Hongera sana yasinta, nyimbo ni nzuri, video ni nzuri, sauti nzuri, location nzuri, Mungu akubariki sana uendelee kufanya kazi yake kwa njia ya kuimba.
Hadi nakosa cha kuandika dada yangu ila daima una kufanya na juhudi hata mimi naweza kwani safari yako daima ikona neema za Mungu na daima imba na kumsifu Mungu hata uzeeke msifu mama Maria kwani yeye ana yonguvu kwa mwanae yesu kristo daima rohomtakatifu awe na ww mamy mpare wanguvu kutoka ,"kill oll men"🤣😂🤣😂🤣😂🤔🤔😂😂
VIDEO NZURI SANA NIMEIPENDA💝💖
IMENIBARIKI PIA HAKIKA KIPAJI UNACHO
ENDELEA HIVOHIVO NA SIKU UTAFIKA MBALI
IMANI YANGU MUNGU ATAFANYA NJIA🌍🗽⛪🛣
Asante Sanaa. Mungu akubariki
I love this...... my heart is satisfied with this song
Thank you
wonderful i love this song so much.
Thank you
The producer 🔥🔥👌
🙏🙏
Hongera sana dadangu👏👏👏🥰
Asante sana dada Anastacia 🙏
My favorite songs
Wow!! Your warmly welcome 🥰
hongera sana dada yangu Mungu akuongoze katika safari yako ya mziki mtakatifu
Asante sana mdogo wangu
Wow wow wow 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ameniguza pale unapaona......if naweza kulike more than one time can do it to 50times
Wow!! Thank you 😊 your warmly welcome
Hongera kipenz.....😊.....endeleza utume kwa njia ya kuimba🥰
Amina dada Gloria, mseminari wa chanjale 😂
Hongera sana Binti sayuni kwa kazi nzuri Mungu awe nawe uendelee kuinjirisha kwa njia ya kuimba.
Asante Sana Mwenyekiti wangu mstaafu wa kwaya ya Mt. Maria Goreth Chuo kikuu cha Ushiriki Moshi.
Wow 🌹💯very nice .... .... Ha-ta-ni-ze-e-ke❣️❣️❣️😊😊😊😊
Thanks so much my friend 🙏
Nzuri saana dd yng hongera kwa kazi nzuri Mungu azidi kusimamia kazi yako Amina
Asante Sana frt. Henry🙏
Upo vzr sana
Asante sana kaka Ndaro
Hongera xana jaman mungu akutangulie xana uxikate tamaa ongeza juhud amina
Asante sana rafiki yangu James
Hongera sana Yasintaa 🔥🔥🔥🔥🔥
Asante San jafe 🙏
hongera sana mpenz🤍🤍
Asante sana kipenz changu celina
Hongera Sana mdadaa Mungu azidi kukutumia 🙏🙏🙏
Asante Sana kaka francy🙏
alooooo hongera umetabasam vzur😂😂😂😂 location pia wow☺️☺️ Mungu azid kuimarisha kipaji chako
Asante sana mumy😂😂
hongera sana Mungu azidi kukuongoza vyema
Amina 🙏
Wow love this 💕💕
Wow thanks🙏
Safi sana wimbo mzuri
Asante Sana🙏
Uko vzr dogolasi
Asante san kaka yangu Elius🙏
Congrats my lovely sister. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
thanks young brother 🙏
Najivunia wewe ,ukiwa kama mwanakwaya wangu ulikuwa hukati tamaa na mazoez kabisa..🙏🙏🎚️🎚️🎚️🎚️🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶
Asante sana Mwalimu Sezary, najivunia kuwa na Mwalimu kama wewe pia.
What a wonderful song...nimeguzwa sana 👌👌👌👌👏👏👏
Asante Sana 🙏
Hongera sana
Asante Sanaa❤️
Safi sana mungu ni mwema utafika mbali sana
Asante Sana kamanda wangu pedeshee
Kazi nzuri video kali,,, well done Mungu azidi kukupa macho ya maono uifanye kazi yake bila kuchoka
Amina Sana, my best friend komba
Ubarikiwe sana jmn dada yangu
Amina🙏 Ubarikiwe pia
Hongera sana mamaaa nimeona kazi zako
Asante Sana kaka Pius🙏
Umefanya vyema. Mungu akutangulie dada Yasinta
Asante Sana frt Onesmo 🙏
Big up for u dada yasinta ❤️
@@javamatiki.8921 Asante Sana 🙏
Hongera boss,, upo vizuri🙏🙏
Asante San kaka Alphonce, wakili wangu msomi😁
Congratulations that was a good start umeimba vzur sana🔥🔥🔥🔥
Asante sana kaka james
Umenibariki sana kijanaaaa wangu, unanifurahisha endelea kupiga muZiki aisee ,unatuwakilisha ushirika vema , nimefurahi
Amina sana mwalimu Sezary 🙏
Hongera san yasnta🔥🔥🔥
Asante Sana 🙏
Hongera sana dadangu inapendezaa Mungu akujalie uitumie vema talanta yako🤣🤣🙏🙏🙏🙏
Amina sana🙏
Hongera sana dada yasinta Kwa utume wa uimbaji Mungu akubariki na kukutia nguvu
Asante sana kaka Norbet🙏
Hongera sana yasinta, nyimbo ni nzuri, video ni nzuri, sauti nzuri, location nzuri, Mungu akubariki sana uendelee kufanya kazi yake kwa njia ya kuimba.
