Dah kwa kwel huyu mwamba anajua nilipo ona crip ya willy q Tz kajirecord Kwa hii ngoma , ghafra nikaipenda na ndo chanzo chamm kuja kuichek RUclips na kusubscribe tayar oyaa bro unajua
Narudia kucoment bro hii ngoma mkn xanaa ... Nikisikia msitari unaosema "Hali ya nyumban inanipa hasira kupambana, naishi mji wa WATU,. . Neno mji wa WATU daaah noma sanaa
Kazi nzuri kaka tupo pamoja mungu akufanikishie!
Waa kwakweli ni moto fire 🔥🔥
noma🔥🙏🔥
Noma sana
Noma sana
Lakini kwa haitaki ku download sijui nn mbaya
❤❤imeweza sana kaka
napenda sana sauti yako lazim ufike mbal dr❤
Thank you nashy wangu🔥🙏
Jamani chay sijawai jua kama we msanii 🫢🥳🥳🥳nakukubali...tumpe chay wetu wa tiktok likes zake na suport🥰🥰🥰🥰🥰
Shukrani sanaa🙏🙏🙏
Hata mm nilikua gizani kama ww sikujua yuko talented hivi may God lift you in higher bro 🎉
Ahsante sana❤️🙏
@@REHAEMAMLAMBA🙏🙏🙏
Dah kwa kwel huyu mwamba anajua nilipo ona crip ya willy q Tz kajirecord Kwa hii ngoma , ghafra nikaipenda na ndo chanzo chamm kuja kuichek RUclips na kusubscribe tayar oyaa bro unajua
Nyimbo nzur san you make me to remember back ground of my lif😭😭😭
Mungu atuangazie na sisi😭
Wenye tumetoka tiktok drect tupo lakes huyu mwamba anajua🌹🌹🌹
ahsante saaana🙏🙏
bro nakubali sana song nzuri san afu song nikama umeniimbia kabisa hali yangu yote nikama 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
😭mungu atufanyie wepes
Pamoja sana mwana
💪🏽
Safari Bado Ndefu ndugu
kabisa kaka
👏👏👏👏👏 kabisa huu wimbo mkali sana I seeh hii ngoma ina msg nzuri kweli👌mambo bado ila imaani ipo tu
ipo siku inshallah 🔥😭
Yah mungu atufanyie wepes🥹🥹
@@CHEY_TZ amiin🙏
Safi sana
🔥🙏
Hatuchoki kupambana japo tunanyanganywa hakizetu😢 mungu yuu pamoja nasi🙏
inaumiza sana🥹
One day yes bro🥰🥰🔥
🤞
Safali Bado utafika❤
nakubali
🥺🥺🥺🥺🙏🙏🙏🙏Tuendelee kupambana
bira kuchoka
Tunapambana sana jamani 😢na bado haki yetu wanatunyang’anya😭😭
😭🙌
🔥🔥barikiwa sana my friend
inshallah best angu wa nguvu
fundi mziki🔥
🔥
Nilivyo kuwa naingoja sasa 🔥
Yah , Enjoy dear
@@CHEY_TZna download mara hiyo hiyo❤
Nakukubal sana
Star wangu kaza buti nakuona mbali
inshallah
Unajua kaka pambana ipo siku utafanikiw
inshallah 🙏
Uncle...!
Uncle🔥
MAMBO BADO🔥🔥🔥🔥🔥
mziki msafi
ngoma kali sana brother
shukran sana
Narudia kucoment bro hii ngoma mkn xanaa ... Nikisikia msitari unaosema "Hali ya nyumban inanipa hasira kupambana, naishi mji wa WATU,. . Neno mji wa WATU daaah noma sanaa
noma sana soon nakushushia mpya iyo ndio balaa kabisa
Utapata usiwaze pambana tuu, Mungu wetu ashindwi 🔥🔥👏👏
Amina🙏🙏
Tobo naliona
🔥nakupal kaka
Na njuwa mungu ni wetu sote mungu aku piganie ufike kwenye malego yako❤❤
Amina🙏🙏
King of tz am proud of melody .Tia bidii mungu upo 🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥
sawa🙏
🔥🔥🔥✅mwenyezi Mungu akusimamie mpenzi nakukubali sana
Inshallah🥰🙏🙏🙏
Upo vizur sana kaka kaza utafika mbali San kijana mwenzangu 🎉🎉🎉🎉
Shukrani sana
Unajuwa NN imefaya nitafute hii 😊😊😊Hali ya nyumbani hongeraa brother pamoja ❤❤❤❤
Ahsante sana🥰🙏🙏🙏
Mchana Jua Kali lanichoma chamoto nakiona Ngoma Kali ujumbe mzito Kwa sisi vijana watafutaji na nyumbani mambo magumu ongera my brother
Shukran sanaa🙏🙏
Ni Bonge la ngoma ase... By Calejorry... ❤❤🎉🎉
pamoja blood
Dah ngoma nzuri kweli❤❤❤
Nakubaliii
Maashaallah ujumbe mafunzo kamili Asante kwa KUWAPA moyo wapambanaji.imeweza kakangu
pamoja sana💪🏽🙏
Ongera kaka angu unajitaidi pamban utuwakilishe Ming,ongoni kwetu
Inshallah mungu atufanyie wepesi
🔥🔥🔥🔥🔥 Umetisha sana mzee endelea kudondosha vitu watakuelewa tu watake wasite💪💪
Nakubalii✊🙏
😢😢😢 bado tunapambana ujumbe mzuri sana
🥹🥹🥹🙏🙏🙏
I had to subscribe,,,Inaniingia upande mwingine 🙆🙆
Sijakuelewa vizuri?
