SABAYA AMTAJA MBOWE MAHAKAMANI - "ALITUMIA WAFANYABIASHARA KUHAKIKISHA NAINGIA KWENYE MATATIZO"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2022
  • SABAYA AMTAJA MBOWE MAHAKAMANI - "ALITUMIA WAFANYABIASHARA KUHAKIKISHA NAINGIA KWENYE MATATIZO"
    Mshtakiwa Namba Moja katika Kesi ya Uhujumu Uchumi Namba 27 ya Mwaka 2021 Lengai Ole Sabaya ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha Kwamba aliyekuwa Mbunge wa HAI Mkoani Kilimanjaro ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Upinzani alitumia wafanyabiashara wenye ushawishi kuhakikisha anaingia kwenye Matatizo kwa kudhani kwamba yeye ndiye kikwazo cha kumfanya akose Ubunge.
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

Комментарии • 25

  • @yudadaniel4867
    @yudadaniel4867 2 года назад +1

    Alikuwaga anavaa cheni za gold sasahv anavaa rozari daaa

  • @lubatikoseme9412
    @lubatikoseme9412 2 года назад

    Sabaya jambazi

  • @alfamgayatv872
    @alfamgayatv872 2 года назад

    Bor anateseka xana mungu amunusulu na mabaya

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 2 года назад +1

    noma sana

  • @anordgerison8639
    @anordgerison8639 2 года назад

    Huyu jamaa .... Mzinguaji

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 2 года назад

    Subiri 30 mingine bro

  • @jacklinemaziku8889
    @jacklinemaziku8889 2 года назад +1

    Sabaya mjnga sna,analpa mabaya yake kwa ajili ya njaa zake.

  • @emmapaul1766
    @emmapaul1766 2 года назад +4

    Nyinyi wasafi makuma tunawajua mnatumika na ccm

  • @reginamanyangu6682
    @reginamanyangu6682 2 года назад

    Kpata haki kwa binadamu ni ngumu

  • @walkerjoseph5864
    @walkerjoseph5864 2 года назад

    Alafu sabaya ulikua unaenda vizuri but sahiv umeanza kuzingua utoe hiyo rozar ndugu yangu ww pambana na hal yako sio kulalamika, wew kwann usione hiyo mitego

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 2 года назад +1

    Ajibu dhuruma zake hakutumwa akadhurumu watu hata video zioionyeshwa asiingize kina mbowe, apambane na hali yake

  • @walkerjoseph5864
    @walkerjoseph5864 2 года назад +1

    Huyu jamaa apambanie maisha yake mbona ........
    anaenda nje ya kesi yake

  • @danielmgeni1703
    @danielmgeni1703 2 года назад +4

    sabaya muungu anakuona Yani. mbowe akaangaike na ww kadanganye mkewako na sio wa Tz

    • @morandraymond8602
      @morandraymond8602 2 года назад

      Basi nenda wewe ukatoe ushahidi maana sabaya amesema mbele ya hazara mwenye kupinga akapinge mahakamani je wewe ndiye mbowe wewe ndiye muojiwa acha fikra mgando

  • @ngashasiriwa2451
    @ngashasiriwa2451 2 года назад

    Ni mzugaji huyo

  • @hamadlucago8951
    @hamadlucago8951 Год назад

    Sabaya jembe nyie pigeni kelele jembe lipo nje mungu mwema

  • @helenandandu3859
    @helenandandu3859 2 года назад

    Sabaya pambana Na hali yako mshahala wa dhambi ni mauti

  • @sethkivuyo3342
    @sethkivuyo3342 2 года назад

    Kwa sisi wamasai atuna tabia za kiuwaji Kama huyu muaribifu kuma sabaya .. na mondiccm ni chupi ya snawari

  • @Anitajoseph792
    @Anitajoseph792 2 года назад

    Swali dogo tu, Mbowe alikuwepo kabla yako na kulikuwa na wakuu wa wilaya kabla yako mbona hao wengine hawakufanyiwa hivyo kwnn ww? Mahakama inaweza kukuachiwa huru ila tubu kaka sina ushahid na siwez kukuhukum cz ht mm nina makosa yangu ila kuna shida ipo

  • @danielndam5997
    @danielndam5997 2 года назад

    Mbona hakuna pahala alipo mtaja mbowe nayie mmeanza uzinguzi

  • @KVPONLINETV
    @KVPONLINETV 2 года назад

    Mbuzi wewe

  • @andrewjulius6796
    @andrewjulius6796 2 года назад +1

    Kwa jinsi ninavyomuona sabaya SK c nyingi atakua chizi Tena chizi wa kuchekelea

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 2 года назад

    Sura yake tu huyu mtu ni ya MTU MWENYE KIHEREHERE. Shenfield kqbisa kibaraka wewe na hii ndio hasara ya kumtegemea binadamu. Yako wapi sasa????