Though I live in Northeast India, listening to that beautiful song which I presume is a song of praise to our blessed Mother I can't help but feel one with the choir singing along.Proud to be a Catholic.
Mungu awabariki sana lakini kunamtu nimemfananisha kwenye hii albamu yule bonge mfupi nahisi nimesoma nae ITAGA SEMINARY but jina silikumbuki vizuri Nahic anaitwa MARCO bac mwenye mawasiliano na ya mtu yeyote kutoka ktk kwaya hii naombeni
Hatimaye nimeupata huu wimbo baada ya kuutafuta muda mrefu. Mbarikiwe sana kwa kuinjilisha
Same to me here, I have search for a long time❤ it blesses my ❤❤❤
Sala zetu zifike juu ❤❤❤by kameja Mungu aendelee kuwa ndani yako tunakuombea kwa Mungu
Kuimba ni kusali mala,mbili mungu awabaliki
Kazi safi 🔥🔥🔥🔥tutaurithi ufalme wa mbingu Shimanyi thumbs up senior
Hongera sana Padre uliyeimba kwaya pamoja na waamini wako
Vijana kazi nzuri endelea hivo kumuimbia mungu
I love the singing and the song even though I don't understand the language. I could feel the Holy spirit around me.
Amina kubwa Hatimaye nimeupata baada ya kutafuta Kwa muda bila kufahamu kwaya walioimba WIMBO UNANIBARIKI SANA🙏
Nabarikiwa kupitia uinjilishaji wenu 🙏❤️
Najitahidi kusikiliza ujumbe wa nyimbo kupitia nyimbo takatifu na music takatifu ahsanteni sana wanakwaya
Kwaya ya mt kizito hamjawai kutuangusha Mungu awaongezee maradufu
Ni kweli ila hii ni kwaya ya Bikira Maria Tabora.
Tanzania kuna kwaya nyingi classic
Nawapenda
God does not dissapoint the work of our hands and what we praise Him with
Wow,what a blessing song ,Mungu azidi kuwabariki,na kuwafunulia wingi Wa baraka,ilikueneza neno lake katika njia ya uimbaji ..#God bless you
Asee sebene tamuu hongereni
Mwl Shimanyi kweli mapihi ya nyimbo zako yanakonga mtima wamimi kiasi chake hongera Sana kk
Thanks the song has encouraging words
Thank you for nice songs. Continue with evangelizing..God be with you.
Da!!!! Hatimae nimeupata
I will never forget almighty God Amen
Mimi Niko ndani ya yesu
Mi anastazia kandonga mung awabaliki kwa ujumbe mzuri
God has done goodness in my life forever Amen
Dear brother en continue glorifying God though singing for him.
congraculatins
Naikubali kwaya ya kwetu nawapenda wote nawaombea mfke mbali katika injili Paschal nakuona mkwee wangu ongoza jahaz kumtumikia Mungu
My all time song ,congrats
Hongera sana, nyimbo nzuri
Hongera sana nyimbo nzuri sana much love from Nairobi kenya
MTAMU KAMA ASALI KWELI,NIKIWA HAPA NAIROBI KENYA NAWAPENDA SANA
Mwimbo umeifanya jpili yangu kungaa Kama sikukuu ya leo🎉
Nice song, siishi hamu ya kuusikiliza huu wimbo. Mungu awabariki Sana mdumu ktk kumtumikia ili mrithi ufalme mbinguni. Wakatoliki tuko juu Sana.
Ujumbe Mzito huu,
Ninashauku ya kukujua na kukutumikia ningali hai
Ongela mmependeza wana kwaya
Mungu awabariki sanaa kwa uinjilishaji, congrats Tanganyika production
Nyimbo nzuri hongereni sana wanabukene
Hongereni sana, mmeimba vizuri. Shimanyi kama kawaida yako, kazi nzuri sana.
Asante chief
Mungu awabariki San 🙏
HONGERA kwa nyimbo nzuri sana za kumtukuza BWANA.
