MAMA HARMONIZE : NILIUZA KOROSHO MILIONI 2 NIKAMPA HARMONIZE AKANIKATALIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 700

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 5 лет назад +47

    Mama nakubaki umetisha oooyooooo big up for mama Rajab ...Mama hamornaiz...HAPPY BIRTHDAY HAMO😍😍😘😙😙😙😗❤❤❤🇰🇪👈🤳

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 5 лет назад +69

    I love mama hammonize she’s shy and respects herself ❤️💕❤️💕

  • @ndayisengafrorence3991
    @ndayisengafrorence3991 5 лет назад +7

    Nakupenda san mama Mungu akuzidishie ubri murefu san ww ni mama bora ataumeachwa ila ukumutia mtoto chuki kabisaa ongera mama 💖💖💖. HBD Harmonize ongera san nimependa unavyoishi na familia yako atakama baba yako amekuacha ukiwa na myezi 2 ila ukumukana baba yako ndo kwanza itafikiri mapacha napenda san😍😍😍 unaupendo wa kwel ongera san HBD Harmonize

  • @abdullahijillo2514
    @abdullahijillo2514 5 лет назад +41

    I love you mam wetu wote.Mapenzi kutoka Nchini KENYA

  • @albertoarcangel5859
    @albertoarcangel5859 5 лет назад +41

    Mama hamo nimekupenda unaonekana mstarabu sanaa💕

  • @khadijaqatar9080
    @khadijaqatar9080 5 лет назад +31

    Mashallah mum harmonize mungu akubarik nakupenda sana kama mmangu 😍😍😍

  • @khalifahmwarangi4845
    @khalifahmwarangi4845 5 лет назад +76

    Mama harmonize,I love you, I like your wisdom

  • @josiahimanihyera5205
    @josiahimanihyera5205 5 лет назад +30

    daah mama alivyo imba hii nyimbo kweli imemuingia..ameimba kwa hisia kubwa sana

  • @queenbibisha1961
    @queenbibisha1961 5 лет назад +28

    Mama harmo nae ni mstarabu ongera kwake 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @emmanuelmkare3993
    @emmanuelmkare3993 2 года назад +2

    Mama harmonize... Mola akulinde mamangu, role model to many...❤❤

  • @ziakaitala2221
    @ziakaitala2221 5 лет назад +39

    Mamaetu nimpenda sana ila asiumie sana juu ya kutelekezwa maana kuna jaribu lingine uwa linatokea ili kuleta baraka mbeleni, pengine baba wa Harmonize angemlea angeweza kumuamulu kufanya kazi ambayo isingempa mwanga wa kufika hapo alipo, kama unakumbuka mapito ya Yusufu kwa ndugu zake yalikuwa na maana

  • @serianjamal8575
    @serianjamal8575 5 лет назад +2

    Aahh jamani mama harmonize ni ambae wa kujivunia, mama mwenye heshma zake, mama huyu mmhhh fantastic women and the mother of all times, we love you so much mamy Habiba

  • @rojakijana1162
    @rojakijana1162 5 лет назад +20

    Napenda jinsi MAMA harmonize alivo uvaa UAFRIKA yaani MAMA halisi wa ki TANZANIA no fake life .

  • @venamlowe3556
    @venamlowe3556 5 лет назад +9

    Woow! Like mother like son, nice voice.

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 5 лет назад +115

    NIPENI LIKE ZA MAMA YETU A. K. A MAMA RAJAB HARMONIZE KWA KUIMBA NYIMBO YA MATATIZO NA HAJAKOSEA.

