuwa na confidence kabisa.Hadi wanawake wamekubali hili sasa, alaf Kingwangula analeta ugumu! Wauniiii ,,tumtoe nini huyuuuu?😂
Uyo jamaa wamakoti atakuwa ni mzungu uyu mumutizame vinzur
Mama unajielewa sana
Hapo umuhimu wanani kama mama
Sasa huyu Mama ndio Kiongozi wa kweli. Usawa ni usawa
Bela ulongite dada
Kigwangara analaki jambo
Mchangiaji wahovyo huyu
Discrimination
Huyu mama katisha kwakweli wanawake siku izi ndo watakua waoaji kutukana na masera ya kijinga
Nilishasema siku moja mwanamke atatutetea wanaume na sasa nashuhudia hapa
Kaongea hadi raha aiseee
Mama hongera sana,umetuwakilisha vema.
Ila pumzika kidogo maana naona kama goiter
Anaumwa au?