HAKUNA JAMBO KUBWA KWA MUISLAMU KAMA KUIJUA HAQQ NA KUSHIKILIA MSIMAMO HUO. ALLAH ATUJAALIE KUWA NA ISTIQAMA, KAMA ALIVYOHIMIZA ALLAH NA MTUME WAKE. MAANA USIPOKUWA NA ISTIQAMA NDIO UTAJIKUTA UNACHANGANYA HAQQ NA BATWILI. YAA RABB TUONGOZE SOTE.. AAMIIN
Kama akhera kunaangaliwa maulidi kama ulifanya au hukufanya ndo uende peponi basi endeleeni kufatilia mambo hayo na ya mfano wake lakini kama kinachoangaliwa ni swala kisha a'mali njema basi kuwa mjanja kwa kufatilia nakufanya yale yatakayokuzidishia nafasi ya kupata radhi za Allah subhanahu wata'ala kama swala, swadaqa na mengineyo achana na mambo yenye ikhtilafu ambayo huwezi kumsikia sheikh mwenye i'lmu akiya address kwenye topics zake.
Huyu kipozeo miaka ya nyuma sindo alikua apinga maulidi na khitma na kusomea qur'an makaburini leo amekua nao hao makhurafi masufi, Subhnallah sikia vitu anavyoongea njaa ni mbaya aliona acha aungane na bakwata nae ndo alikua anapiga kelele mufti hana elimu, subhanallah njaa mbaya sana, hata mkiwa wengi haimanishi ndo mpo kwenye haki,Allah aniweke mbali na uzushi
Tusitowe hukumu zetu kwa mwisilamu yeyote,Tumuwachie mwenyewe ALLAH,Akiwa mkweli huyu kipozeo ni mtu wa sunnah,Bidaa,au sheikh Tumbo ALLAH atamdhihirisha haichukui muda.
Hii sasa khatari kama na huyu amefikia hatua hii, jambo la kumuomba ALLAA atudumishe katika kumtii أللهم ثبت قلبي على دينك kwa wale watu wazima kidoogo wanatambua namna alivyokua akiwasema vibaya watu wa maulid na khitma nakumbuka moja ya kanda zake ambazo nilikua nazo akiwasema watu wa maulid! akiwaiga mpaka wanavyosoma ile milango yao halafu anamalizia kwa kusema swalallahu 'alayhi, watu wanacheka
Allah atukusanye waisilamu wte kwa lililosawa kwake,🤲🏻 alf Ombi langu nikuwa tusituhumiane tuhuma mbayambaya wla tusibandikane majina mabaya na ni lzma utambue kuwa Hatua aloichukuwa Mwanachuoni mtegemewa hailingani na hatua yko usielingana nae kielimu! ninamaana kuwa huna haki kudai kuwa shekhe amenunuliwa coz huna ushahidi, wla hna hki y kumtangaza mwenzako kuwa nimnaafiq coz huna power hyo, tusijitafutie dhambi kwakuzikusudia, acheni tuzifanye kwakughafilika tu. Allah awape umoja Ulamaa wetu na awahifadhi na ajaalie wawe wengi mfano wao🤲🤲🤲
Kipozeo ni shida sheikh wangu, sijui una kunywa pombe ao vipi sijui ni bange ao nja, wewe siulikua nawapinga watu wa maulidi na wanao soma khitmat!!!!?
Kuondoka kwa Mtume na Maswahaba ni miongoni mwa ishara na dalili za Kiama (Umma wa Kiislamu utagawanyika/umeshagawanyika makundi mengi mno). Hivyo tutazidi kuyaona na kuyaaikia mengi. WaAllahu Aalamu. Tumuombe Allah atuhifadhi ili tuupate mwisho mwema. ***Aaaamin***
Ww acha ujinga kipozeo watafuta unga kila sehemu vp umejuaje kama huyo ni waliyu llahi kisha wasema baraka zake ziwe nanyi mara daimond huyo mara mzee yusuf watu ata hawafai kuzungumziwa kisha mwamsifu mtu sifa ambazo hana
Wahabia pigo lenu hiloo mnabaki na ujinga wenzenu wanasoma mamisimamo bila elim nikhatari! Na kama zamani alikua anapinga maulidi na khitma Leo kaiona haqi Mm nawashangaa sn mnaopinga hamfanani nae kielim simumfate mwenzenu elim imemuongoza na nyinyi ujinga una wapotisha Poleni sn!!