    • @olivermponda8456
      @olivermponda8456 5 лет назад +2

      IF GOD SAY YES. NO BODY CAN SAY NO. cyo nyimbo ya matatizo ni ya atarudi

    • @alidufla8772
      @alidufla8772 5 лет назад +2

      congratulation

    • @nadhifajuma6485
      @nadhifajuma6485 5 лет назад +1

      IF GOD SAY YES. NO BODY CAN SAY NO. So matatizo bhana ataludi

    • @yohanabenard7668
      @yohanabenard7668 5 лет назад +1

      IF GOD SAY YES. NO BODY CAN SAY NO. hongera

  • @rummygana3351
    @rummygana3351 5 лет назад +81

    Duuuuh! Sijui na Mimi huyo Baba angu ipo siku atajitokeza, kumtelekeza Mama na uzito wa miez 6 tumboni. Nakupenda MAMA 😢😢😢

    • @ashuramamaashuraaachekuvaa7798
      @ashuramamaashuraaachekuvaa7798 5 лет назад +12

      Pole kumbe tupo wengi tusiopata matunzo na baba mimi mamaangu ndio babaangu ndio mlezi wangu alikua ndio kila kitu kwangu leo hii mamaaenyewe kanitoka 😥😥😥

    • @mwanaiditz3900
      @mwanaiditz3900 5 лет назад +2

      Poleni sana 😢😢😢

    • @simbaa001sparingsimba_boxi4
      @simbaa001sparingsimba_boxi4 5 лет назад +3

      Rummy Gunner17 mama bro muangalie sana

    • @haythammohd8844
      @haythammohd8844 5 лет назад +2

      @@ashuramamaashuraaachekuvaa7798 pole dada yñg

    • @teddykassinde4608
      @teddykassinde4608 5 лет назад +5

      Atakuja tu mie nlikua na siku 40 alipokuja kunitoa 40 ya uchanga lkn mwaka jana eti kanitafuta kiukweli nampenda kawaida tu sina moto nae 34yrs mh

  • @faithmusangageorge1029
    @faithmusangageorge1029 5 лет назад +6

    Harmonize u will never lack anything in ur life may God will bless u always

  • @muscatoman980
    @muscatoman980 5 лет назад +2

    Mashallah , mama una busara sana..nimekupenda sana nakuombea umri mrefu allah azidi kukupa umri

  • @emmanuelhsofunnymausylvest6636
    @emmanuelhsofunnymausylvest6636 5 лет назад +25

    Never give up,,,fight Allah is there for you,watching from fransistown Botswana

    • @fatumahoza7519
      @fatumahoza7519 5 лет назад

      emmanuelh so funny mau masha Allah mama

  • @sharongloria4448
    @sharongloria4448 5 лет назад +2

    Kwa kweli mama Harmonize Ana heshima ya Hali ya juu, si Kama mama Diamond, nampenda mama Hamonize, live long, watching from Nairobi,Kenya💕💕💕

    • @freelancer6368
      @freelancer6368 5 лет назад

      Usingemake point bila kumuingiza mama diamond sio?

  • @cornelyuventine9482
    @cornelyuventine9482 5 лет назад +28

    Yaan huyu mama atauona ufalme wa mbingu amenikosha sanà ameniimbia aatarudi jamn najisikia raaaa sana na anajiamini mungu akubariki sana mama hamo

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 5 лет назад +17

    Safi sana nimependa sana mama anavyojibu.....maana waandsh huwa hawaelewek hao ukilopoka tu siku ya pili washachafua magazet

    • @abrahmaniomar9858
      @abrahmaniomar9858 5 лет назад

      Dogo mama ndio mungu wa duniani, ebu pambana hapate nyumba bora zaidi.

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 5 лет назад +4

    Am just in love with mama hammonize now u are in my system after watching ur disciplined family your village I don’t know u but we connect in music just want say this was deep ❤️❤️❤️❤️❤️💕💕💕

