Ubora wa mbegu mpya za minazi 'usipime'! zina uwezo mkubwa wa kuhimili ukame na magonjwa.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 дек 2024

Комментарии • 18

  • @jiwekichwa2857
    @jiwekichwa2857 Год назад +1

    We are not serious. Mkombozi wa upungufu wa mafuta ya kupikia ni large scale kilimo cha michikichi.
    Wahindi wana-import mafuta ya mawese then wanai process to different kind of mafuta ya kupikia.
    When they said we are importing cooking oil,they meant unprocessed plums oil.

  • @muhammadalibhaz1390
    @muhammadalibhaz1390 Год назад +1

    siasa inatukwamisha + roho mbaya ya wadau nimeshuhudia taasisi serikali tari zinazozalisha Miche wanaukiritimba nyingi nilishuhudia katika maonyesho ya sabasaba walieleta mche mmoja kama . mfano wa maonyesho badala ya kuuza nyingi katika maonyesho (roho mbaya)

  • @adamunkwabi9646
    @adamunkwabi9646 2 года назад

    Naomba msaada minazi yangu inashambuliwa na mdudu na sijuwi in mdudugani

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 года назад

    Inshallah baba

  • @zainabushabani7309
    @zainabushabani7309 Год назад

    Chambezi ndo wapi wadau

  • @jiwekichwa2857
    @jiwekichwa2857 Год назад +1

    Kwa ninavyo fahamu mafuta ya nazi hayapendwi na siyo mazuri hata kidogo . Watu wanatumia tui la nazi kupikia . Tui linapatikana kwa kukamua machicha ya nazi.
    Huyu mtaalam katufunga kamba huwezi kutengeneza furniture kwa kutumia mti/ shina la mnazi.

    • @carolinemasonga163
      @carolinemasonga163 11 месяцев назад +1

      Mti wa Nazi uliokomaa una mbao ngumu usivyojua na haipekechwi na wadudu kama mbao nyingine na ni kweli Inatengeza fenicha. Fuatilia kwa mafundi.

    • @JohnJohn-tz5xd
      @JohnJohn-tz5xd 2 месяца назад

      Mnapatikana wapi na miche yenu mnauzaje kama mnauo

  • @elvisjonas8520
    @elvisjonas8520 2 года назад

    Na maanisha miloni 800 sio milioni 8.

  • @chayogasperi9783
    @chayogasperi9783 3 года назад +1

    Tanzania tuna rasilimali nyingi zinazoleta utajiri , sijui tunakosea wapi ????

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  3 года назад

      Uko sahihi kabisa, naamini kadri tunavyopata taarifa sahihi za fursa hizi Watanzania tutazitumia na kupata maendeleo. Nadhani tatizo ni kukosa taarifa sahihi za fursa kama hizi

    • @emmanuelchiza7733
      @emmanuelchiza7733 2 года назад

      Kweli kabisa

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 года назад

    Changamoto za wahandishi wetu ni kubwa, sasa tushajua minazi ina faida sasa hizo mbegu zinapatikana wapi?

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  3 года назад +1

      Ukifuatilia vizuri utapata jibu la swali lako, huyo anayezungumza ni mtu kutoka TARI Dar es salaam, na ndio wanaozalisha hizo mbegu. Lakini maoni yako tumeyaelewa na tutayazingatia

    • @kitonikitoni6299
      @kitonikitoni6299 2 года назад

      Binafsi ninashida na namba ya huyu mzee kiofisi

  • @elvisjonas8520
    @elvisjonas8520 2 года назад

    Tz tunazalisha nazi miloni 8 kwa mwaka, je nikati eneo la 265ha? Au kuna siri ya aina flan ya minazi yenye uwezo mkubwa wa kuzaa?

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 года назад +1

    Inshallah baba