Hii ndio kazi yao waliyopewa nahao wanaojiita masalafi kuwagawa waislamu na kuwapa majina Sufi huyu hisbi huyu Nani hiyo ndiyo kazi iliyobaki kana kwamba wao ndio wenye malipo !!
Unamwita muislamu mwenzie hili jisufi unatumia lugha ya kibri na dharau je hii ni akhlaaqi ya kiislamu?تعلم الأدب قبل أن ترد وإياك وتحقير المسلمين واعلم أن حسن الكلام ولين الخطاب مطلوب حتى مع الكفار.ادع إلى سبيل ربك بالحكمة والموعظة الحسنة. وقد أمر الله كليمه موسى عليه السلام بلين الكلام مع أعتى وأكفر من في الأرض وهو فرعون قال الله تعالى فقولا له قولا لينا لعله يتذكر أو يخشى.
Mwenyezimungu amrehemu shekh wetu muhammad bn ayyoub ampe kula kher na aizidishe daraja yake ya wema❤
HAKUNA JAMBO KUBWA KWA MUISLAMU KAMA KUIJUA HAQQ NA KUSHIKILIA MSIMAMO HUO. ALLAH ATUJAALIE KUWA NA ISTIQAMA, KAMA ALIVYOHIMIZA ALLAH NA MTUME WAKE.
MAANA USIPOKUWA NA ISTIQAMA NDIO UTAJIKUTA UNACHANGANYA HAQQ NA BATWILI.
YAA RABB TUONGOZE SOTE..
AAMIIN
Sheikh Salim Barakhiyan kakanusha haya maneno. Allah yaalam nani sio msema kweli kati yao. Allah awape hikma na ukweli katika khutba zao. Amiin
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. Baaraka Allahu Fiikum
Mashallah, Allah awalipe kheir zao masheikh wetu wote na awasamehe makosa yao yote kwasababu wao ni binadamu kukosea ndio umbile la binadamu
Kuna jamii ya watu hupenda migogoro na malumbano na hupenda kujitakasa ..ila shegh hilali is best 👍🏿i like this man all this time
Maa asha allah sheikh kipozeo
Kipozeo mungu ametakasika na hayo uliyoyasema
SHUKRANI saana
Asalamu alaykumu warahmatullah swala sio njaa.. suala ni ilm kasome kwanza af utaacha kuita wenzako watu wa bid'a
Sh.kipozeo naww kweli unaongeleya habari kama izo mskitini?nilikua najua ww ni mtu wa hikma,kumbe uvundo.
😇
Alhamdulillaah
Kama akhera kunaangaliwa maulidi kama ulifanya au hukufanya ndo uende peponi basi endeleeni kufatilia mambo hayo na ya mfano wake lakini kama kinachoangaliwa ni swala kisha a'mali njema basi kuwa mjanja kwa kufatilia nakufanya yale yatakayokuzidishia nafasi ya kupata radhi za Allah subhanahu wata'ala kama swala, swadaqa na mengineyo achana na mambo yenye ikhtilafu ambayo huwezi kumsikia sheikh mwenye i'lmu akiya address kwenye topics zake.
Maashaa Allah
Mashallah. Shekh Kipozeo
Unatukonga nyonyo sana
Hata kama mtu ana stars zinatisha Wallah.
Stars
Toka alivyo baliki mzee Yusuph kulidi kuimba nlimuona puuzi tu
Huyu kipozeo miaka ya nyuma sindo alikua apinga maulidi na khitma na kusomea qur'an makaburini leo amekua nao hao makhurafi masufi, Subhnallah sikia vitu anavyoongea njaa ni mbaya aliona acha aungane na bakwata nae ndo alikua anapiga kelele mufti hana elimu, subhanallah njaa mbaya sana, hata mkiwa wengi haimanishi ndo mpo kwenye haki,Allah aniweke mbali na uzushi
Ameelewa maan ya haya ni faida tupu humu
Njaa ni yako,kasome
Zamani ya mwaka gani?
Nipo madressa mtoni mwaka 1995 huyu jamaa alikuwa mgeni rasmi wa maulidi
Unaongea Kwa Masurufi Nahawa Zako Binafsi. Hauna Aya Wala Hadithi Dhwaifu.
