GEORGE AMBANGILE AMVAA KOCHA YANGA/AMESHINDWA KUIFIKISHA YANGA ROBO FAINAL/AWAVAA WACHEZAJI YANGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 9

  • @omarysaid8725
    @omarysaid8725 11 дней назад +1

    Wachezaji wengi wa YANGA ni walevi tusidanganyane na wanapenda sana starehe ndio maana wana zingua

  • @sweetbertrwiza5982
    @sweetbertrwiza5982 10 дней назад

    Ivi wandishi mnajua kingereza au mna bahatisha? Kwani yeye kasema ligi ni dhaifu au kasema hakupata mech za ushindani!

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 11 дней назад +2

    Kama ligi n dhaifu alaikuja kufanya nn huku ?? Yani ww unaacha ligi bora unakwenda kwenye ligi dhaifu kweli?? C kuaribu cv jmaani au ?? Mm n mshauri kocha wa yanga atoke mbele atuambie alikuwa anamaaanisha nn lasiiivo watu watajenga chuki dhidi yake ambapo mm naona cio tabia ya watanzania watanzania wanapenda Waone uboara,nandio maaana macoach wenzieo walipita bado wanakubalika eg Naby Gamond kawasababu hata waliposhindwa hawakurafuta sababu za hovyo

  • @DanielKasomambuto
    @DanielKasomambuto 11 дней назад

    Kweli kaka

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 11 дней назад

    Na nikuambie mm sa nyingine brother manara ananiudhi lkn nampanda sana huwa anasimamia facts na always truth will set u free lkn brother manara hili la coach wa yanga ligi n dhaifu umekaaa kimya Manara hebu zungumza kidogo

  • @omarysaid8725
    @omarysaid8725 11 дней назад

    Yanga huwa wanaingiaga uwanjani na matokeo ndio kinacho waponza

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 11 дней назад

    Watanzania tusipende kufanyawa dhaifu kwa hoja ya mtu mmoja amabaye anatafuta sympathy ligi hii imetajwa n kati ya ligi nzuri Africa halafu anakuja mtu mmoja baada ya kupoteza anatafutaa namna ya kujificha,n mshauri yanga n team bora shindani na ilishaziirisha hilo ikiwaa na makocha wengine,sasa yyy ajipange adhiirishe hilo muda upo,uongozi mzuri anao,wachezaji wazuri anao Rais na serikali yetu wanatoa support kwenye michezo aache kudharau watanzania

  • @mwikamwika4851
    @mwikamwika4851 11 дней назад

    Nimekupata George Ambangile. Watu waache kuokota sababu,yanga walifeli walizodiwa na timu Bora basi

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 11 дней назад

    Binafsi mm nakubaliana nahuyu mwamba kabisa ,nikweli hatuwezi jilinganisha na baadhi ya nchi lkn ligi yetu c dhaifu kabisa ingawa kunachangamoto na nikwambie hawa makocha kabla ya kujiunga na team huwa wanafanya tathimini sasa asije poteza match atafute pakujificha hili halikubaliki kabisa