MAAJABU YA SUURATIL FAATIHA -Sura hiii imeshuka makka -Ina aya 7 -Ina maneno 29 -Ina Herufi 139 FAIDA 3 (1)SHIFAA (PONYO LA MARADHI) (2)KUKIDHIWA HAJA YEYOTE (3)WEPESI WA RIZKI -Kwaajili ya maradhi soma x41 -kwaajili ya kukidhi haja soma x100 -kwaaajili ya wepesi wa Rizki soma x313 Utaaandika mahwaa ya suuuratil faaatiha -Aya 1 andika x19 -Aya 2 andika x17 -Aya 3 andika x 12 -Aya 4 andika x 11 -Aya 5 andika x 19 -Aya 6 andika x18 -Aya 7 andika x 43 Kisha utaaanza kisomo ukimaliza hiyo mahwaa utaweka kwenye maji safi ya kunywa utakunywa x2 asubuhi na jioni kwa muda wa siku 7 Siku ya kuanza kuandika na kuanza dua ni jumatatu Wabillaahhi Tawfiiiiq
MAAJABU YA SUURATIL FAATIHA
-Sura hiii imeshuka makka
-Ina aya 7
-Ina maneno 29
-Ina Herufi 139
FAIDA 3
(1)SHIFAA (PONYO LA MARADHI)
(2)KUKIDHIWA HAJA YEYOTE
(3)WEPESI WA RIZKI
-Kwaajili ya maradhi soma x41
-kwaajili ya kukidhi haja soma x100
-kwaaajili ya wepesi wa Rizki soma x313
Utaaandika mahwaa ya suuuratil faaatiha
-Aya 1 andika x19
-Aya 2 andika x17
-Aya 3 andika x 12
-Aya 4 andika x 11
-Aya 5 andika x 19
-Aya 6 andika x18
-Aya 7 andika x 43
Kisha utaaanza kisomo ukimaliza hiyo mahwaa utaweka kwenye maji safi ya kunywa utakunywa x2 asubuhi na jioni kwa muda wa siku 7
Siku ya kuanza kuandika na kuanza dua ni jumatatu
Wabillaahhi Tawfiiiiq
Shukran sana ustadh ustadh wetu kipenzi
Jazakallahu khayran
Amin
Amina
Mashallah Allahu barik
Amina inshallah
MashaAllah!
Barakallahu fiik
Barakallahu fikii
Shukrani sana shekh wetu kwa darsa nzuri mashaallaah tabarakallaah Allah akuhifadhi
Assalam aleikum sheikh naomba dua ya wachiba madini Asante
Samahani utadh kisha hiyo karatasi tunaifanyaje ??
Nimeandika maelekezo yake hapo juuu angalia coment ya kwanza kabisa
Soma hapo juuuu
Tumeeelekeza hapo juuuuu
Mashekh wengine mnaifanya dini Mungu iyonekane ngumu..kuaiyandika kuna maana gani kama maneno ni yale yale ama kuandika kunabadilisha aya??
Nimeshaelekeza kuiloweka kwenye maji safi utakunywa na kujipaka kwa siku 7
Angalia coment ya kwanza kabisa nimeweka maelezo kamili