Kisofa kisofa shida shida pamoja na zigo zigo poleni lkn asnt San chumvi jingi na kazi yako upo vizur tunakupenda unavyo tuspot saw tumekuekewa usili tupamoja chuv tuziwe ss wadau wangu
Chmvnyng nakupendea ivo.hucheleweshi mmbo.nimepend sana series zako.mmbo mazr sana much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤.mungu awazidishie sana awaongoze katak kupambana kwenu.nawapendaaaaaaaa.twasbr inayokuja👌👌👌👌👌
Kwa kweli mimi nimejifunza kupitia filamu yenu ya mtaani kwetu pia nitoe shukurani zangu zote kwa wote mulio shiriki nawapenda sana zaidi yaa zana ❤❤❤❤
Hello chumvi nyingi Gang kazi nzuri sana kusema kweli ote nawapenda lakini chumvi ulipomlilia mkeo mimba sio yako daaa umenifrahisha sana kazi nzuri sana eemjomba nawapenda sana
Asante kwa kutyjulisha hali ilivyo nilikua nata kuulizia wengine hapo ila ushanijibu asante mungu. Azidi kuwatia nguvu na awalinde nyote penda nyinyi sana
Jamani imeisha ila kaz nzur saana chumvi nying ..mwenyez mungu akupe uzima na akuzidishie marifa zaid kwenye kaz yako
Ahsante chumvinying gang tunawashukuru pia Mungu azidi kuwabaliki mufike mbali inshaallah 🙏
Mshike huyoooo hatoki mtu😂😂😂😂....komaaa weweee 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ chuvinyingi gang ³🎉🎉🎉🎉🎉
Kisofa kisofa shida shida pamoja na zigo zigo poleni lkn asnt San chumvi jingi na kazi yako upo vizur tunakupenda unavyo tuspot saw tumekuekewa usili tupamoja chuv tuziwe ss wadau wangu
Shida na Zigo 😂😂😂
Chmvnyng nakupendea ivo.hucheleweshi mmbo.nimepend sana series zako.mmbo mazr sana much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤.mungu awazidishie sana awaongoze katak kupambana kwenu.nawapendaaaaaaaa.twasbr inayokuja👌👌👌👌👌
Shukrani. Mungu awabariki. Kazi nzuri. inayokuja. Tunaomba mtuletee. Maya. Na. Kipyuda. Tumewamisi. ❤❤❤❤❤❤❤
😩😍🎉🎉 CONGRATULATIONS MOVIE MZURI SANA TUME MALIZA NA TUME FURAHI
🎉🎉🎉 pamoja sana brother chumvi nyingi🎉🎉❤
Kazi nzuri chumvi ila naomba kisofa atoe hio kitambaa machoni haipendezi
Oy chumvi nying usicheleweshe Kaz hiyo mpya bhan
Waoooooooo hatimae tumemaliza Mana mwenyezi mungu ni mwingi wa rehema tuko pamoja nasi mwanzo Hadi mwisho
Congratulation ❤❤❤❤ for all members Kaz nzuli pia tumejifunzaa k2 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊😢😢😢😢😢😂😂😂😂
Uko very vicent macha mtoto wa nyangemba big up bro
😂😂😂🤣 dah noma sana kisofaaaa
Jamani ndio imeisha nzuri sana 😍😍
Aaaah kazi nzuri sana kabisa big up chumvi kibao
Sichelewiii nawangojaa sanaaa
Congratulation ❤❤❤🎉 tem chumvi nawapenda wote ❤
Chumvinyingi gang forever bigup 👍👍👍
Mnaifanya siku yangu kua ya furaha zaid, big up chumvi nyingi gang
Movie Kali sana br
Chumvi unajitahidi sana 💪💪
Kwa kweli mimi nimejifunza kupitia filamu yenu ya mtaani kwetu pia nitoe shukurani zangu zote kwa wote mulio shiriki nawapenda sana zaidi yaa zana ❤❤❤❤
Asante kwa mafunzo mazuri nawapenda nyote ❤❤❤❤❤
Sambamba paka mwisho wa movie ❤❤🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Tunawakubali sana tupo kwa umakini sana kuzifuatilia move zenu 🙏
Wa Kwanza mm Leo chumvi nyingi apaaa 🎉🎉🎉
Nakukubali Sana tena sana niko 🇩🇪 ila napenda sana kazi yako bro
Big up chumvi nyingi
asante chumvi nyingi gang 🎉🎉❤❤
Hello chumvi nyingi Gang kazi nzuri sana kusema kweli ote nawapenda lakini chumvi ulipomlilia mkeo mimba sio yako daaa umenifrahisha sana kazi nzuri sana eemjomba nawapenda sana
Chunvinyingi apaaa mie naomba kama kungwi hajaolewa mimi nipo