    • @s2kizydeus845
      @s2kizydeus845 5 лет назад

      Florence Zubeda Borowsky mia san konde boy

  • @virginiabigabe5553
    @virginiabigabe5553 5 лет назад +22

    True son of the soil good to be proud of your roots

  • @mpenzujaneth7119
    @mpenzujaneth7119 5 лет назад +26

    Hongera mama kwa ujasiri wa kuilea familia

  • @maryngotho3614
    @maryngotho3614 5 лет назад +51

    I love that lady she is real wow.mama harmonize

  • @fartunmuqtar3481
    @fartunmuqtar3481 5 лет назад +7

    Masha allah, beautiful heart she is a sweetheart mother love from Somalia 🇸🇴

  • @kalamuyantajajr2605
    @kalamuyantajajr2605 5 лет назад +36

    Duh! Mama kweli unamfuatilia mwanao, umeimba mistari Karibu yote

  • @sneilaclassic1214
    @sneilaclassic1214 5 лет назад +96

    #sneila classic#
    Rais wawasoma comment
    Mama harmonize katisha Bonge la vocol

    • @qadinacci
      @qadinacci 5 лет назад +1

      better Than Mondi Side chick's

    • @freelancer6368
      @freelancer6368 5 лет назад

      @@qadinacci But then i again diamond is like water you cant do without what was the essence of you mentioning diamond you could have just stated the names of the said "sidechicks" I think they have names

  • @oman11oman79
    @oman11oman79 5 лет назад

    Mtumeee 😀😀pesa shikamoo kumbe rajabu ni mdogowangu wa mwisho katika wadogo zangu watatu. Mashaallah uo mwili nilizani wa 87/88 in shaallah mungu akuongoze katika maisha uliyojichagulia

  • @irenekambi4705
    @irenekambi4705 5 лет назад +6

    Nakupenda mama kwa ukarimu wako (safi sana)

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 5 лет назад +16

    Thanks mama etu kipenz from mtwara napenda kiswaihil chetu nke .Nntoto Mkoan LINDI vs MTWARA tumetisha tusiikatae asili yetu tuongeeh iv iv mpaka mwisho wadunia how kifike kiyama tu By.avata star255 youtube boys from LINDI ila nipo dzzim napambana one yes up coming music

  • @MOUSTAPHAHOMMIE
    @MOUSTAPHAHOMMIE 5 лет назад +57

    I like this mom so much ❤❤❤

  • @kadzobeauty4802
    @kadzobeauty4802 5 лет назад +5

    Ur the best mum i really like u mum stay long

  • @mwinyimwimbe8842
    @mwinyimwimbe8842 5 лет назад +36

    Sion km mtangazaji anakosea maana anamkumbutia km mama yk au Nyinyi huwa umuwakumbatii mama zenu hacheni ungese

    • @zungumyonly1393
      @zungumyonly1393 5 лет назад +2

      Yani sisi waswahili hata ufanyeje atakusema tu ukim"beba atasema bado hujamshika vizuri

    • @Richforever66
      @Richforever66 5 лет назад +2

      Ahahhahaaha umenikosha sna asee

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty 5 лет назад +2

      Kweli kabisa

    • @jumahatibu4354
      @jumahatibu4354 5 лет назад +2

      Mwinyi Mwimbe achana nao washamba hao

    • @waukweelinikkon6555
      @waukweelinikkon6555 5 лет назад +3

      Huo ni Upendo Kwa mama,urafiki Kwa mama,Kwa nini hamuoji Alafu wawe kama maadui,umenifanya nitamani kwenda Kwa wazazi Wangu na kuwahug Kwa Upendo km huo😅😅😅

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 5 лет назад +13

    aisee mtangazaji huyo mama anaonekana ana meengi ya kuongea ebu tafuta ski ukae nae mama atoe hadis naisi itakua umetusaidia mama atengeze stor yake had mwazo mama pole sanaa

  • @faridahangedo5554
    @faridahangedo5554 5 лет назад +145

    Mmh! Mama harmo Pia aliachana na babake akiwa 2yrs ila harmo anampenda tu babake isalute u dogo.

    • @justinemico1871
      @justinemico1871 5 лет назад +9

      Najua unachojaribu kumaanisha ila harmo kalelewa na baba ake na sio mama ake kwa mama alifaa kwenda kusalimia tu.

