Imesemekana kuna bahadhi ya wanasiasa walishikwa nakugundulika awakua wa kongo ila walipata passport kupitia ubalozi wa Washington DC watu hao walikujaga kama wakimbizi kwajia yakujiita wakongo kumbe awakua wakongo.. Hivyo huduma iyo ilisitishwa ,,,na inasemekana pengine awezi jurudia tena..."
Ooh sorry
🙏🙏🙏
Sababu ni kwa nini? Hawajuwi kama uku kuna wakongomani ambao hawana passport? Sasa wataenda wapi? Au wanawaamasisha wabadili urahia
Imesemekana kuna bahadhi ya wanasiasa walishikwa nakugundulika awakua wa kongo ila walipata passport kupitia ubalozi wa Washington DC watu hao walikujaga kama wakimbizi kwajia yakujiita wakongo kumbe awakua wakongo..
Hivyo huduma iyo ilisitishwa ,,,na inasemekana pengine awezi jurudia tena..."
Poa