Matangazo ya Dira ya Dunia TV

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 274

  • @benedictmbelwa2385
    @benedictmbelwa2385 Год назад +6

    Mwenyezi Mungu, nakuomba sana Baba sema na Viongozi wanaosababisha mauaji makubwa ya Binadamu. Wasuluhishe jambo hilo

  • @JosephatKombe-ri5nj
    @JosephatKombe-ri5nj Год назад

    Hii sio hali nzuri kabisa

  • @senetamtangazaji2901
    @senetamtangazaji2901 Год назад +2

    Kazi Safi

  • @arushagospelchoirkijenge5339
    @arushagospelchoirkijenge5339 Год назад

    Hongera kutangaza vizuri sana

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 Год назад +2

    Allah awasaidie ndugu zangu waislaamu Allah awalipe ubaya wao hawa maadui

  • @GeofpreyGeorge
    @GeofpreyGeorge Год назад

    Habari nzuri

  • @OlooMilton
    @OlooMilton Год назад +1

    Kazi nzuri kabisa

  • @TuanithaJacob
    @TuanithaJacob Год назад +1

    Mwenyezi Mungu watetee waja wako

  • @WAIGAMAENGINEERINGWAIGAMAENGIN
    @WAIGAMAENGINEERINGWAIGAMAENGIN 17 дней назад

    Poleni huko kongo

  • @jonasibenja
    @jonasibenja Год назад

    Poleni navitaiyo

  • @Ibrahimmeshilieki
    @Ibrahimmeshilieki 2 месяца назад

    Viongozi ndio wako na shida raia wanateseka wakubali kubadilishana wafungwa mwenyezi mungu awasaidie raia na watu wote kwenye vit

  • @sinawsinaw6201
    @sinawsinaw6201 Год назад +4

    Yaallaah unaviona tusivoviona yaarab tuma Jeshi unalolijuwa😢 kwa uwezo wako litatuwe vita hivi yaajabaar 😢yaakarmu😢hatuna njia nyengiene ss ila ni kuangusha nyuso chini na kukuomba ewe allaah tukubalie duwa zetu ewe yaamaaulana 😢