    • @faridahangedo5554
      @faridahangedo5554 5 лет назад +2

      Justine Mico Kumbe umeelewa Kile nmemanisha.

    • @nicholausmbilinyi3587
      @nicholausmbilinyi3587 5 лет назад +5

      Hapo ndo ninapomuonaga harmonize mjanja.hapo tu baas..ana show love kwa mshua mwanzo mwishoo..daaah!!

    • @antoinekatembo8124
      @antoinekatembo8124 5 лет назад +3

      Duh! Mimi nilikuwa 3 months peke yake ila bado still namkumbatia bwana mkubwa wangu!

    • @antoinekatembo8124
      @antoinekatembo8124 5 лет назад +2

      Siyo yule boss wake LoL eti hawezi kumsamehe mzee dingi wake! Anaitaji ushauri

  • @ezekieledson502
    @ezekieledson502 5 лет назад +7

    kuna mambo mengi sana ya kujifunza juu ya maisha katika ulimwengu huu,,,,,,,,,!!!!
    huwez fahamu au kuitambua kesho yako,,,,,,,!!! inabaki ni fumbo!!!!,,,,,,,,,
    tunaishi kwa imani kua kesho itakua njema kuliko leo,,,,,!! kuna muda tunichukia leo sababu ni siku ngumu na yenye mateso,,,,,,!! tunatabasamu punde tunapowaza juu ya kesho kua njema!!!!,,,,,,,,, AMINIA kijana wetu,,,,,!!! tunajifunza kupitita experiences za maisha yako,,,,,!!
    NOTE!!
    Yatupasa tuishi tukukumbuka tulikotoka kwani ndo pametufanya kua sisi,,,,,,!!!
    ,,,,,,,,,,HAPPY WOMB ESCAPE DAY,,,,,kijana!!!!

  • @annamaokola807
    @annamaokola807 5 лет назад

    Hakuna kama mama baraka zilianza mbali kwa mama hongera sana,mama ana imani sana Konde boy vivaaaa

  • @gakwayatresor2097
    @gakwayatresor2097 5 лет назад +24

    Duuh naomba harmonize ufanye featuring na mom ako anakipaji nayy pia kama ww

  • @bibinamay1964
    @bibinamay1964 5 лет назад +1

    Nakupenda sana Mama kwa huo wimbo......😘😘😘😘😘😘

  • @magrethkimambi8007
    @magrethkimambi8007 5 лет назад

    Yaani nimempenda sana mama ake hormi kaongea vzr sana mungu akupelipze amani ya mbinguni

  • @monicaisiye1837
    @monicaisiye1837 5 лет назад +1

    Wooooou!mama Harmonize mama mzuri sana hongera sana

  • @hajjiodo4047
    @hajjiodo4047 5 лет назад +23

    conde boy nimependa San ulichokifanya so umekumbuk ulipotok...umeeshimu kwenu..unamthamini mam .
    tusiyopata mapenzi mam tunaona geleeeeee...Iwish mam angu akuepo Leo angeshelekea sku yngu..yakuzaliwa km harmnz...

  • @masumkali3154
    @masumkali3154 5 лет назад

    Daah!! Hongera sana konde boy kwakuwa na mama mwenye vocal Kali kama hiyo, mpende sana mama

  • @josewanjombetz8571
    @josewanjombetz8571 5 лет назад

    mama ubarikiwe sana kwa malezi mazuri pia inaonyesha hamo amerithi uimbaji kutoka kwa mama

  • @abdallahamad4682
    @abdallahamad4682 5 лет назад

    Wow so nice mamy yuko poa sana na mashirikiano mazuuri kwa mwana, gud luck for those mom in the world

  • @chiefkaitaba.m.9466
    @chiefkaitaba.m.9466 5 лет назад +2

    nikiangalia mda ulio ingia kwenye sanaa na hiyo nyumba ulowajengea wazazi wako dah! nashangaa sana yaani umewajengea nyumba nzuri sana japo haijaisha vizuri lkn umejitahidi sana ujenzi siyo kitu rahic big 👏