Hata kama unasema alikuwa wapi basi jibu ni kwamba kaelewa ukweli uko wapi
Mashallah
قصيدة الامام الشافع
إِنَّ لِلَّهِ عِباداً فُطَنا
تَرَكوا الدُنيا وَخافوا الفِتَنا
نَظَروا فيها فَلَمّا عَلِموا
أَنَّها لَيسَت لِحَيٍّ وَطَنا
جَعَلوها لُجَّةً وَاِتَّخَذوا
صالِحَ الأَعمالِ فيها سُفُنا
Hata mimi kuanzia leo s lafiki yangu tena
Mashaallah
Shekh kipozeo anasema kweli
Hakuna kher kwa wazushi na washirikina mpaka watubie Yaarabbi tujaalie mwisho mwema mazuzu yanakenuatu
Ameen
Tusitowe hukumu zetu kwa mwisilamu yeyote,Tumuwachie mwenyewe ALLAH,Akiwa mkweli huyu kipozeo ni mtu wa sunnah,Bidaa,au sheikh Tumbo ALLAH atamdhihirisha haichukui muda.
Sheikh unamfanyia MASKHARA ALLAH? ITTAQILLAH.
amemfanyia dhihak vipi? Acha CHUKI NI ugonjwa WA moyo
Allah Akbar
Sheikh wa MIZIGO 😮🥵😮🥵
Au ile moja umekata juu kwa juu? 😅😅😅😅😅😅😅😅
hadahullah
Hv hiko kisa ni cha kweli
Hii sasa khatari kama na huyu amefikia hatua hii, jambo la kumuomba ALLAA atudumishe katika kumtii
أللهم ثبت قلبي على دينك
kwa wale watu wazima kidoogo wanatambua namna alivyokua akiwasema vibaya watu wa maulid na khitma nakumbuka moja ya kanda zake ambazo nilikua nazo akiwasema watu wa maulid! akiwaiga mpaka wanavyosoma ile milango yao halafu anamalizia kwa kusema swalallahu 'alayhi, watu wanacheka
Vp kuhs dimond na mzee yusuf ?unafiq ni mbaya sana
Allah atukusanye waisilamu wte kwa lililosawa kwake,🤲🏻 alf Ombi langu nikuwa tusituhumiane tuhuma mbayambaya wla tusibandikane majina mabaya na ni lzma utambue kuwa Hatua aloichukuwa Mwanachuoni mtegemewa hailingani na hatua yko usielingana nae kielimu! ninamaana kuwa huna haki kudai kuwa shekhe amenunuliwa coz huna ushahidi, wla hna hki y kumtangaza mwenzako kuwa nimnaafiq coz huna power hyo, tusijitafutie dhambi kwakuzikusudia, acheni tuzifanye kwakughafilika tu.
Allah awape umoja Ulamaa wetu na awahifadhi na ajaalie wawe wengi mfano wao🤲🤲🤲
.mawahabi hawana dini
Comedian
Hahika shaitwsni ananguvu
Maneno yanaendana na zama hizi zatu
ruclips.net/video/ic6-yz2lCPY/видео.html
⬆⬆⬆
Sikilizeni Majibu na Nasaha kwa Kipozeo
Sheikh kipozeo jinsi anavyo kubalika hata akiongea upuuzi watu wanafurahi
Yusuf muhamed jifunze lugha ya kuongea yaani aliyongea kipozeo yte kwko n upuuz? Subhana lwahaa hiyo n jazba gani ya lijinga!!
Mtu mpuuz mpuuz tu kipozeo
Barahyaan khawariji yule
MashaAllah
Huyu si sheikh wa kweli ni watu wa kutafuta sifa tu na kuchekesha watu subhallah
Mtafute wewe huyo sheikh wa kukasirisha watu.
Unaonekani ni mmoja kati ya makafiri waliopo hapa chini ya jua
Kipozeo ni shida sheikh wangu, sijui una kunywa pombe ao vipi sijui ni bange ao nja, wewe siulikua nawapinga watu wa maulidi na wanao soma khitmat!!!!?
Kaona ukwel wa mambo
@@Naaam353 ukweli gani uko kwenye maulidi!!! Anayo fanya ni nja
Umeona wapata pesa kwa kusema wake wa nne ndio ukaona umesha pata mwanya wakuingizia pesa hhhhhhh watu wabidaaa mnatabu
Shk anakula mirungi, kwa kujificha na watu, ilhali Allah anamuona, Allah amuongoe maskini, nimeamini umaskini wa Mali ni nusu ya ukafiri.
Kama alijificha wewe umejua aje ?
@@wenge4x423 tulimuona kwa bahati mbaya kwake mzuri kwetu!
