"MIMI NA MKE WANGU NANDY TUNATUMIAGA SIMU MOJA, NAMPENDA SANA" - BILLNASS

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии •

  • @salhamrishoi4943
    @salhamrishoi4943 9 месяцев назад +16

    Uyu kaka anajua saana kujieleza mashaa allah ❤❤❤❤❤🎉

  • @janethsulle7862
    @janethsulle7862 9 месяцев назад +9

    Nawapendaaa saaana nandy na billnass♥️♥️

  • @EsperanceNamagajo
    @EsperanceNamagajo 9 месяцев назад +3

    Mashabiki wenu tunapenda kuwaona mukiwa nafurah siku zote na ikumbukwe kama nyinyi nikio cha jami nilazima kila mtu kuongeya anavo taka yeye na wapenda sana Nandy na Bill ❤❤❤❤

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 9 месяцев назад +7

    Hongera sana kumpenda mkeo na mtoto mungu azidi akubariki ndoa yenu daima

  • @aysha9932
    @aysha9932 9 месяцев назад +15

    Billnas nampenda sana coz n mtu mwnye busara sana❤️

    • @LOLISO_MP
      @LOLISO_MP 9 месяцев назад

      😂anamke ujue nipende mimi

    • @TheresiaSimba
      @TheresiaSimba 9 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @VeronicaBenard-kl5zu
    @VeronicaBenard-kl5zu 9 месяцев назад +9

    Nawakubali nyie viumbe wa Mungu basi tu❤❤

  • @LoveAron
    @LoveAron 9 месяцев назад +7

    Couple yenye baraka zake 😍💕💞🥰❤️❤️❤️🔥🔥🔥💯

  • @TabiaMwaisumo-ss7pz
    @TabiaMwaisumo-ss7pz 9 месяцев назад +4

    Mungu awatangulie katika kila jambo lilipo mbele yenu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 9 месяцев назад +4

    Saf sanaa billnass umekuwa,nimependa hyo❤❤❤

  • @mwashiwamwashi5620
    @mwashiwamwashi5620 7 месяцев назад +1

    Jamani naitamanigi sana ndowa yenu❤❤, huwaga naomba MUNGU anipe mwanamke muelewa kama NANDY.

  • @clementmahengele3150
    @clementmahengele3150 9 месяцев назад +12

    Uyu mtangazaji anatuliya sana wallahy, sio kama yule Mwengine msichana wa pumulizi kama baba levo😊

    • @ImanMarasi
      @ImanMarasi 9 месяцев назад

      Huyo mwingine sin mtangazaji ni mchambaji

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 4 месяца назад

      ni kweli katulia sana Diva, i love her really

  • @emaculataisonda5708
    @emaculataisonda5708 9 месяцев назад +12

    Uyu n mwanaume ambae inatakiwa wengne wapate mfano wa kuigwa japo akuna bnadam mkamilifu

  • @TheresiaSimba
    @TheresiaSimba 9 месяцев назад +10

    Afu Hana kiherehere Mwanaume anajielewa sana

  • @MwanajemaPharmacy
    @MwanajemaPharmacy 9 месяцев назад +9

    Bangi alokula leo mshikaji iko kimahabahaba tu 😂😂😂 Nandi kwani bill kawaje leo 😂

  • @FabianAmos-kr4yp
    @FabianAmos-kr4yp 9 месяцев назад +11

    Nataman niwe na couple like this I believe ntaipata

  • @ireneferge9142
    @ireneferge9142 4 месяца назад

    Woow great talk from Bill

  • @maryamconstantine2232
    @maryamconstantine2232 9 месяцев назад +1

    Napenda hii couple Mungu awatunze sana

  • @magrethsamson9623
    @magrethsamson9623 9 месяцев назад

    Mungu akubariki sana kwa kumpenda mkeo na mwanao❤

  • @tusiimeroy3157
    @tusiimeroy3157 9 месяцев назад +10

    Mungu azidi kuweka mkono wake ktk ndoa
    Nawatakia baraka tele kutoka kwa mwenyezi mungu.

    • @LoveAron
      @LoveAron 9 месяцев назад

      Ameen 🙏

  • @scoviarwagasore627
    @scoviarwagasore627 9 месяцев назад +4

    Eee bana Billnass anafanya kazi nzuri keep it up

  • @AllyHaruna-ko3it
    @AllyHaruna-ko3it 6 месяцев назад

    Woow nawapenda sana napenda unavyo mjali mkeo

  • @MerlineMerlinesiva
    @MerlineMerlinesiva 9 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤nawapenda sana. Nandy na billnas

  • @agnesmiss1112
    @agnesmiss1112 2 месяца назад

    Amena mungu awaongoze

  • @syliviamgeta8131
    @syliviamgeta8131 9 месяцев назад +3

    Nawapenda jaman❤❤

  • @mamuumamuu7743
    @mamuumamuu7743 9 месяцев назад +2

    nawapenda sana billnas na nandy

  • @RusiaSalehe
    @RusiaSalehe 8 месяцев назад

    tunawapenda mno Mungu awabariki

  • @lallynbeiby1406
    @lallynbeiby1406 9 месяцев назад

    Umezingua diva huwezi mlinganisha billnass na mbosso,mbosso ni mtoto sana kwa billnass

