Msondo Ngoma Music Band Dalili Official Video

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 24

  • @lukianomakutakuta1374
    @lukianomakutakuta1374 Месяц назад

    Nimekumbuka mbali sana

  • @HenryHabeli-iy5dv
    @HenryHabeli-iy5dv 5 месяцев назад +1

    Ya kale ni. Dhahabu msondo ngoma in band iliyotisha sana enzi zile kwa kutunga nyimbo zenye maadili

  • @MichaelKalua-k1k
    @MichaelKalua-k1k Год назад +1

    Huu wimbo unaujumbe mzuri sana,hasa kwa dada zetu wa sasa.safi sana wazee wetu,ngulum,TX moshi,mabela.ama kweli maisha hayatabiliki.

  • @douglasmadeni7609
    @douglasmadeni7609 2 года назад +1

    Kweli kifo ni mwanaume kimetupokonya jamaa waliotuburudisha.Mungu awaweke mahali Pena peroni.

  • @eliamasudy6604
    @eliamasudy6604 2 года назад +1

    Dah! Walikua wanajua hadi raaha jamni 😭😭 wapumizike kwa amani hawa maregender

  • @mshangamafurahini5292
    @mshangamafurahini5292 9 месяцев назад

    Hatari sana ngurumo

  • @PeterDaniel-yf6qi
    @PeterDaniel-yf6qi Год назад

    Kindonda kibiiichi kwenye tasnia ya muziki wa dansi, nenda baba na mwana wa Hussein Jumbe Mzee wa dodo

  • @Zaituni-xx5tq
    @Zaituni-xx5tq Год назад

    Napenda sn.nyimbo.h

  • @justinmrope3306
    @justinmrope3306 9 месяцев назад

    Nani kama msondo

  • @piscusikilembo1630
    @piscusikilembo1630 3 года назад

    Kati ya miziki ambayo napenda kusikiliza msondo huwa nawapa nafasi ya kwanza najuwa wengi wamepungua ila ngurumo mkongwe ataongoza jahazi nawapenda sana

  • @yakubumkaima5636
    @yakubumkaima5636 3 года назад

    Mila jambo linawakati nami naamini ujumbe kamwe utabaki masikioni kama alam

  • @AgnessJulius-qc7bf
    @AgnessJulius-qc7bf Год назад

    Fall lipupa

  • @marikapera1568
    @marikapera1568 4 года назад +1

    Asante ujumbe utabaki Mungu awapunguzie adhabu ya kaburi 😭😭😭

  • @johnteodosi2621
    @johnteodosi2621 4 года назад

    Msondo ngoma no baba wa mziki tangu Kiwelewele hadi msondo

  • @mwanahamisially4206
    @mwanahamisially4206 3 года назад

    Baba ya ngoma

  • @shomolaacademy141
    @shomolaacademy141 4 года назад

    Ujumbe wenye hisia hubaki milele hata KAMA watu tutakufa

  • @mdromadan5701
    @mdromadan5701 4 года назад

    Ujumbe mzuri sanaaaaaa

  • @millionairenextdoor10
    @millionairenextdoor10 4 года назад

    Ujumbe mulua uliopaswa kwa huu wimbo aisee...maisha kweli Yana pandashuka.

  • @rashidijuma221
    @rashidijuma221 4 года назад

    Atamimi pia takumbukwa naimani

  • @joshuatemu4679
    @joshuatemu4679 4 года назад

    ,,,,