Bismillah mashallah. Hata maskini unaouwezo wa kuwa rubani na ukarusha ndege. Kuna wadhamini Kuna mikopo Kuna bahati Na kuna mungu Kwaiyo usikate tamaa kikubwa ni uhai tu.
Jambo mhimu ni kuhakikisha tayari familia inamiliki ndege ndiyo ukasomee. Sio utegemee kwenda kusoma alafu uanze kuzunguka na bahasha na soli ikae upande utakuwa una tatizo kwenye medula.
alafu awo family zao sio kama wewe usitegemee family yako kama itaweza kukulipia milion 100 awo utakuta baba zao au mama zao viongozi mzee ila watu wa uswailini wataishia kariakoo tu
Hongera sana kwa kuitagaza nchi ya TANZANIA kwa ujuzi huo mkubwa..
Masha Allah. Seleman mzee wa road camp. Rudia saa bado wakubalika. Ah ah ah. Allah akufanyie wepesi. Ameen
Asante saana, vipi HAPO ni njema kwa mwanangiu
Najiskia rahaa sanaa kuona ndugu zetu wanafanya kz nzuri❤
KAZI NJEMAAA - Mungu Awabariki (JPM Mungu azidishe Neema kwa Tanzania yote)
Ndoto kubwa iliikuwa hii kuwa rubani ila swala la pesa ikawa mtihani. Ila ndoto yangu kati ya wanangu mmoja awe rubani inshallah.
Imesha kuwa
Maashallah Maashallah Maashallah Allah Barik. Proud of you Brothers.
Allah awalinde mnapo endesha ndege
Hao ni wote wazanzibar mashallah
Allah awasimamie mwanzo mpaka mwisho wa kazi yenu awaepushe na mitihani kwa wafanyakazi wote amin
Sasa hata kama nina ndoto ya urubani kwa ada hiyo itabid nilale tena niote ndoto mpyaa😁😁😁
Haha hahaaa
Haha hahaaa
🤣🤣🤣
Maa shaa Allah
Kazi za matajiri, mwenye nacho huongezewa loh
Bismillah mashallah. Hata maskini unaouwezo wa kuwa rubani na ukarusha ndege.
Kuna wadhamini
Kuna mikopo
Kuna bahati
Na kuna mungu
Kwaiyo usikate tamaa kikubwa ni uhai tu.
MUNGU ndio wa kwanza unapotaka kufanya jambo lolote lile muhimu ni kutia nia tuuu utafanikiwa.
Big up rubani wetu
Ni kawaida tu sema ukiwa huna mipango inayofanikiwa utaiyona nyingi
Mm ni rubani hapo UGANDA ada ni milioni 75🤞
Hizo Mambo za wenye mipunga brusichukulie poa
Uganda na Urubani wapi na wapi vyuo vya ualimu tu Changamoto
Uganda mnarusha ungo angani
Eti Zanzibar na Tanzania hapana ni Zanzibar na Tanganyika
Appreciate brother
Changamoto ni vile tu tope hewani mawe mengi na vipo milima
NA MIMI Na takq kusoma urbani
Utoe milioni 100 ukishahitimu ajira hakuna..utaanza kuwa chizi😳😳
Million. Mia Si bora ni nunue ndege yangu
🤣🤣🤣
Mbona hayupo muhaya mwenzangu
Nipo
Safiiii saana 👏👏💪👍
Hhhfeeuhbbbbghhhjnl
Ko
Heee milion 100 kw kusomea urubani me nkizipata izo. Ndo kimaisha nshatoka aty Hain ata haja ya kusomea uruban
Huyu wakulia ni Suleiman darasa lasaba ilikuwa na mburuza hela si mchezo kawa rubani mim nala Chaki kupigia watoto physics daaa
😂😂😂😂
Usisahau kunywa maziwa Mwl Mbwana
🤣🤣🤣🤣Bora ww unachezea chaki Mimi nalea
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
Mdg angu namuonea huruma hiyo ada ataitoa wapi..Mungu fanya njia
pesa ninyingi na yy ana taka kusomea urubani
Pole ila asikate tamaa asikatishe ndoto yake
HONGERENI SANA
Jambo mhimu ni kuhakikisha tayari familia inamiliki ndege ndiyo ukasomee. Sio utegemee kwenda kusoma alafu uanze kuzunguka na bahasha na soli ikae upande utakuwa una tatizo kwenye medula.
hahahaha we jamaa
Hahaha
watoto wa masikini hawawezi ,millioni mbili ada za vyuo vingi ni shida
WA PEMBA HAWA. HUYU SELE JIRANI YANGU..MLIKOOMAA KWELI
alafu awo family zao sio kama wewe usitegemee family yako kama itaweza kukulipia milion 100 awo utakuta baba zao au mama zao viongozi mzee ila watu wa uswailini wataishia kariakoo tu
Hiyo hera ya kusoma urubana nafanya mtaji na maisha yanaenda na wote kufa tunakufaaaaa🏃♂️🏃♂️😅😅😅🤔🤔🙄
Kama huna hela uwez ukasomea huo urubani mabos kezi kwenu
Brother's
Apo ukifer utaendesha Bajaji
Unafikili unaweza kuposti tu ili kuvunja watu moyo..if you are made for something nothing can stop you! Poor very poor thought
na sisi tuna ndege zetu tunarushaga changamoto mafuta ni adimu mpaka aliwe mutu
Bei ya kawaida tu sababu ulipi yote kwa wakati
All the certificates is 5 to 6 m not 100m
Daaa mungu mkubwa
Sele anakaa tanga au namfananisha
Duh ngoja tuangalie to wengine
Gharama zake kubwa na mshahara wake ni mkubwa pia
Je na mshaala wake ni mkubwa
Mshahara bei gn kwa kazi ya urubani? Nijichange na kukopa
msitishike huku niliko watoto tu wanasukuma hizo ndege zipo zile za tax wauni wanapeana deiwaka kama bodaboda tu .wabongo bhana kwa kujikweza kitu
Ebanae
Mimwenyew nilifosisana mpaka nimefanikiw siomchezo kaka
Hahahaha ada million 100
Si bora nipewe izo milioni 100 nifungue biashara nzuri na kubwa
Inawezekana Hata posho yake n ndefuu
msikatishe watu tamaaa tutabanana hapo hapo mvyuuh!
Kwahiyo maskini wenye uwezo wa kusomea urubani wanaishia kkoo
Sy k/koo ni Kiburugwa 🤣
@@khadijahali4837 hahahaha
Inawezekana tu lakini si kutokea huko nyumbani
@@rashidikanyama7227 😊
Haahhaha nmeishia udaktari,,,tuu ada ilibadlisha ndoto yangu kabisa
Inapendza ruclips.net/video/uSkVq7ZgkW8/видео.html
Kufukuzana apo
.
Watanzania ila sio kiasili. Wabongo wengi tunafeli maswala ya ada uwa tunatumaini scholarship tu
Hawa ni watanzania kama we ulivyo bro. Isikuhadae rangi ukamtenga mwenzako