  • @PhilipobayyoMandaa
    @PhilipobayyoMandaa Год назад

    Mungu aingilie kati

  • @allyibrahim2732
    @allyibrahim2732 Год назад

    Kazi nzuri BBC kwa kutujuza

  • @FilbertRobert-e4u
    @FilbertRobert-e4u 4 месяца назад

    Safi sana

  • @YunusFaki-qi4ye
    @YunusFaki-qi4ye Год назад

    Pole san

  • @HussnaHussein-ej1gu
    @HussnaHussein-ej1gu Год назад

    Mashallah

  • @abdulyabubakar6247
    @abdulyabubakar6247 Год назад

    Aisee

  • @JumaGeba-ho1rm
    @JumaGeba-ho1rm Год назад

    Duuuh mbona Kali hiyo

  • @SaidAthuman-kd9wx
    @SaidAthuman-kd9wx Год назад

    Tumche Allaah ndipo tutapata nusra

  • @PeterMolely.-yw2qi
    @PeterMolely.-yw2qi Год назад +1

    Twataka amani duniani

  • @Ndushikayungilo722
    @Ndushikayungilo722 Год назад

    Poleni mnaokubwa na machafuko

  • @ayoubbajuta4427
    @ayoubbajuta4427 Год назад +3

    Mungu ukawe mlinzi Kwa watu wasio na hatia

  • @mohdkhamis5687
    @mohdkhamis5687 Год назад +8

    Ya Allah Inusuru Palestina Na Watu wake Ya Allah 🤲🤲🤲😭😭

  • @WamburaThomas-s3u
    @WamburaThomas-s3u 3 месяца назад

    Mungu akulinde yaani time kumis wikihi haupo😢😢

  • @SamuelKabwe-h8w
    @SamuelKabwe-h8w Год назад

    Good

  • @allyibrahim2732
    @allyibrahim2732 Год назад

    Allah wanusuru waja wako ishaallah

  • @fikiribahati
    @fikiribahati 3 месяца назад

    Nawafata nokiwa Congo goma

  • @nyalerehema-ug4lu
    @nyalerehema-ug4lu Год назад

    Roncliff odit ulituacha pekeetu na kazdo kbc,one love bro kazi iendelee

  • @ChristolOndunga
    @ChristolOndunga Год назад +3

    Mungu peana amani Duniani kuote

  • @PatrickMwanzia-k8d
    @PatrickMwanzia-k8d Год назад

    Keep it up

  • @bagumaisaac4220
    @bagumaisaac4220 Год назад

    Kweli

  • @josephmoyo5617
    @josephmoyo5617 Год назад

    Tumuombe Mungu aondoe magaidi duniani.

  • @SelemaniDowile-mk1wm
    @SelemaniDowile-mk1wm Год назад +1

    Sijui Kwa sabb gni wazungu wanangangania hizi nchi za kiarabu kama hvi alafu wanasabb wtu wapigane

  • @JeanpyIlunga
    @JeanpyIlunga Год назад +1

    🎉 Mungu baba ilinde dunia yako watu wauwawa sana # hapa DRC ,hasa kwa nyakati hizi za Vita umu Inchini DRC
    🎉 Mpasha Habari Jeanpy ILUNGA BYAMUNGU

  • @SubiraSoudy
    @SubiraSoudy Год назад

    Polen msght mother

  • @MussaKahera-mo7vl
    @MussaKahera-mo7vl Год назад

    Mungu atie huruma yake kwa tukio hili

  • @ChukiNjilinge
    @ChukiNjilinge Год назад +4

    Yaarab wanusuru watu wako.😢😢

  • @RaphaelMbughi-n1g
    @RaphaelMbughi-n1g 3 месяца назад

    Israel fanya yako!!

    • @ZakariaYahya-c3n
      @ZakariaYahya-c3n 2 месяца назад

      Kama ilikua ni family Yako wanao teseka ungalisema hivo kua na akili wale wanaouliwa ni binadamu kama ww

  • @AnnaMaganga-si8wb
    @AnnaMaganga-si8wb Год назад

    Nchin

  • @JohnSimule
    @JohnSimule Год назад +5

    Mungu mwenyewe aingilie kati juu ya vita hii kinyume na hapo wateule tuamke,ulemwisho ndio huu

  • @solangedhesi7813
    @solangedhesi7813 Год назад

    Daa ii Dunia bora yesu audio 😢😢😢

  • @AlfredBuhohela
    @AlfredBuhohela Год назад

    Mungu wasaidie hao waganga wa vita

  • @selemanyousuf8160
    @selemanyousuf8160 Год назад +5

    Makafiri wa Israel

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 Год назад

      Mungu wako ndo kafiri asiye kuwa na akili,

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 Год назад

      ​@@vincentcharles4385Hawa wanaojiita Israel (Mayahudi ) ni Makarifir kweli,, waliua manabii sana watashindwa kuuwa watoto, wazeee na watu wazima? Kwanza Wakristo humjui tu hawa wala hawamjui Yesu ( hii ni laana yao ya asili ila ina ukomo wake

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 Год назад

      Makafili wa lsreir Mungu awauwewoote laana ziwashukie makafili

    • @lorelore2930
      @lorelore2930 Год назад

      ​@@vincentcharles4385sio mama yako

    • @BarikiKimaro-it5pq
      @BarikiKimaro-it5pq Год назад +1

      😂😂😂wameyataka weenyewe acha wateule WA Mungu wawape walichokitaka😂

  • @AlloysAlex
    @AlloysAlex 2 месяца назад

    Kama mbwai mbwai😊

  • @leahmollel6589
    @leahmollel6589 Год назад +3

    Ee Mungu sote tu kazi ya mikono yako! Katika ghadhabu kumbuka rehema Ee Mungu wetu🙏

  • @KisimbaAbed
    @KisimbaAbed Год назад +2

    Yaaaap live in Windhoek Namibia

  • @levislewis4291
    @levislewis4291 Год назад

    Nafurahia sana matangazo yenu nikiwa Arusha Tanzania.