  • @eriethsuleiman9721
    @eriethsuleiman9721 4 года назад +1

    Big up sana harmonize unakumbuka uliko toka

  • @mumybhay4984
    @mumybhay4984 5 лет назад +6

    mama.jamaniiiiii mpaka natoka machozi..nampenda mama wa konde boy.ma kuni hadi 😢😢

  • @deriodubose4199
    @deriodubose4199 4 года назад

    Mama nzuri sana, hongera sana mama Imelda mtoto vizuri

  • @judithmelvinealuchio8968
    @judithmelvinealuchio8968 5 лет назад +1

    lovely mama tena sauti nzuri sana hongera mama harmonize

  • @JKM_masterjayrbx
    @JKM_masterjayrbx 5 лет назад +18

    I love the point "ukizaa Naye anakuachia jukumu la watoto"in many families men become irresponsible I never understand why this keeps happening God change us men👬

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 5 лет назад

      Maneno ya Wanawake ndio huwa yanawakimbiza wanaume kwa asilimia kubwa.

    • @JKM_masterjayrbx
      @JKM_masterjayrbx 5 лет назад

      May be that's your experience Fuko or maybe wachache ndio sikatai but the research states what I said earlier ....(Harmonize)wakishavyona vya ndani basi wanakumwaga.(Alikiba) mwanamke akipenda anapenda kweliii... men have sang this so they know that's a good sample you know

    • @mneneijasmin1493
      @mneneijasmin1493 5 лет назад

      Ghettie Sean

    • @mneneijasmin1493
      @mneneijasmin1493 5 лет назад

      Ghettie Sean

  • @budigabirdman4558
    @budigabirdman4558 4 года назад

    Kumbe harmonize alifundishwa na mamake kusaidia wasiojiweza mama Mungu akusaidie kwa mafunzo mazuri uliomfunza mtoto wako

  • @weillianagostino8906
    @weillianagostino8906 5 лет назад +3

    Respect snaa mama harmonize love you so much

  • @sarahn7757
    @sarahn7757 5 лет назад +22

    Huyu ndo mama sasa❤❤❤💪👌 yan angekua mama yake domo tungeona mambo

  • @davidkachira5422
    @davidkachira5422 5 лет назад +5

    Mama unajua kujieleza umetisha sana

  • @abdalaabdala9889
    @abdalaabdala9889 4 года назад +1

    Wamefurai Sana mama na baba sema wote family

  • @G.S985
    @G.S985 4 года назад

    Mama mstaarabu jamani, barikiwa Mama,kumbe nyimbo zake zinamaanisha maisha yake, Mungu si Asuman

  • @harontete4622
    @harontete4622 5 лет назад +1

    Big up mama kwauhakika hakuna kama mama duniani

  • @faikomahenge2029
    @faikomahenge2029 5 лет назад +66

    oya mtangazaji unazngua ongea na mzazi kama mzaz na sio kama kijana umezngua ujue

    • @erastomwakalinga7079
      @erastomwakalinga7079 5 лет назад +1

      Faiko Mahenge huo ni ukwel ndg Huyo ni mama ko anapaswa kutafuta lugha nzur lkn kwa wabongo changamoto sana

    • @georgembugua1565
      @georgembugua1565 5 лет назад +1

      Umesema kweli kaka dogo anafaa kujua huyo ni mama

    • @saidymkariboymkariboy3330
      @saidymkariboymkariboy3330 5 лет назад +3

      kwan kakosea wp mbona me naona kaenda vizur tuu ama

    • @zungumyonly1393
      @zungumyonly1393 5 лет назад +4

      Wabongo hata angemuhoji huku kampigia magoti tungesema tu we kama unajua kuhoji kajiunge uhoji kiutu uzima mxieeeewwww