  • @jacklinemadirisha7737
    @jacklinemadirisha7737 9 месяцев назад +1

    Mungu awabari daima🙏

  • @lilianjuma-lc6tp
    @lilianjuma-lc6tp 9 месяцев назад

    Wazi sana bila

  • @leshyhaule
    @leshyhaule 9 месяцев назад

    ❤❤❤Love & fire

  • @SmilingCorgi-pr9bn
    @SmilingCorgi-pr9bn 9 месяцев назад

    Congratulations 🎊 👏 bro to love you family 👪 ❤ en god blessed you a twise i wish tuh have a good family like you'r

  • @getrudasimba3836
    @getrudasimba3836 9 месяцев назад

    Much love this couple❤

  • @MartinMadimilo-z6w
    @MartinMadimilo-z6w 9 месяцев назад

    Love is trusting mtu asikuambie

  • @hanamuson891
    @hanamuson891 9 месяцев назад

    Mungu awalinde

  • @ernestMeshack-d3h
    @ernestMeshack-d3h 2 месяца назад

    Couple nzuri nandy na billnenga penda sana nyie

  • @LOLISO_MP
    @LOLISO_MP 9 месяцев назад +5

    Huna baya billnass

  • @EpidordMahovu-t2v
    @EpidordMahovu-t2v 9 месяцев назад +1

    Kwani Huyo Mtangazaji Wakike Anahulinza Je Anandowa Gapi ? Amesha Achika Marazote

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 9 месяцев назад +2

    😅😅😅diva watoto wamekushnda akil,,,wewe kutwa na mumeo kutoana akil kwny social media.,,,ndoa yenu mmekabidhi wananchi zaid na siyo family itatue maugomvi yenu.

  • @aishakambenga6191
    @aishakambenga6191 9 месяцев назад +1

    Msitudangany ummoja akisafir mwengine anabaki bila sim 😂

    • @Eliasmtuy-l3k
      @Eliasmtuy-l3k 9 месяцев назад

      Elewa usikulupuke amesema umeme ukikatika mara moja moja ndo wanashare simu

  • @InnocentBirdBath-yp9wp
    @InnocentBirdBath-yp9wp 9 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ShukuruMuhima-em7eu
    @ShukuruMuhima-em7eu 9 месяцев назад

    ❤❤❤

  • @abdunasiriathumani9011
    @abdunasiriathumani9011 9 месяцев назад +1

    Kwani mtu hawezi kuwa msanii mpk atoboe masikio mbona sielewi!?

  • @mchelekwanza
    @mchelekwanza 9 месяцев назад

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 9 месяцев назад

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @zainabbakari-vw4jy
    @zainabbakari-vw4jy 3 месяца назад

    Mwanamme wandoto yakila mmke

  • @mariamjuma8965
    @mariamjuma8965 9 месяцев назад

    Bilnass ni Bonge la mume jamaa ana akili sn Nandy Kapata mume

  • @BUNYEMUClemence
    @BUNYEMUClemence 9 месяцев назад

    Nawapenda mno kisa mkiwa wote najiskia hadi raha🎉❤

  • @mgandatv
    @mgandatv 9 месяцев назад

    god

  • @anithasixbert5576
    @anithasixbert5576 9 месяцев назад

    Jay z + Beyonce wa bongo

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 9 месяцев назад

    Nenga bado jiongeze sana . Maokota yako vipi?

  • @JoakimJohn-gr7cz
    @JoakimJohn-gr7cz 9 месяцев назад

    Hahahaha

  • @AzariaMkweli
    @AzariaMkweli 9 месяцев назад

    Kwa iyo bongo wasanii wapo watatu wakubwa nyooo nenda uko

  • @AzariaMkweli
    @AzariaMkweli 9 месяцев назад

    Kwa iyo bongo wasanii wapo watatu wakubwa nyooo nenda uko

  • @NadiaNadu-r3v
    @NadiaNadu-r3v 9 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤

  • @hekimaando7818
    @hekimaando7818 9 месяцев назад

    ❤❤

  • @AzariaMkweli
    @AzariaMkweli 9 месяцев назад

    Kwa iyo bongo wasanii wapo watatu wakubwa nyooo nenda uko

  • @reginamichael-eh8yy
    @reginamichael-eh8yy 9 месяцев назад +1

    ❤❤

  • @maijamtoso5673
    @maijamtoso5673 7 месяцев назад

  • @MgataManamba
    @MgataManamba 9 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AzariaMkweli
    @AzariaMkweli 9 месяцев назад

    Kwa iyo bongo wasanii wapo watatu wakubwa nyooo nenda uko

  • @RachelAmiri-i1k
    @RachelAmiri-i1k 9 месяцев назад

    ❤❤❤❤

  • @AzariaMkweli
    @AzariaMkweli 9 месяцев назад

    Kwa iyo bongo wasanii wapo watatu wakubwa nyooo nenda uko