  • @salehsaleh1305
    @salehsaleh1305 Год назад

    Wanawaonea tu

  • @solangedhesi7813
    @solangedhesi7813 Год назад +1

    Zambi zimejaa duniani bwana yesu atusaidie

    • @nimoali3651
      @nimoali3651 Год назад

      Yes ni mtume wa mwenyezi mungu...nyenyekea na uombe mwenyezi mungu peke yake usiombe mitume wala malaika omba mwenyezi mungu peke yake

  • @AhmadiKigazi
    @AhmadiKigazi Год назад

    Iziraer ranatururwa

  • @sumbulan
    @sumbulan Год назад

    Star tv nafatila sana ifikapo saa3:00 usiku nikiwa kigoma Tanzania

  • @jamilmwinge3695
    @jamilmwinge3695 Год назад +4

    Eeeh Allah viumbe wako tunateketea tu nakuomba Mola wetu tudumishie amani kwenye mataifa yetu 😢😢😢

  • @RobertMsoma
    @RobertMsoma 9 месяцев назад

    Lazima neno la mungu litimie,yaliyo nenwa katika bibilia ndiyo haya,ewe mwanadamu amka kwani haya ya dunia,ule mwisho umefika mathayo 24:7...

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 Год назад +9

    Kipigo kinachoendelea huko gaza kinapaswa kuendelea, gaza ipigwe Sawasawa na hamasi iteketezwe

    • @shabaniumande
      @shabaniumande Год назад +1

      Wewe ni muwaki mkubwa
      Una fikra za uwaji kama waizraeli

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu Год назад +3

      Sasa wewe unaishabikia Israeli Kwa factor gani. Hão Israeli wenyewe huyo yesu wako wamemkataa Hadi Leo huo ukristo wako wenyewe pia hawataki hata kuusikia na kila siku wanashinda wanaua wakristo hata mwaka juzi wakristo walikua wakishelekea pasaka walipigwa mabom Jerusalém na wakafa wakristo kibao. Wayahudi sio watu wazuri kabisa bro

    • @bahomehussein8289
      @bahomehussein8289 Год назад

      Bbc paseni sauti wala msichoke vita visitishwe

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 Год назад

      @@Hussein-gx4quWewe hao Palestina unawashabikia kwa factor ipi kama sio uislamu,kuwa na akili di*k head wewe.

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 Год назад +2

      Wewe ni Mkristo ambae unafurahia mauaji kwa mara ya kwanza,, na kwnn wakristo mnajipendekeza sana kwa wayahudi wavamizi?

  • @AndréMushoho
    @AndréMushoho 5 месяцев назад

    Ni andre pa Bukavu Congo je iyi umoja wamataifa hawaoni yanayo endeleya mashariki mwa l'info?

  • @asmaalghafri449
    @asmaalghafri449 Год назад +2

    Dini gani inayo amrisha kuuwa watu na kuwanyima chakula umeme na maji hiyo dini siitaki lakini raha zao duniani tu pepo hawataigusa waiziraili wakiwapiga falastini hawafingui mdogo kwa falastini ndio mnafurahia ipo game bado shaa Allah Allah

  • @eliyanorobeth8567
    @eliyanorobeth8567 Год назад

    Dunia imechangamka mpaka rahaaaa

  • @nassorojuma1528
    @nassorojuma1528 Год назад +1

    Give the Palestinians their right, stop innocent people from dying

  • @kokusimabuberwa259
    @kokusimabuberwa259 Год назад

    Mungu Ilinde Israel

  • @MesackkasangaPaulkasanga
    @MesackkasangaPaulkasanga Год назад

    Jaman vita hivivitaixhalin

  • @kaliskaguzkalis4424
    @kaliskaguzkalis4424 Год назад +2

    Dunia imejaa unafiki unaoongoze na marekani na washirika wake

  • @jinomoko5510
    @jinomoko5510 Год назад +6

    Hamas walikosea sana wanajua kabisa Israel ina nguvu pia ina wasaidizi kwa nn waliamua kuharibu familia zao?