    • @josephmagessa8348
      @josephmagessa8348 5 лет назад

      Faiko Mahenge kwel kabisa anamshikashika bimkubwa

  • @lulually6722
    @lulually6722 4 года назад

    Mama yuko vizuri ni mm mwenye busara big up mom

  • @vivaidaramsy7415
    @vivaidaramsy7415 5 лет назад +1

    Allah Akuzidishie Umri mrefu mama ule matunda ya mwanao In sha Allah

  • @deborahjm8890
    @deborahjm8890 5 лет назад +11

    Wow nampenda sana maman hormonize ❤️❤️

  • @nkubitojaffar558
    @nkubitojaffar558 3 года назад

    mama nzurisana iyo ni somo nzuri sana mtu kuji shusha na kusaidia watu

  • @mumbibabzy6983
    @mumbibabzy6983 5 лет назад +15

    Mama Africa congrats mamaa much love from Kenya

  • @aishasalimaishasalim1323
    @aishasalimaishasalim1323 5 лет назад

    Hongeza mama kwakweli.......umetisha

  • @mejubaraza9415
    @mejubaraza9415 5 лет назад

    Mama nakupa 100% katika mama bora humu duniani love u mama sana

  • @angelsylvester4795
    @angelsylvester4795 5 лет назад

    Hakika mama wewe mola akutunze uone mpaka vitukuu vyako ahsante mama nimekupenda sana una utu Sana💋💋💋

  • @saeedmohammed1067
    @saeedmohammed1067 5 лет назад

    Innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiun. Wazee wote wako ktk upande wa sheitwan. Kumbe ana baraka zote za wazee wake. Na kuombeni kwa Allah atujaalie mwisho mwema. Ila kama wenzangu tutakufa na muongozo kama huu tusubiri moto. Allah atunusuru

  • @asmaafamau5139
    @asmaafamau5139 5 лет назад

    Mashaallah tabarakallah mngu akuzidishie umri inshaalah

  • @geofreyniyonkuru5724
    @geofreyniyonkuru5724 5 лет назад +1

    Mama yangu ungekuwepo ungeona mtoto wangu nimezaa mama haukumuona 😥😥
    Nafikiria kama ungemuona ungeinjoy kuwaona wajukuu

  • @edinachami1754
    @edinachami1754 5 лет назад

    Mashallaah mama hamo yuko piece sana ciyo MTU wanyodo

  • @Kimaro_Comedy
    @Kimaro_Comedy 5 лет назад +3

    Harmonize amalizie bac hiyo nyumba bhana aache mambo yaajabu ila WCB FOR LIFE

    • @gulinjansurwa982
      @gulinjansurwa982 5 лет назад +1

      ASALI Online Tv

    • @Kimaro_Comedy
      @Kimaro_Comedy 5 лет назад

      @@gulinjansurwa982 harmonize bhana anakuaanazingua hapo kwenye nyumba ya wazazi

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 5 лет назад +5

    Kitu nimeona ni kua wazazi wake wametengana lkn Harmonise bado yuko na Mapenzi kwa wote.... Lkn Diamond yy kalemea kwa Mama na kumtekeleza babake

    • @benedictamaganga614
      @benedictamaganga614 5 лет назад +2

      Huu ni mfano mzuri mnoooooio kwa vijana na wstu wote kwa ujumla. Yuko nao samvamba wote. Hongetah sana Harmonize.

    • @jimmymusti165
      @jimmymusti165 5 лет назад

      Mond maku tu

    • @freelancer6368
      @freelancer6368 5 лет назад

      Usilinganishe hizi situations mwingine baba hakuwa na tatizo na mwanae mwingine alimtelekeza kabisa hakuwa anajali wala nini

  • @sadygreener9240
    @sadygreener9240 5 лет назад +32

    Sauti ka ya harmonize vile...

