the best kipindi Cha michezo Tanzania, naenda mwongozaje wa kipindi unavyo dodosa, naenda Hans anavyo chambua, na Grefrey , na Jemedari unavyo chomekea. haibui kuwasikiliza
.,ndio maana jemadari watu wanakunanga, unatatizo la kupenda!.... .Hali hii inakutoa kabisa kufaa ktk kazi hii ya kuwa mchambuzi!...hufai kabisa....unachambua kufutata upande unaouona kwako unanipenda, hufai tafuta kazi nyingine!...nakushauri waombe Simba Uwe msemaji wao
Sasa uyo job na bcca wapo apo nyuma kwa ajili yann , si kuzuwia unapo sema hakujatengenezwa big chance na wapinzani ndio kazi wa walinzi uyu jamaa anachambua nn
Jemedari unachambua nini bhana mpira hauchezwi chumbani hv kweli mpira wa jana mpanzani wa yanga alikua na viashiria vya kucheza chini ya morari? Acheni hizo mambo chambueni mpira na sio mapenzi ya timu fulani fulani
Wanao ibeza Yanga Ndio Mwisho watakuja kufunga midomo yao na kuishona kabisa Yanga inavuzu vizuri Sana

Yaani said kazumali ndo atanifanya kuja kukiacha hii sehem
Shida ya wachambuzi ushabiki mwingi mnazingua
Sasa uyo job na bcca wapo apo nyuma kwa ajili yann , si kuzuwia unapo sema hakujatengenezwa big chance na wapinzani ndio kazi wa walinzi uyu jamaa anachambua nn
Kuna mwenda wazimu hapo studio alisema yanga wana asilimia 30, unachekesha sana mtangazaji na mwandishi mzuri unaingia kuwa shabiki ni ushamba Mkubwa.
Spend kusokilza clown kwaajir ya JEMEDARI mlopokaj2
Jemedari unachambua nini bhana mpira hauchezwi chumbani hv kweli mpira wa jana mpanzani wa yanga alikua na viashiria vya kucheza chini ya morari? Acheni hizo mambo chambueni mpira na sio mapenzi ya timu fulani fulani
Hiyo rotation aliyofanya Ibenge ni ipi?
Inamana hjaiona au
@@kichefuchefu2382😂😂😂 sema ni ipi ??
Ibenge hajafanya rotation yoyote zaid ya viungo kama wawili tu hao wengine wote ni first eleven yake unaongea nn ww@@kichefuchefu2382