    • @MonaAlmona-c1n
      @MonaAlmona-c1n Год назад

      Wamewachokoza kwa kukashifu msikiti tukufu atakama
      Wanajeshi kubwa lakn ifike wakat waache kuwaonea waisilam hawa wa palestn

    • @flova7022
      @flova7022 Год назад +1

      @@MonaAlmona-c1n stop speaking non sense you don't know...right? Nani kakupea taarifa sinagogi ni Mali ya palestina pekee...yaan pahala patakatifu PA watu wote WA dunia ndio pawe pa Palestinians? Do u know the Jesus origin? Do u know Jacob? Isaac etc?

    • @moshkeily1864
      @moshkeily1864 Год назад

      Sababu kuu israel imekaa pale kwenye ardhi ya wapalestina kimabavu kwa msaada wa mataifa ya magharib

    • @MonaAlmona-c1n
      @MonaAlmona-c1n Год назад

      @@flova7022 sasa nimecoment kiswahili wanijia na jicoment lako la kingereza unahakka kama iyo lugha na ijua
      Ila mwenyezi mungu atawapigania waisilam wote dunian na amtaa mshinde enyi makafir
      Msizani kua mungu wetu wa hakk aoni kinacho endelea wala awezi kuwaadhibu
      Na ilo jeshi lao kubwa na masilaha mungu anaweza shusha adhabu ata kwa mdudu mdogo tu na wasijue njia ya kujinasua angalieni wenzenu wa ufaransa kunguni wanavyo watesa

    • @kulemudogo6413
      @kulemudogo6413 Год назад

      Mungu ni waisraeli

  • @AbuuidrrsabaqaryKaponda
    @AbuuidrrsabaqaryKaponda Год назад +2

    allaah atatulipiya mnatuiya ndugu zetu ni llaaha ipo siku tutalipa inshaallaah😭😭😭😭😭😭😭😭☝

  • @Ibraclassic78
    @Ibraclassic78 Год назад +2

    Ee mwenyenzi mungu wanusuru watu wako watoto wako wanaangamiq

  • @YunisVanisa
    @YunisVanisa 9 месяцев назад

    mungu saidia watu wako vita.iishe jamani

  • @kulemudogo6413
    @kulemudogo6413 Год назад

    Mungu anakusudi lake tokea kizazi cha Ibrahim baba yake Isaka, ati atabariki uzao huu kama mchanga wa pwani... Heri kukaa pamoja kuliko vita