Amina Sana rafiki yangu Emmanuel
Haki kwa muziki hakika
🙏🙏
Umetishaaaaa....bravo Yasinta. Mungu akuimalishe katika kipaji chako cha uimbaji siku zote zamaisha yako.
Amina kaka Bonny kwa support yako, hakika Mungu Ni mwema.
Good job.Your going far baby girl 😘🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Thanks so much 🙏
Hongera Sana, kazi nzuri keep it up, Mungu akutangulie
Asante Sana rafiki yangu
Hongera sana mdogowangu mungu akubariki ufikembalii
Amina Sana dada Deborah ❤️
força minha irmã gostei 🇲🇿🇲🇿🇹🇿🇹🇿
Asante sana Bonifacio karibu 😊
Hongera kipenzi Mungu azidi kukuinua
Amina dada consalba❤️
Hongera sana kwa kazi nzur Mungu akuongoze vema katika utume wako
Asante sana, endelea kubarikiwa 🙏
Waoooo waoooo,Mungu azidi kukupa afya njema ili uzidi kumuimbia
Amina dada Alimara👏
Awesome
Keep it up my dear
Thank you 😊 I will
Congratulations baby girls mtegemee Mungu wako sikuzite yy Ndio ufunguo wako
Amina dear🥰
love the singing👌
Thanks so much 🙏
Hongera sana my friend
Asante sana rafiki yangu Ruben
I'm having a crush 😍 on the singer and on her voice... wonderful song... message passed
Thank you so much 😊🙏
Nice song my friend
Thanks so much my friend
you do the best, video quality, sauti iko balanced kiufupi umeupiga mwingi dada angu Yasinta umenibariki sanaa
Asante sana kwaya master wetu munishi
Safi Sana Mdogo wangu umefanya vizuri sana. Mungu Akuongoze vema .
Amina sana dada Despina 🙏
U are such a blessing to me and many others 💕 endelea kipenz ubarikiwe mnooo🙏
Amina sana dada Mwampashi
can`t get enough of this song😍...it even makkes me shed tears🥺😢... be blessed Yasinta♥
Nicely done na utukufu wa MUNGU unaonekana🙏
Amina👏
Kazi safi sana
Asante sana
Congratulations yhsinta
Thanks frt josephat lebulu
Video bahut hi Achcha hai model Ne bahut acche expression Diy Hai, location bahut Achcha hai,
I like
Asante sana,, uzidi kubarikiwa
Hongera kazi nzuri
Asante Sana kaka Apolinary
Congratulations Yasinta. You are good keep it up.
Thanks so much my classmate Arnold.
Excellent
Thanks 😊
Hongera sana yasinta
Asante sana
Woooow lovely voice and nice song
Thank you Caroline 🥰
Balikiwa saaaaana💯💯💯💯
Amina, rafiki yangu
Nice video
thanks my brethren🙏🙏
Wow wow! Very nice. You have brought out the theme of the song very clear 👏👏👏
vizurii sana ...imba mpaka shetani abaki anazubaa👍
😂😂😂 Asante Sana rafiki angu, nami nitafanya hivyo Ni ahadi nimeweka.🙏
Hongera sana dada yasinta ubarikiwe sana
Asante Sana kaka frenk🙏
Kazi nzuri sana Yasinta
Asante sana Vincent 😊🙏
Can't get enough of this song ❤
Jaman, hongera saba yasintaa
Asante sana mumy
Good job siz nice voice stay bleesed always🤲🏻🤲🏻
Thank you 🙏
Kazi safi sana dadangu Yasinta
Asante sana Mary
Hongera San yasinta 😘
Asante Sana Ally🙏
Wow 💥...like it
Thank you
Ujumbe mzuri sana
Asante sana 🙏
I like video and voice,
Nice location📍, expression is very very nice
Thanks 🙏
Hongera sanaaa uko vizuri,,Mungu akuinue zaidi
Asante sana Tiem Mungu akubariki
Lovely. I like it when you add English captions
Thanks 🙏
Hadi nakosa cha kuandika dada yangu ila daima una kufanya na juhudi hata mimi naweza kwani safari yako daima ikona neema za Mungu na daima imba na kumsifu Mungu hata uzeeke msifu mama Maria kwani yeye ana yonguvu kwa mwanae yesu kristo daima rohomtakatifu awe na ww mamy mpare wanguvu kutoka ,"kill oll men"🤣😂🤣😂🤣😂🤔🤔😂😂
😂😂😂😂 🙌 Asante Sana Shedrack 🙏
Hongera San
Asante Sana 🙏
This is wonderful my dear Sr. Pls continue rekindling that what God has placed in you.
Thank you so much 🙏
Umeupiga mwingi
Asante sana rafiki yangu
Nice song rafki yangu
@@judithmasagati8414 Asante Sana rafiki yangu🙏
I love everything about this song. Splendid vocals right there 👌
Thanks 🙏
Wow hongera Sana mdogo angu kazi nzuri kaza buti. But naomba colabo na wewe
Asante Sana , karibu sana
🙏
🤝👏
Classy!
Thank you so much🙏
🔥🔥🔥🔥
🙏
💯
🙏
Naomba nota please
🥰🔥🔥🔥
🙏
The English translation is wrong on some words
Dah hongera mno na nakuombea kila laheri. Uko vizuri
Asante Sana🙏 ubarikiwe zaidi
Congrats my lovely sister 🔥🔥
thanks 🙏