Fido Vato Ameshindikana/Katikati ya Show aonyesha Ubabe wake/Kweli Arusha hakunaga Fala.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 ноя 2024

Комментарии • 67

  • @ShabbaniShundi
    @ShabbaniShundi Год назад +3

    Nakubali fido vato nimmoko tuu misili ya Chidi benz marapa bora Tanzania nakubali sana

  • @AthumaniMdee-d2n
    @AthumaniMdee-d2n 2 месяца назад

    Nakubali vatoo nimmoja2 tz uhakika sana

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 Год назад +3

    Machalii wa arusha hatunyagi tunajamba 🤣🤣🤣🤣

  • @nickminja704
    @nickminja704 Год назад +4

    emcee achagui beat asee

  • @HamisHamza-uf6uz
    @HamisHamza-uf6uz 6 месяцев назад

    Fido mwamba ,,,sema mvua imezingua bangi kinyama ,sema watoto wa chuga Wana Luka nayo

  • @ramadhankassim7205
    @ramadhankassim7205 Год назад +11

    Toka lini Mtoto mlaini kanjibai kawa hip hop 😂

  • @Gikomba.West.united
    @Gikomba.West.united Год назад

    Huyu ndie anataka kushindana na khaligraph 😂😂😂😂😂ako chini sana

  • @Otitmach668
    @Otitmach668 Год назад

    😂😂😂huyu ndio alikua anajipima na OG,,Bado miaka kadhaa ya mazoezi ndio afikirie ata kutaja OG

  • @boscoboyamchafu
    @boscoboyamchafu Год назад +1

    Kazi zurii brother 😊

  • @dansonfuncenter6524
    @dansonfuncenter6524 Год назад +1

    Swali ni je watu walikuwa wamelipa kwa hii show??? 😂😂😂😂

  • @tanzaniachannel8519
    @tanzaniachannel8519 Год назад +2

    Mbona Mc amechoka amekaa kwenye spika😂😂 kama shabiki

  • @hamisimbwana-yf3ze
    @hamisimbwana-yf3ze 10 месяцев назад

    Frm mombasa kenya ukochini sana hatukuelewi kabisa

  • @KhalidiMsuya-h6o
    @KhalidiMsuya-h6o Год назад +3

    Oya fido usije ukanywa pombe mwanangu ujue una maadui wengi mno

  • @JohnsonJohn-hm8ck
    @JohnsonJohn-hm8ck Год назад

    Embu achia kitu na fid killer nyandu embu shikaneni mikono msonge hip hop imesizi

  • @willykajalatv4943
    @willykajalatv4943 Год назад +1

    Nakukubali saana

  • @hamisimbwana-yf3ze
    @hamisimbwana-yf3ze 10 месяцев назад

    Ww hata mm hauniwezi frm kenya

  • @AnnaChristopher-m3k
    @AnnaChristopher-m3k Год назад +1

    Hamna kitu hapo

  • @manilamfalme9830
    @manilamfalme9830 Год назад

    Machali watundu niliwapenda lakini kama kwa game wamehema mapema basi muacheni FidoVato andelee kuwakilisha chuga ni zamu yake.mpeni sharraut yake.kutoka kenya apa.

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri Год назад +1

    Hii show imepigwa waoi mbona sioni watu

  • @mustafarajabu4005
    @mustafarajabu4005 Год назад

    Huyu ajui shoo wenzake wanafanyaga nn?.ndio maana wasanii wengi ustua pombe ili dam ichemke.ndio nimeona msanii wakwanza duniani anywi pombe.

  • @leemenac.e
    @leemenac.e Год назад

    Huyu hata Mimi hawezani na mimi😂😂

  • @abassabass529
    @abassabass529 10 месяцев назад

    Bro unaimbia Viti
    ...hakuna watu kwenye show

  • @timoliiisaya3824
    @timoliiisaya3824 Год назад

    Huyu taka taka hamna jipya bangi tu

  • @HASSANIHASSANI-i9m
    @HASSANIHASSANI-i9m Год назад

    Wasiojua watu was Arusha wanapata shida,bt huwez Amin chuga wenyew wanamuelewa mbaya na ,hyo ndo culture Yao ,chuga Moja hyoooo

    • @HancyAndrew-i2f
      @HancyAndrew-i2f Год назад +1

      Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe usijal kuhusu comment zao ww ni nom san

  • @hudsonhenry1849
    @hudsonhenry1849 Год назад +2

    Kusema za ukweli ww Fanya tu kick boxer

  • @victormbugobola802
    @victormbugobola802 Год назад +4

    Huyu mnasifia lkn hmn kitu hapa anajikuta anajua kumb 😂😂😂😂hmn lolote sema kaimba na Rayvan ili aongeze kiki😮