  • @franklyimo6685
    @franklyimo6685 5 лет назад +5

    mama harmonize unanitoa hadi machoziii yananitokaa unavoimbaaa

  • @MrLolipop6161
    @MrLolipop6161 4 года назад

    Asante Mama sauti nzuri

  • @saidsonyo268
    @saidsonyo268 5 лет назад

    Asante sana mama wewe ndo mam unay jua uchungu

  • @hughesjackson1096
    @hughesjackson1096 5 лет назад

    Waaaaaaaaaaaaaaaooooooo,,,,,big up mum i love you, ,,pia mimi najua siku moja mum atarundi,,,,

  • @gammygregy5955
    @gammygregy5955 5 лет назад

    Mama ni mama asee mil mbili kwa ajili ya mwanao...tuwaheshimu mama zetu wanatuombea mema sana katika mahangaiko yetu

  • @modesmamba5549
    @modesmamba5549 5 лет назад

    Da mama angu narudia we ni mama wa ukweri barikiwa

  • @camillas.edrees6155
    @camillas.edrees6155 5 лет назад +2

    Mama u r down to earth❤️❤️❤️❤️

  • @salmajohn8860
    @salmajohn8860 5 лет назад

    Umejitahid mama angu hongera san mamiiiiii allah akupe maisha marefu inshaallah,penda sn

  • @suzzyanne6282
    @suzzyanne6282 5 лет назад +1

    Wow!!love you mama hamor ipo love from 254

  • @janethjohn349
    @janethjohn349 5 лет назад

    duh nimependa mama ulivyoimba hahaahaha. hongera sana mama😘😘😘😘😘

  • @pendoerastomwahalega5581
    @pendoerastomwahalega5581 5 лет назад

    wow mama safiiiiiii sana umeimba vizuri wimbo wa mwanaooo

  • @faithymuhanga2979
    @faithymuhanga2979 5 лет назад

    Mama mzuri sana anampenda mwanaye na pia anasauti nzuri pia..She is cute lol😍😍😘

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 5 лет назад +4

    Love you so much Mam😘😘😍😍

  • @faridahmustafa3866
    @faridahmustafa3866 5 лет назад +7

    Masha Allah mama 💞 nmekupnda San

    • @rayajuma8880
      @rayajuma8880 5 лет назад +1

      Sanaaaa so kinabisandra wakaaauchi namasifa.

    • @freelancer6368
      @freelancer6368 5 лет назад

      @@rayajuma8880 lazima ungemuingiza sandrah humu maana ndiye alifumua mchawi wenu pugi

  • @nazyaayubu3500
    @nazyaayubu3500 5 лет назад +1

    Wallah we mama umenigusa sana wallah😍😍👏👏👏❤❤❤❤

  • @miriamkafwila98
    @miriamkafwila98 4 года назад +1

    Harmonize come from humble family,,

  • @djsamyofficial5452
    @djsamyofficial5452 5 лет назад +2

    Mama Ametisha ile mbaya wcb Fireeeeeeeee

  • @cyprianmisana1244
    @cyprianmisana1244 5 лет назад

    Wonderful mummy imependeza sana

  • @hamiswawa5872
    @hamiswawa5872 5 лет назад +8

    upendo wa kweli upo kwa mama tu.

  • @carolinemariki4029
    @carolinemariki4029 4 года назад

    kumbe kipaji cha kuimba alichukua kwa mamake. hongera sana mama

  • @justokweka2340
    @justokweka2340 5 лет назад

    Mama nimekupenda kwa kauli zako nzuri Sana na ushauri mzuri Sana kwa mwanao

  • @juniormtei8005
    @juniormtei8005 2 года назад

    Mother of harmonize salute

  • @mohammedseif1927
    @mohammedseif1927 5 лет назад +16

    Dah..... Kama umemuona mtangazaji anamwingilia mwilini mamahamo sana nipe like

  • @kamaumwangi3104
    @kamaumwangi3104 5 лет назад

    Mama Harmonise nakuomba urudiane na baba Harmonise coz nyinyi imekaa bado mwapendana na Mungu alimjazia mapenzi yenu.Rudini mkae pamoja.yaliyopita yalipita gangeni yajao.