SAYUNI | SIMULIZI MPYA | KISA CHA KWELI
HTML-код
- Опубликовано: 9 фев 2025
- Kwa majina naitwa SAYUNI ANTONY HIMBA, leo nina kuletea/walatea kisa hiki Cha kweli kinachohusu maisha yangu ambacho kitakwenda kukufunza mambo mengi sana.
Mimi ni mtoto wa kwanza kati ya watoto sita (6) katika tumbo la mama yangu ,huku Kwa baba nikiwa mtoto wa pili kati ya watoto Saba (7).
Nilizaliwa mkoa wa kigoma Wilaya ya kasulu Kijiji Cha Rungwe mpya, katika maisha yangu yote siku bahatika kuishi na wazazi wangu sio kwamba hawako hai no ila baba yangu na mama yangu hawakuwahi kuishi pamoja kwasababu wanazozijua wao.