USAJILI WA LAMECK LAWI WAZUA GUMZO SIMBA | DOCTOR MOHAMED AFAFANUA JANJAJANJA YA COASTAL UNION.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 июн 2024
  • СпортСпорт

Комментарии • 34

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 7 дней назад +6

    Tamaa za Coastal Union zitawaponza mbona Bakari Nondo Mwamnyeto hakulipwa mbaka mwaka mzima ukakata why kwa Simba iwe kesi embu punguzeni tamaa

    • @msntanzania
      @msntanzania  7 дней назад +1

      Kumbe

    • @khamismohammed7500
      @khamismohammed7500 7 дней назад +1

      Kwahio kila siku mnataka kuwachezea coastsl kuwaibia wachezsji wao

    • @msemakweli...
      @msemakweli... 6 дней назад +1

      Hebu turushie mkataba wa kumuuza Mwamnyeto kwenda Yanga tuone makubaliano yalikuaje isije ikawa mnaenda na beat ya kispika ambaye huwa anawaaminisha vitu visivyo na uhalisia

  • @yahyahamisi2038
    @yahyahamisi2038 6 дней назад +1

    Ka fei toto vile 😮😮 mama kasaidie haka katoto 🙏🙏🙏

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 7 дней назад +2

    Washanunuliwa na gsm hao control union

  • @jumanakamo5503
    @jumanakamo5503 6 дней назад +1

    KWA NINI WALIPOKEA HIYO PESA TAREHE 30 HUKU WAKIJUA WAMECHELEWA MDA WA KULIPA? KWA NINI WASINGEKATAA?

  • @NassibuMussa-lu3vf
    @NassibuMussa-lu3vf 6 дней назад +1

    Usajiri wa kijanjajanja lawi sio beki wa kihivyo kiki 2

  • @imanmasawe749
    @imanmasawe749 7 дней назад +2

    Costal waache matamaa

  • @ramadhanichaurembokahunge
    @ramadhanichaurembokahunge 7 дней назад +2

    Doctor mo uajua kujibu

    • @msntanzania
      @msntanzania  7 дней назад

      🤣😂

    • @sakinasakina1286
      @sakinasakina1286 6 дней назад

      wewe nawe kafie mbele hajui kujibu hapo linajibu tako lako

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 6 дней назад

      ​@@sakinasakina1286LUGHA GONGANA 😂😂😂😂 ISOME TENA COMENT YAKE.

  • @muddsaid-kn2dq
    @muddsaid-kn2dq День назад

    mtanagazaji unaulizaaswali ya kitoto sana jezi nini sasa kwenye ishu ya utambulisho

  • @msemakweli...
    @msemakweli... 6 дней назад +1

    Hata utambulisho wenyewe ukiwa na akili timamu utaelewa tu kuna vitu haviko sawa

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h 7 дней назад +1

    Sasa huyo naye wakuhojiwa?.

  • @muddsaid-kn2dq
    @muddsaid-kn2dq День назад

    pesa tarehe 10 barua tarehe 17 tumesha yakanyaga tuangalieni mambo mengine mkataba umeisha iyo ni mali ya simba

  • @LeonorahLeonorah
    @LeonorahLeonorah 6 дней назад +1

  • @msangya60manyanki27
    @msangya60manyanki27 6 дней назад +1

    kwann cmba hawakutii mkataba wa kulipa kwa wakati trh 31/5/24?

  • @ismailmohamed502
    @ismailmohamed502 6 дней назад +1

    Bakari walifanya makubaliano na siyo janja janja

  • @godfreymabula6858
    @godfreymabula6858 5 дней назад +1

    Kama mlikubaliana tarehe 31 why mlipe tarehe 10??? Klabu kubwa kama Simba kiliwashinda nn?? SIMBA MMETAWALIWA NA VIONGOZI WAHUNI 😂😂😂😂

    • @ismailhassan5209
      @ismailhassan5209 5 дней назад

      Godfrey mwamnyeto alipochelewa kulipwa mbona hapakuwa na malumbano
      Haya we yamekuzidi funga domo lako

    • @saidalbakry1990
      @saidalbakry1990 2 дня назад

      😮​@@ismailhassan5209r800

  • @aminihamisi3551
    @aminihamisi3551 7 дней назад +1

    Coastal union wanajitekenya wenyewe nakucheka wenyewe ......
    Tamaa mbaya sana

  • @user-qi3wv8sf5j
    @user-qi3wv8sf5j 4 дня назад +1

    Muuliza maswali huna taaluma ya kutengeneza maudhui! Uliza je kama simba ndio waliokiuka makubaliano ya muda wa MALIPO huoni kama simba ndio waliovunja mkataba?? Na je baada ya kuona hawajaoata pesa za kulipa kwa wakati waliuandikia uongizi wa coast kuomba waongezewe muda??? Ili nasi tujifunze jambo,dada wewe imekaa unaongozwa na yeye bila mwongozo wako wa maswali.Rudi shule

  • @valentinemagige1840
    @valentinemagige1840 7 дней назад +2

    Utakulaje keki uliokwisha kuiuza?