    • @ezekielmollel-rv1ge
      @ezekielmollel-rv1ge Год назад

      Kweli kabisa hiii ni sifurii kabisa huyu anadhani hiphop lazima uwe mguuumu sasa kweli huyu umpandishe jukwaani nani asikilize iyo kelele

  • @elisamehemndeme597
    @elisamehemndeme597 Год назад +1

    Amna msanii apo ni mbabe tu ila mzk apa

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Год назад +3

    Wewe ni mtoto mdogo sana
    Kwa johmakin mziki wako
    Mdogo sana broh joh mziki mkubwa sanaaa mzee
    Mimi nimekujua baada ya kufanya
    Kazi na rayvan nje na apo
    Hata kwangu bado ni kukutu

    • @idrissahchuma9207
      @idrissahchuma9207 Год назад

      Tafuta ngoma inaitwa hip hop misingi fido vato spack dog na manunda kibao utaelewa we kuku

  • @zuberinyenzi1982
    @zuberinyenzi1982 Год назад +1

    huu nao ni mziki 🤔

  • @danielyoungerman1646
    @danielyoungerman1646 Год назад

    Fido anaweza

  • @lullebolle808
    @lullebolle808 Год назад +1

    Huyo nimtoto wa chuga real sisi tuliosoma nae meru tunamjua nyinyi mliokuja mjini juzi kivyenu

  • @DansonMtambi-fq2ff
    @DansonMtambi-fq2ff Год назад +1

    Fido hiyo ndo show yako ya kwanza nakuona jukwani

  • @MwanaidinuruYangan
    @MwanaidinuruYangan Год назад +1

    Maneno meng kumdxi john mar nck wa pl mara ww n mkali duh unachekesh mbon performance yak n thelusi ya pamba oya haujuiii mdm mwng kam hadija kopaaaa

  • @elisamehemndeme597
    @elisamehemndeme597 Год назад

    Uyu anaimba au rap flow lain

  • @rasvegas8991
    @rasvegas8991 Год назад +2

    Nini hiiii

  • @ManaseJohnson
    @ManaseJohnson Год назад +1

    Okokolaaaaaaaaa

  • @danielikisingadanielikisin5466
    @danielikisingadanielikisin5466 Год назад +3

    Natamani mtoe ngoma na chindo

  • @khatibumtaki7425
    @khatibumtaki7425 Год назад +2

    Show ina watu12 tu

  • @josephnkango1905
    @josephnkango1905 Год назад

    Mbwembwe nying unachana hata huelewek boya tuu

  • @eliaelias6506
    @eliaelias6506 Год назад

    A town ni mbayaaa

  • @betty5266
    @betty5266 Год назад

    Niko hapa after ashaongea kuhusu Kaligraph.. am wondering what's going on. Respect the OG coz hizi ni mawhat sasa?

  • @mmrkipaji
    @mmrkipaji 10 месяцев назад

    𝓗𝓸𝓾𝓶𝓪 𝓢𝓪𝓷𝓪

  • @MustafaAbdallah-v2b
    @MustafaAbdallah-v2b Год назад

    Boya tu kumbe

  • @maufijose2294
    @maufijose2294 Год назад

    💥💥💥

  • @FloranceLuqman-cg7qm
    @FloranceLuqman-cg7qm Год назад +1

    Kwanza kucheck afya ya akili hapo ni muhimu mana simuelewi hata kidogo ukija Dar hatuwezi Lipa kiingililio kwenye show Yako aisee mana haueleweki🥴🥴🥴

  • @hus875
    @hus875 Год назад +2

    we ni bure hakuna kazi

    • @zabibukayunga1912
      @zabibukayunga1912 11 месяцев назад

      Hanna hip hop hapo ndio maana simsahau doniii the gambo

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 Год назад +3

    Tatizo uyu jamaa anaonekana ana wivu sana na hasira kwa wasanii hasa waliomzidi uwezo ataka kujifanya yy ndo hip hop chuga nzima kumbe ndo kujipoteza muziki unataka connection na relation nzur na fellow artists broo real without this two ethics you loose time na hakuna atakae elewa mashahiri yako kivip utakosa mashabiki then pia unajifanya unakaza wakati muonekano wako sio wakukaza so be normal jombaa ili uwe real and icon of chuga hip hop if you need to far jombaa

  • @hudsonhenry1849
    @hudsonhenry1849 Год назад +1

    Fido ww mshamba tu

    • @manilamfalme9830
      @manilamfalme9830 Год назад

      Kama fido mshamba wewe msenge😂.mimi niko kenya na namsapoti wewe mtanzania mnafki.

  • @hudsonhenry1849
    @hudsonhenry1849 Год назад

    Fido haujui kuchana