  • @MosesMwakatumbula
    @MosesMwakatumbula 3 месяца назад

    Waachiwe mateka first 😂

  • @KhadijaSamson-e4q
    @KhadijaSamson-e4q Месяц назад

    Our God, all the nations should not be silent on this conflict, sit down and be a counselor to end this conflict, this is not right, use the knowledge you have to calm this down, please, the United Nations, sit down and end this🏴󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🇿🇼🇿🇲🇿🇦🇾🇹🇻🇪🇻🇬🇻🇮🇻🇳🇻🇺🇼🇫🇼🇸🇽🇰🇾🇪🇻🇨🇻🇦🇺🇿🇺🇾🇺🇸🇺🇳🇺🇲🇺🇬🇺🇦🇹🇱🇹🇲🇹🇳🇹🇴🇹🇷🇹🇹🇹🇻🇹🇼🇹🇿🇹🇰🇹🇯🇹🇭🇹🇬🇹🇫🇹🇩🇹🇨🇹🇦🇸🇿🇸🇲🇸🇳🇸🇴🇸🇷🇸🇸🇸🇹🇸🇻🇸🇽🇸🇾🇸🇱🇸🇰🇸🇯🇸🇮🇸🇭🇸🇬🇸🇪🇸🇩🇸🇨🇵🇾🇶🇦🇷🇪🇷🇴🇷🇸🇷🇺🇷🇼🇸🇦🇸🇧🇵🇼🇵🇹🇵🇸🇵🇷🇵🇳🇵🇲🇵🇱🇵🇰🇵🇭🇳🇵🇳🇴🇳🇱🇳🇮🇳🇬🇳🇫🇳🇪🇳🇨🇳🇦🇲🇿🇲🇶🇲🇷🇲🇸🇲🇹🇲🇺🇲🇻🇲🇼🇲🇽🇲🇾🇲🇵🇲🇴🇲🇳🇲🇲🇲🇱🇲🇰🇲🇭🇲🇬🇲🇫🇱🇸🇱🇹🇱🇺🇱🇻🇱🇾🇲🇦🇲🇨🇲🇩🇲🇪🇱🇷🇱🇰🇱🇮🇱🇨🇰🇲🇰🇳🇰🇵🇰🇷🇯🇴🇯🇲🇯🇪🇮🇹🇮🇸🇰🇮🇰🇭🇰🇬🇮🇶🇮🇴🇰🇪🇯🇵🇮🇳🇭🇳🇭🇷🇬🇸🇬🇷🇬🇶🇭🇺🇬🇹🇬🇺🇮🇨🇮🇩🇬🇼🇬🇾🇮🇪🇮🇱🇭🇰🇭🇲🇮🇲🇬🇵🇬🇩🇬🇳🇬🇧🇬🇦🇪🇺🇪🇸🇬🇲🇬🇱🇫🇷🇫🇴🇪🇭🇬🇮🇫🇲🇪🇬🇪🇪🇫🇰🇫🇯🇪🇨🇪🇦🇫🇮🇬🇪🇩🇿🇧🇷🇧🇶🇨🇩🇧🇹🇨🇫🇨🇬🇧🇼🇧🇸🇧🇾🇨🇮🇧🇼🇧🇿🇨🇮🇨🇭🇨🇰🇨🇱🇨🇽🇨🇼🇨🇻🇨🇺🇨🇷🇨🇵🇨🇴🇨🇳🇨🇲🇨🇦🇧🇴🇦🇺🇧🇪🇧🇬🇧🇭🇧🇮🇧🇯🇧🇱🇧🇲🇧🇳🇧🇩🇦🇷🇦🇩🇦🇨🇦🇪

  • @ingodwetrust.239
    @ingodwetrust.239 Год назад

    My goodness mti kugeuka jiwe???? Hatari kweli

  • @KelvinJosephat-ks9lb
    @KelvinJosephat-ks9lb Год назад

    Jmn

  • @msafiripascal2757
    @msafiripascal2757 Год назад +2

    Nawapongeza bbc kwakazinzuri yakutufikishiya taarifa zauwakika

  • @abdulnoor6221
    @abdulnoor6221 Год назад

    Nasikiza kutoka saudi arabia

  • @abdulrazaqfils4234
    @abdulrazaqfils4234 Год назад

    ❤❤❤

  • @ramadhanzakayo4232
    @ramadhanzakayo4232 Год назад +7

    Sisi wanadamu tunawana wenyewe mungu awe na sisi

  • @RobertMsoma
    @RobertMsoma 9 месяцев назад

    Mathayo 24:7... Wewe usieamini mwisho wa dunia

  • @ProsistaTarimo
    @ProsistaTarimo Год назад +1

    Kwani ni upande upi ulianza uchokozi? Na kama ni dini mwacheni kila mtu amwamini Mungu wKe kusiwepo na kumlazimisha mtu kama hataki dining hii ATI auawe. Huu sio ubinadamu. Na hakuna mtu ambae hatakufa. Na ukifa huendi na vitu vyako wala diniyako kila kitu utakiacha hapa duniani.