Baraka nyingi ziwafikie Mungu mwenye rehema atawazidishia haja zenu
This is my song of the year,,,watanzania nawapenda Sana mungu awabariki
Good
Nyimbo nzri saana ongeraa kwa kazi nzuri mbarikiwee Sanaa🙏
Almighty God is good Amen
Nimeupenda huu wimbo ❤❤❤ we Muongo daima
Wimbo mtamu 👌
Hongera sana Mungu azidi kuwaimasha mkazid kulitangaza neno lake amina
Though not a Tanzanian national, but im so pleased by this song. It's the best
kweli kabisa ndugu zangu
Ninatamani kukujua Mungu wangu
Tumtumikie Mungu wetu vyema ili tuurithi ufalme. Wa Mungu Amina Hongereni kwa kuimba vizuri wajemeni Asante
Nyimbo ni nzuri ujumbe tumeupata hongele sana
Though I live in Northeast India, listening to that beautiful song which I presume is a song of praise to our blessed Mother I can't help but feel one with the choir singing along.Proud to be a Catholic.
Nwapongeza sana
Ongereni sana kwa nyimbo nice mmemwimbia mungu
Ujumbe tumepata Asanteni sana
Hongereni sana kazi nzuri Tanganyika production
Too sweet, barikiweni zaidi🔥💖
Mbingu ni hakika
Nawapenda jamani ❤️❤️❤️
The voices are heavenly, the coordination is superb and the presentation is of the highest level. Pongezi na shukrani 👍👏
Nataman ningekuwepo nice song
Asante pia baba
Tunalia yesu
Listening from Nairobi Kenya. The composer must be inspired from heaven. Soooo sweet. Live long you people
Mbarikiwe Sana wanakwaya
I salute you, GODS blessings be upon you
Nishashauku sana ,mbarikiwe muno kwa utume
My man again Fm.shimanyi, I applaud you guys .💯🌹💜💜
Yo welcome
@@cgenpro175amazing talent indeed
Mungu awabariki sana lakini kunamtu nimemfananisha kwenye hii albamu yule bonge mfupi nahisi nimesoma nae ITAGA SEMINARY but jina silikumbuki vizuri Nahic anaitwa MARCO bac mwenye mawasiliano na ya mtu yeyote kutoka ktk kwaya hii naombeni
Wimbo mtamu kweli!
Mungu swaee bariki muendell
Vvizuri
Kazi nzuri Mwalimu Fortune Shimanyi na waimbaji. Mungu awabariki.
Hola mis amigos
Asante chief
wimbo mtamu sana na ujumbe mzuri hongereni sana
Vraiment je suis ravi , félicitations 🙏. Que Dieu vous bénisse!
am blessed, watching it everytime every minute Live from kenya kisumu city
Wilbert innocent salut a vous et a tous mes frères et sœur dans le savoir plus ensemble anfanmi pour jesus Christ passé bont samedi soir à Dieu merci
Ujumbe mzr amina sana🙏
Hakika siwez hama tanzania nyimbo za faraj km hiz ntapata wap tena
Hongereni kwakuinjirisha kwanyimbo. Mkovizuri, Mungu awabariki
Wow,another beautiful song,hongereni nyote Mungu awabariki kila mmoja kadiri alivyojitoa
Hhllhlghpuuup
Creative song so impressive .....good work
hongereni sana kwa wimbo wenu mzuri
Wawwwww li mache nan sanm
Good song, uinjilishaji uendeleeee
Hongereni sana kwa kazi nzuri.
I don't listen Swahili but this songs is really nice.
Mungu awabariki sana
Aimable 🇷🇼
Proud of you 🥰🥰 my favorite song
Ni kweli Mungu awatunze.
Kazi nzuriii
Hongeren kwa kazi nzur,sarut kwako shimanyi Fortune
Asante chief
@@cgenpro175 Sawa mkuu, nimesikiliza hii nyimbo nimekumbuka Ule wimbo wa Ufalme wa Mungu wa kwaya Bmm St.John's Dodoma,Mungu akutangulie daima.
Very organized choir Keep it up
Mko vizuri ndugu zetu.
Kazi zuri ya Mungu
wimbo mzur nimeupenda mno
Mko vizuri mbarikiwa sana
A very nice song keep up
Ahsante
Nyimbo nzuri
I love this... Nice organization of music
Nice nice thanks watoto wa yesu
Wimbo mtamu sana hongereni sana
Nyimbo nzuri mahudhui kila kitu hongeren
Hongereni sana wakwetu
Kanzi nzuri sana wapendwa, namuona na mwalim #Joachim
Mbarikiweee sanaa na mungu
👏👏👏 hongereni sana kwa utume