Injili ni uweza wa mungu uletao wokovu. Mungu akubariki mtumishi wa mungu kwa injili hii iliyo njema sanaaa. Damu ya YESU ikufunike mtumishi wa mungu na kanisa zima.
Asante APSL CHUEF nimebarikiwa saana lazima tupeleke injili .Naomba maombi kwa ndugy zangu (1) Abiud kegoli amepotelea Mombasa zaidi ya miaka kumi (2)Simon (3)Evans ...Hanet ...Night nawazazi kwaujumla delieverance .pla Chief pray with me Naconnect from LEBANON.FAMILIA IKO KENYA .MARRIEGE FOR ME PLZ FAVOUR WHEREVER I GO ,TOUCH
Ameen,,,nampenda Yesu zaidi ninapockiza sifa zake huwa na bakia nafurahi 2, asante sana mtume nafuatilia somo lako nendeni mhubiri hili neno ili nao pia wamjue Yesu zaidi
Asante Sana mtumishi wa Mungu nabarikiwa Sana nikiwa Zanzibar, Naomba nitamkie neno kwenye maisha yangu kazi sina yaani Mambo ni ovyo naamini kupitia mafundisho yako nitapona 🙏🙏🙏
Yes yes apostle, You are a teacher. You have win my heart with your teaching. My problem is how some off your member wear tide sliveless and short skirt during service. Please I have not found your teaching about how I can wear according to the bible. Please just understand.
Pamoja nakuhubiri Sana nachelea kusema maana sijui Kama andiko hili limehalarishwa kanisa litumike nalo nihili .Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume Kama limeluhusiwa mutujulishe liliruhusiwa lini ili tusiendelee kuhukumiana asanteeeeee Kama mutanisaidia juu ya Hilo pia hayo mafuta ambayo umesema unawapaka waumini kabla ya kwenda kuhubiri yanatokana na Nini sikwamba napinga Ila nataka kujua amina
Asante mungu kwa ujumbe huu kupitiia kinywa cha mtumishi wako apostle mutalemwa
Amen chief ubarikiwe ujumbe huu mzuri ni wakutendea kazi Kabsa
Injili ni uweza wa mungu uletao wokovu. Mungu akubariki mtumishi wa mungu kwa injili hii iliyo njema sanaaa. Damu ya YESU ikufunike mtumishi wa mungu na kanisa zima.
Amen mungu anipenguvu ya kupeleka chakula cha roo kw watu wake be blessed pst
Amen hallelujah 🙇♀️🙇♀️🙇♀️254🇰🇪🇰🇪🇰🇪love you more unatufudisha vyema kabisa apostle mtalemwa God bless you all the time 🙇♀️🙇♀️🙇♀️🙇♀️🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Shalom! Haleluya!. Thank you most exceedingly Apostle! Wonderful teaching on soul, spirit, body & the gospel. From Japan 🇯🇵
Halleluya Halleluya Halleluya
Amen baba mafunzo mazuri ukiwa umekata tamaa inanipa ujasiri wa kusoga mbele
Mtumishi Ubarikiwe Sana Ju Somo hili limeugusa Moyo Wangu sana.
Asante APSL CHUEF nimebarikiwa saana lazima tupeleke injili .Naomba maombi kwa ndugy zangu (1) Abiud kegoli amepotelea Mombasa zaidi ya miaka kumi (2)Simon (3)Evans ...Hanet ...Night nawazazi kwaujumla delieverance .pla Chief pray with me Naconnect from LEBANON.FAMILIA IKO KENYA .MARRIEGE FOR ME PLZ FAVOUR WHEREVER I GO ,TOUCH
Nampenda Yes wa Gallilaya ametenda makuu moyoni mwangu
Ameen,,,nampenda Yesu zaidi ninapockiza sifa zake huwa na bakia nafurahi 2, asante sana mtume nafuatilia somo lako nendeni mhubiri hili neno ili nao pia wamjue Yesu zaidi
Niko tayari kwa imani week hii napokea kwa jina la yesu Amen Amen
Hallelujah🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥
Wow i like this preachings be blessed man of God i love u so much keep it up lasima NENO lihubiriwe by fire by force
Oui apotre!!! De révélation à révélation
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu....
Asnte mtumishi wa Mungu
Asante Sana mtumishi wa Mungu nabarikiwa Sana nikiwa Zanzibar, Naomba nitamkie neno kwenye maisha yangu kazi sina yaani Mambo ni ovyo naamini kupitia mafundisho yako nitapona 🙏🙏🙏
Asante sana Mtumishi wa Mungu.Unanivusha sana na mafundisho yako.Mungu akuzidishie hekima yake na maisha marefu kwako.Roho na mwili haviachani.Amen
Yes yes apostle, You are a teacher. You have win my heart with your teaching. My problem is how some off your member wear tide sliveless and short skirt during service. Please I have not found your teaching about how I can wear according to the bible. Please just understand.
Shaloom nimesikiliza ilisomo mchana nilipotoka kazini nikapitiwa nausingizi nikaota napigana nawatu niniliwauwa kweli nakini nao walinijeruwi basiniawa nakimbia ukunapaa nikafikasehemu nikaja vile ospital nageti ndolilikuwa linafungwa nikapenya nikaingia nawale waliokuwa wakinikimbiza walifungiwa njee mie nikapokelewa na nes then nikastuka 🙏Namshukuru MUNGU kwakila jambo
I love your teaching
Makes me understand more and blessed
My spiritual Dad
God bless you 🇰🇪
Nampenda yesu wagalilaya ametenda maku maishani mwangu
🇰🇪
Mungu akubariki
Nimejifunza mafudisho mazuri balikiweni sana mchungaji
asante sana chief somo nzuri sana amina
Wanaingia kambini. Asante sana mtumishi wa Mungu
Pamoja nakuhubiri Sana nachelea kusema maana sijui Kama andiko hili limehalarishwa kanisa litumike nalo nihili .Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume Kama limeluhusiwa mutujulishe liliruhusiwa lini ili tusiendelee kuhukumiana asanteeeeee Kama mutanisaidia juu ya Hilo pia hayo mafuta ambayo umesema unawapaka waumini kabla ya kwenda kuhubiri yanatokana na Nini sikwamba napinga Ila nataka kujua amina
AMEEN
Ameen
amen
Amen
Ameen🙏🙏🙏
WALE WASIOTAKA KUTOKA KWENYE UCHAWI HILO KANISA LINA WAFAA SANAA.
Rosa Priska Hélio Jeremias Olinda Martina Antônio Paulina Afonso Helena Januário Vicente Januário Osvaldo Edvirse Martina Majimoto
Ubarikiwe Sana mtumishi kwa somo
Mungu akubariki
Amen
Amen
Amen