  • @reface6780
    @reface6780 Год назад

    Hali hii itaisha lini? Mbona inatisha sana

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 Год назад

    Mpaka watakapojua kuwa YEHOVA Mungu wa israel ndiyo Mungu wa kweli

  • @ElianifaluckaMmary
    @ElianifaluckaMmary Год назад

    Jaman Mungu ebu wape Aman watu hawa wawe na upendo

  • @ProsistaTarimo
    @ProsistaTarimo Год назад

    Sisi tupendane tukijua Mungu ni mmoja tu wa watu wote. Sisi wote ni watoto wa baba mmoja . Kuuqan hakusaidii tuombe amani itawale tuwe huru

  • @SuesiJuma-gx4ye
    @SuesiJuma-gx4ye Год назад

    Kinda

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 Год назад

    Mhmm miti kuwa mawe mbona kama siamini? Na uku kwetu yapo tunayachoma mkaa unamkaa mzuri sanaaa

  • @WILLIAMLUKUMAY-n4b
    @WILLIAMLUKUMAY-n4b 4 месяца назад

    Nawapata mubashara nikiwa luansha Zambia

  • @SeveriniTemu
    @SeveriniTemu 9 месяцев назад

    Waflme angalieni hii mambo watoto wa maskini anaisha nyiye mpo maofsini Tafteni amani haya marisasi ni biashara inayochochea vita watengeneza mavifaa ya kivita wanachochea mafarakano Duniani wamuogope munguuuu

  • @rachelmlaponi3834
    @rachelmlaponi3834 Год назад

    😊

  • @AmosiMnyahari-tx2qj
    @AmosiMnyahari-tx2qj Год назад

    Dw kiswali

  • @JovinWillium-gn9rz
    @JovinWillium-gn9rz Год назад

    Piga kabisaa washenzi ao

  • @EmmySimon-vm4pq
    @EmmySimon-vm4pq Год назад

    Hii

  • @doctorramadhan1250
    @doctorramadhan1250 Год назад

    Taifa star vs sudan

  • @MaaDii-iz3ur
    @MaaDii-iz3ur Год назад +1

    The last days , ndio manake,ahimidiwe BWANA wa mabwana mana yaliyo nenwa yantokea kila mahali

  • @ThierryNgendakubwayo
    @ThierryNgendakubwayo Год назад

    Naitwa bonfils naogopa kupitia hiz vita manaa tunaerekea pasio pazur

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Год назад

    We Unashangaa Mti Wakati Wako Wadudu Jamii Ya Funza Wanakua Miti Yani Unaona Mche Juu Uking'oa Unakuta Mbegu Ndio Mdudu Uyo

  • @elishamwita2276
    @elishamwita2276 Год назад +1

    Hamas waliwasha moto sasa wavumilie kipigo

  • @MaikoSimbeye
    @MaikoSimbeye Год назад

    Xenda

  • @ShabaniKadari
    @ShabaniKadari Год назад

    Yaaraby wanusur wa2 wako

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 Год назад

    Waafrica tuna akili sana. Huyo anaelezea vizuri

  • @sinawsinaw6201
    @sinawsinaw6201 Год назад

    Dini hijawahi kumlazimisha mtu aiamini kama huitaki hujaitwa amini unachoamini tuachie sisi wenyewe na palestrina hata wakiuwawa bas wanakufa kiimani kabisa kwa sababu ya dini yao so in shaallaah biidhiinllaah siku moja alilolipanga mwenyewe allaah tutayaona na kujuwa😢

  • @PeterChidi-qi2yt
    @PeterChidi-qi2yt Год назад

    Pls Mr president of Israel allow this poeple in the name of god

  • @MuharramHassan-mh3bn
    @MuharramHassan-mh3bn Год назад +1

    Kwnn wazungu wasirudishwe kwao ulaya

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 Год назад

      Unaishi kwa technology ya mzungu,kuwa na akili huyo mungu wenu anaweza kutengeneza ndege

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 Год назад

      Hatasie tunaweza kutengeneza ndege hal wazungu wezitu makafili

    • @SalumAlly-sv5bk
      @SalumAlly-sv5bk Год назад

      ​@@vincentcharles4385 technology yao niya wizi tu, usifananishe MUNGU na hao wazungu washenzi....

    • @barakashaban9698
      @barakashaban9698 Год назад

      ​@@vincentcharles4385huna akili wew ulitaka Mungu akuletee ndege? Yesu ilikuletea technology gani? Au alitengeneza nini unachotumia kwa sasa? Yaan ujinga wako ilibidi ukae kmy ili usionekane mjinga