Safari ya binti anayetafuta mabaki ya baba yake Kenya
HTML-код
- Опубликовано: 4 фев 2025
- Wanjugu Kimathi, binti wa kiongozi wa waasi wa Mau Mau, Dedan Kimathi, anatafuta mabaki ya baba yake huku akipigania haki za ardhi kwa wanajeshi waliosahaulika waliokuwa wakipambana dhidi ya ukoloni.
-
BBC Africa Eye, inaangazia safari binafsi yenye nguvu ambayo inafichua hadithi ya mapambano ya silaha Kenya wakati wa uhuru, na inajumuisha ushahidi wa ukatili uliofanywa na Waingereza wakati wa kupigana na waasi.
#bbcswahili #kenya #maumau
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
It's really painful when we remember what happened in the past, we the Africans has to go through a lot to achieve our glorious land
I love Africa, this is my home my motherland
Siku nikiwa sina hasira nitawaambia kuhusu ninavyo wachukia wazungu