NISIULIZWE BY JUX_CHARLES_BSS SEASON 15

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 35

  • @mpandukagracempanduka3601
    @mpandukagracempanduka3601 3 часа назад +3

    One of the best talent i ever met in my life before... thanks for the CE'O of benchmark madam rita Paulsen..katusanua kuwa mtaani kuna vipaji kuliko hawa wenye majina... wanaimba live with allot of confidence

  • @niasnyalada4754
    @niasnyalada4754 День назад +9

    Baba hapo mwishoni ukamalizaa kabisaaaa kwishaaa… hongera sana

  • @MarcoJunior-e5c
    @MarcoJunior-e5c 5 часов назад +2

    Keep going bro🙏👊see u at the top..my next headliner..star

  • @pharesnoahbwire3661
    @pharesnoahbwire3661 35 минут назад +1

    Back vocals hawajui kabisa kuimba...
    Wanaharibu kabisa shows...
    Sijui mnawatoa wapi

  • @EstherWilfred-d2m
    @EstherWilfred-d2m 19 часов назад +3

    My favorite ❤

  • @Leyla22-p3y
    @Leyla22-p3y 19 часов назад +3

    Nakupenda

  • @Babyzuhraonelove
    @Babyzuhraonelove День назад +2

    ❤❤❤ ume uwaaah

  • @002RYE
    @002RYE 21 час назад +2

    Kuna Saluh😂😂

  • @winjy2k
    @winjy2k 3 часа назад +1

    Back vocal wanaharibu kinyama, wanabahatisha halafu sometimes it’s like they trying to compete with the lead singer, mara sometimes wanatoka nje ya key. Yani wananiudhi kichizi. 😂

  • @PEARLS_27
    @PEARLS_27 20 часов назад +2

    RIP Michael Jackson, you would have loved Chazz Barton😁 (I saw what you did there, umenikumbusha kuleee😂)
    Btw, madam the line is long 🤪
    Well done friend, keep up the hard work👏

  • @galtina
    @galtina 19 часов назад +2

    Mm nakukubali 100%

  • @ElizabethMalwira-e2r
    @ElizabethMalwira-e2r 6 часов назад

    Oui oui ❤

  • @deustinamwakalinga5229
    @deustinamwakalinga5229 8 часов назад

    ❤❤ My Winner 🎉

  • @FadhiliMohamed-m7e
    @FadhiliMohamed-m7e 22 часа назад +1

    Nomaaaaa mzeee

  • @GraysonAlex-tq6vp
    @GraysonAlex-tq6vp 19 часов назад +1

    ❤❤❤🔥🔥🔥🔥

  • @MiliamenockEnock
    @MiliamenockEnock 21 час назад +4

    Nimependa sauti yako unaitowa kama ilivyo imejaa kwenye maiki vinzur 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @KinanaSantosy
    @KinanaSantosy 7 часов назад

    Kwanza unajua saluh 😮

    • @suzanaminja4750
      @suzanaminja4750 3 часа назад

      Si ukakoment kwenye account yake shenzi ww😮

  • @sarahvsevolodmlawa4773
    @sarahvsevolodmlawa4773 21 час назад +1

    🙌🙌🙌🙌🙌

  • @davidfrank1644
    @davidfrank1644 День назад

    Back vocal wakorofi

  • @djsafikenya
    @djsafikenya 22 часа назад

    noma sana

  • @jonakajigili6991
    @jonakajigili6991 12 часов назад

    Unahitaji kufunguka zaidi ya hapo... acha kuimbia puani kama ommy dimpoz

  • @colmanuiso545
    @colmanuiso545 20 часов назад +2

    Kaka uolewee tuu uzidii kula mema ya nchii ,Ile n zaidi ya Tuzoo unayogombaniaa 🔥, ukikwqma wahuni tutakusaidiaa mkngo

  • @kidmuzy6155
    @kidmuzy6155 День назад

    🔥🔥