Tatizo nyie mnaojiita salafiyyu ni watu wenye elimu ndogo mnoo ila kwa propaganda daaah mko timamu sana
Halafu hawako Akhera wako Barzaha
Sheikh leo hitma na maulid vinafaa leo au watu wameuzwa
Kuondoka kwa Mtume na Maswahaba ni miongoni mwa ishara na dalili za Kiama (Umma wa Kiislamu utagawanyika/umeshagawanyika makundi mengi mno). Hivyo tutazidi kuyaona na kuyaaikia mengi.
WaAllahu Aalamu.
Tumuombe Allah atuhifadhi ili tuupate mwisho mwema.
***Aaaamin***
WEE KIPOZEO NJAA INAKUSUMBUWA!!
HIZO NI POROJO TU!!
NA MATAMANIO YA NAFSI!!
ALLAH ANSEMA،.DINI HAINA MZAHA!!
Ww acha ujinga kipozeo watafuta unga kila sehemu vp umejuaje kama huyo ni waliyu llahi kisha wasema baraka zake ziwe nanyi mara daimond huyo mara mzee yusuf watu ata hawafai kuzungumziwa kisha mwamsifu mtu sifa ambazo hana
Ustadh shukran hata Mimi nimeshangaa! Waaliyullah anayemjuwa ni Allah tu! Si mwanadamu! Vipi huyu kipozeo amemnuwa?
Sasa mna cheka kisa kasema alikuwa rafiki yake siku za nyuma! Nyie watu wa maulidi niku wadhihaki wale hawa sheherekei maulidi!?
Wahabia pigo lenu hiloo mnabaki na ujinga wenzenu wanasoma mamisimamo bila elim nikhatari!
Na kama zamani alikua anapinga maulidi na khitma Leo kaiona haqi
Mm nawashangaa sn mnaopinga hamfanani nae kielim simumfate mwenzenu elim imemuongoza na nyinyi ujinga una wapotisha
Poleni sn!!
Unbelievable! Ni kweli yeye,? Hii TBT au ya siku za hivi karibuni
Masufi mnakazi kweli Allah aniweke mbali na usufi
Masufi ndo nn
@@adamhashim3352 soma dini yako utaelewa tu
@@tungaathumani6921 we uliyeelewa toa faida bas upate thawabu
Amiin...yaa rabbi kipozeo ameshakua upande wao
Hii ndio kazi yao waliyopewa nahao wanaojiita masalafi kuwagawa waislamu na kuwapa majina Sufi huyu hisbi huyu Nani hiyo ndiyo kazi iliyobaki kana kwamba wao ndio wenye malipo !!
Hili kumbe jisuffi. Likija Kenya lajifanya salafi kumbe jisuffi.
Hao masufi ndio walioneza dini Ukanda wote wa Afrika mashariki. Waheshimu.
@@JJ4ZA Walieneza bid'a
hapana hajifanyi salafi bali ajifanya answari
Unamwita muislamu mwenzie hili jisufi unatumia lugha ya kibri na dharau je hii ni akhlaaqi ya kiislamu?تعلم الأدب قبل أن ترد وإياك وتحقير المسلمين واعلم أن حسن الكلام ولين الخطاب مطلوب حتى مع الكفار.ادع إلى سبيل ربك بالحكمة والموعظة الحسنة. وقد أمر الله كليمه موسى عليه السلام بلين الكلام مع أعتى وأكفر من في الأرض وهو فرعون قال الله تعالى فقولا له قولا لينا لعله يتذكر أو يخشى.
Huyu kipozeo ni mpuuzi tu
Loooo Dini Gani Ina amrisha WATU kuruka nana Subhana ALLAH MAKOSA makubwa SANA
Huna lolote chawa tu wewe hueleweki wala huna msimamo
Ndio maana tunakwama saana yaani maskharamaskhara tu alafu haufafanui darasa likawa lakielimu saana mtihani
Ndio inavyotakiwa,,,wakati Fulani hekma inatakiwa katika kuwaita watu katika njia ya heri
Wewe usichoelewa hapo ni nini?
Hili nijanga la taifa
Huna tofauti na wachekeshaji wengine Kama MASANJA Mpoki joti kingwendu bambo nk
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yaani kama chizi fulani sababu ya tumbo
Punguza makasiriko
Vp kuhs dimond na mzee yusuf ?unafiq ni mbaya sana
Punguza makasiriko