zar Amazing hapa nyimbo nzuri nimefata mpaka huku
Ahsante sana🙏
Kipenzi changu❤❤
🥰
Chukua maua Yako 🎉🎉🎉🎉
Mie kwangu mambo bado😢
Ahsante kaka 🙏🙏🙏
Pokea yangu ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ nice song mkalii
Ahsante sana🔥🥰🙏
Big up bro,, wimbo wenye message nzito❤❤
Shukrani sana🙏🙏
🙏🙏🙏🙏 nakubali
🙏🙏
Big up chey na Moko mkikutanaga nyinyi ni 🔥🔥🔥🔥
yah baba tukituliza akili moto unaungua🔥 kaka mkubwa
NAKUBALI SANA KAKA NGOMA KALI SANA 🔥🔥🔥🔥
pamoaj🙏
Unajuwa kuimba jamaa kaza buti nakuonea mbali sana
sawa🙏🙏
Kweli kabisa hakuna kukata tamaa 💪💪💪
Tuendelee kupambana kaka
Sauti tamu ❤❤
🥰🙏
Good melody, good sound, good message💯💯💯✨️
🙏
Nakubal chey chaf yang❤
pamoja sanaa✊
Nakuombea mungu atakusimamia dear uhakika utapiga hatua🙏🏻🙏🏻
Inshallah
Ngoma kali kisenge yaani bc tu wasenge wanaloga sana
Amini kwamba mzee wangu
Familly 🎉🎉🎉❤❤❤❤
fundiii mziki
Kazaa chey unaweza
Shukrani
Unyamaa sana captain umetisha umu kinoma ✅
🙏🙏
All the way from tiktok.... congratulations chey
Shukrani saana
One song 🔥🔥🔥🔥🥰
🥰🔥🔥🔥
Ume uwaaaaah chey 🔥🔥🔥🔥🔥 nakubali 🙌🙌
nakubaliii
Jamani chey nimeangalia maratano waa
safiiii🔥🔥🔥🙏
🔥🔥🔥🔥
noma
nakubali sana🎉
pamoja sanaa
Congratulations dear you're a star,,❤❤ and i love all yours songs
🙏🙏🙏
❤❤❤ hali ya nyumbani inanipa hasira kupambana
naishi mji wawatu
Kwel mamb bado mwanawane
Yah mambo bado
Pambana bina mungu yupo
🙏🙏🙏
Waooo broo utafik tu❤❤❤
🙏🙏
fundi mziki
🙏
On heat 🔥 🔥🔥
🔥🔥🔥
Nifayaaa my🔥🔥🔥🔥
nakubaliiii🔥
Umeua br00🔥🔥
Nakubalii
ngoma kaliiii sanaaa
Nakubaliiiiiii
Umeupiga mwing humu kaka🔥🔥
Nakubali mdogo angu
Jox music approved it bro
nakubalii
King 🤴 of melody
melody za kutosha
Unajua kaka .Tena unaimba vizuri Sana .hii nyimbo ni Kama ulinimbia Mimi ❤
🙏🙏🙏
Challenge For Champions 2023 and beyond 💪🇹🇿👍
🙏🙏🙏
❤❤mashallh
❤️🙏
Nice songs 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😭😭😭
thank you 🥹🙏
Mwamba wa miamba ni wew kaka
nakubalii
Keep on moving our Chey
🔥🙏
Nice song ❤
🙏🙏
#mzikimsafii 4life 🔥
🔥🔥🔥
Nice song keep going bro ❤️❤️
Thank you u
Nice song bro wang
Thank you 🙏
Nakukbali saa💪
Pamoja saaana
I like this song ❤❤❤❤
🥰🥰🥰
Kweli yani
yah🔥
Kaka unajuwa 🎉 ❤❤
nakubalii
My love 👌🔥🌹
❤️🙏
Wow ❤❤
🥰🔥
Chey congratulations..you're a star ❤
Shukrani sanaa
Fire🔥🥰
🔥🔥🔥🔥 😊😢
🔥🥹
Umeua
nakubalii
Tiktok to here❤
🔥🙏
😂😂chey kama chey unajua bab😂😂🎉🎉