#TBC

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 ноя 2024

Комментарии • 29

  • @rajabrajab3525
    @rajabrajab3525 Месяц назад

    Praise to Tanzania and China

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw Месяц назад +1

    Hongeleni sana kwa kutupigania raia wenu hasa hasa Samia wetu

  • @saddiqsaddiq6880
    @saddiqsaddiq6880 Месяц назад

    Hongera Mama

  • @johnsam4942
    @johnsam4942 Месяц назад

    This is so good

    • @am2323Diaspora
      @am2323Diaspora Месяц назад

      @@johnsam4942 meli za kusafirisha madini kutoka Zambia na Congo kwenda China zinaegesha Dar kila siku tangu 1970

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 Месяц назад

    🙏

  • @nickoemily8267
    @nickoemily8267 21 день назад

    Mi nawapongeza sana Marais wetu Kwa kusaini mkataba wa kuiboresha reli ya TAZRA,pongezi pia zimwendee Mishirika muhimu sana mchina Kwa moyo wa upendo wake Kwa ukanda wetu,Kwani
    wao ndiyo walioijenga reli hiyo Kwa mkopo usio na riba kabisa.Namtakia Kila la kheri ktk mchakato huo.Ombi langu watujengee iwe standard gage kama ya Dodoma!

  • @smallscaleminingsupplies9670
    @smallscaleminingsupplies9670 Месяц назад +1

    Bora hiyo Tazara isimamiwe na Wachina Waafrika kwenye usimamiaji kuna shida upigaji mwingi mpaka shirika lina chechemea, yaani mchina kakujengea reli kakukabidhi ila usimamizi changamoto

    • @danielkullwa1613
      @danielkullwa1613 Месяц назад

      Uko sahihi hapa kuna shida sana, tunajuaga kutumia tu kutumia tu yani ni shida sana inaudhi..afu ukijitokeza mzalendo unaesimamia vizuri unapigwa juju...we have big problems

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Месяц назад +1

    Dunia inataka Amani lakini marekani wamegoma kuleta Amani Duniani mana Vita ndio njia pekee inayowafanya wauze silaha na kutawala na kutishia wengine, Marekani wajifunze kwa China, yaani Heshima anayopewa Biden akiwa China ni Sawa tu Heshima anayopewa SSH

  • @rajabrajab3525
    @rajabrajab3525 Месяц назад

    Mimira nani mlanguzi hapa

  • @HassanAli-f6j8y
    @HassanAli-f6j8y Месяц назад

    Ninyi TBC mbona munaharibu kiswahili?wapi mumeona neo marais?

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 Месяц назад

    Habari nzuri kiuchumi ❤

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 Месяц назад

      Magufuli baba uliwakataa waChina Bagamoyo na miaka yao 99. Moyo wangu unaniuma nikiona mlanguzi China anatufata fata. Hayupo Magufuli…amkemeee na kumkataa mlanguzi mChina

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 Месяц назад

    Hapo linapangwa dili lingine watu tule

    • @sifunisamwel8830
      @sifunisamwel8830 Месяц назад +1

      Hapo sasa ina maana tumeshindwa kujenga wenyewe Tz na zambia😭

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 Месяц назад

      Magufuli baba uliwakataa waChina Bagamoyo na miaka yao 99. Moyo wangu unaniuma nikiona mlanguzi China anatufata fata. Hayupo Magufuli…amkemeee na kumkataa mlanguzi mChina

  • @JoblessMillionaireMakolo-jb7xo
    @JoblessMillionaireMakolo-jb7xo Месяц назад

    Nonsense haiingii akilini,yaani Nyinyi CCM na serikali yenu ya wapigaji,mnataka kuniambia toka 1979 hadi leo ni zaidi ya takriban miaka 45 shirika limeendeshwa kihasara mpaka msaidiwe kujengewa tena hiyo reli kwa mkataba nyie toka 1979 hadi leo pesa mmepeleka wapi? CCM ishaoza kitambo wote ni wezi na wapigaji kuanzia mwenyekiti wenu hadi mjumbe wa nyumba kumikumi,toka 1979 shirika halijaingiza chochote,treni za kizamani,reli na mabehewa hata choo hakuna,wezi watupu,wafurahisheni wajinga wenzenu.

  • @am2323Diaspora
    @am2323Diaspora Месяц назад

    Jiwezesheni kwa kununua mashine za kuchimba madini kisha kujenge viwanda vya kuchekecha madini kama ghahabu

    • @danielkullwa1613
      @danielkullwa1613 Месяц назад

      Hii ndo wazungu hawataki..tukifanikiwa kwenye hili ulaya wanafilisika...uingereza ina dhahabu nyingi kwenye akiba afu hakuna migodi...hapo ni nini...

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 Месяц назад

    This is a massive boost to our economy. I salute China .

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 Месяц назад

      Magufuli baba uliwakataa waChina Bagamoyo na miaka yao 99. Moyo wangu unaniuma nikiona mlanguzi China anatufata fata. Hayupo Magufuli…amkemeee na kumkataa mlanguzi mChina

    • @am2323Diaspora
      @am2323Diaspora Месяц назад

      @@mwalimumstaafu8529 for 54 years Zambia has been drained its wealth. What the benefits.

  • @peterndunguru185
    @peterndunguru185 Месяц назад +1

    Hao wanauza bara letu la Africa

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 Месяц назад

      Magufuli baba uliwakataa waChina Bagamoyo na miaka yao 99. Moyo wangu unaniuma nikiona mlanguzi China anatufata fata. Hayupo Magufuli…amkemeee na kumkataa mlanguzi mChina

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 Месяц назад

    Magufuli baba uliwakataa waChina Bagamoyo na miaka yao 99. Moyo wangu unaniuma nikiona mlanguzi China anatufata fata. Hayupo Magufuli…amkemeee na kumkataa mlanguzi mChina

  • @lijonjo
    @lijonjo Месяц назад

    Hawa watu weupe siwapendiii

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 Месяц назад

      Magufuli baba uliwakataa waChina Bagamoyo na miaka yao 99. Moyo wangu unaniuma nikiona mlanguzi China anatufata fata. Hayupo Magufuli…amkemeee na kumkataa mlanguzi mChina

    • @KudraWanguvu-em1xw
      @KudraWanguvu-em1xw Месяц назад

      hawezi kufikia malengo yako bila kushirikiana na wachina kwa Dunia ya sasa