Chumvi GANGA nawafatilia Sana Sana. Natamanii sana ata mm niwe mmoja wenu naombaa
Fanya mambo lkn nyau lazima awepo
Ila shamimu aliweza jamaan🎉🎉
Asate sana nimejifunza kuwa mvumilivu tusiwe natamaa zakijinga ❤❤❤❤❤🎉
Tulimwagikaaaaa😂😂😂😂uyu shunda kiboko
Hii ndio mtaani kwetu kumbe hata hao watoto sio wa mc machete
Shunda 😂😂 chendu kumbe ya shunda nikari ndomana urikuwa unaitafuta😂😂Emusi umepona😅 chumvi naminawashukuru munaniburudisha naapenda sana ❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
From 254 🎉 tunangoja next hamna kupoa apa
kazi mzuli San kaka umeweza sana
Unaupiga mwingii boss chumviii tunakupenda sana from znz
Nnachokuomba chumvi group lako nahtaji uniunge lile la whatssp
Chumvi nyingi Gang, kweli kipaji hakilogeki, kazi nzuri hongereni na Mungu awabariki sanaaa muendelee kudumu
Nakubali sana sema imeisha mapema mno jamn
Big up nawapenda sana jmn❤❤
Tunashukuru kwa ku enjoy na ii movie ni nzuri sana na Ina fundisha sana
Raha sanaaaaaaaaaaaaaa chumviiiiii
Allahmdhulilah tumemaliza Salm munajitaidi wana familia ❤❤❤❤❤
Hiii ndo sped tuliyoitaka sasa nondo juu ya nondo
🤣🤣🤣🤣 mshike huyo hatoki mtu🤣🤣🤣🤣
Woyooooooooo kujen uk kumenoga🎉🎉🎉🎉wadau
Mmetisha sana jamn mko vizuri sana story imeeleweka vizur sana
Weeee chumvinyingi ukoooo powa sanaaaaaa😂pongezi kwa kaziii nzuri
Nakubar sana chumvinyingi gang ❤❤❤❤❤❤❤
Mungu akubariki chumvi nyingi unafanya kazi nzuri sana Toka sells ya kwanza nafuatilia mpaka hapa namimi natamani sana sana kuigiza unanisadiaje
Wa kwanza mimi nipeni like zangu
Nampenda sana mama masudiiii pamoja na dimaaaaaa
❤❤❤❤❤❤❤chumvi nyingi😊
Asante kwa kutyjulisha hali ilivyo nilikua nata kuulizia wengine hapo ila ushanijibu asante mungu. Azidi kuwatia nguvu na awalinde nyote penda nyinyi sana
asanteni sana kila siku move zenu zinakuwa bora kuliko jana mung awasaidie sana kazi njema
Kali sn mumetisha nimeipenda sn mungu awape nguvu kwa kila ep inshaalah
Ndugu zangu napenda kuwashukuru mmetuburudixha xn chumvi mnajua kweli kipaji akilogeki natamani niwenanyie nduguzangu❤❤❤ 15:51 15:51 15:51
Hongera san
Chumvi nyingi usicheleweshe Kaz mpya
Tunawapenda wote🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wow mungu awazidishie jamani kwakazi nzuzi mnazo tumpa 👌 👏
Nakubal san chumvnying gang endeleeni kufny vzr mungu atawasaidia ❤
Congratulations lla fupi sana chumvi toa HT wp 35
Heti sikien nyinyi utumbo
Maisha ya Kwer kaka chumvi nyingi mtaani kwetu 2 ndo mambo tunayo pitia mtaani upo vizur mm shabiki yako sana ❤🌍🙏
Hongeren sana kwa kazi zenu Allah awafanyie wepes katika kazi zenu
Hongera kungwi🎉🎉🎉🎉.hongereni nyote washirili
Hongera sana munajyuwa Kuwukweli mungu aendelee Kuwatia nguvu nawapenda sana ❤❤
Ashante chumvi genge kwa kazi nzur🙏🙏🙏
Nakukubali Sana ww ni mwalimu kabisa....natokea burundi
Mbona fupi,nzuri sana congratulations all❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Chumvi nyingi usicheleweshe Kaz mpya 3:33
Safi sana pambana mwamba
Munaweza sana🇲🇿🤣🤗✅
Mshike uyo atoki mtu daah kak noma Santa mtaani kwetu❤❤❤❤❤❤
Tulete hile ya simba mweusi chuvinyingi
Na shukulani kwahimuvi nipeni laiki zangu jamani
Simba mweusi huyu ndo atakuja
Niatari mujini kwenu niatari kwakweli nimeishiwa nami nimefika mwisho ngoja nifwatiliye ya mpya naona imeshatoka🎉🎉🎉🎉🎉🎉
oyaah yani nilikua natamani iendeleee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂dah
Tuko pamoja chumvi nyingi GANG
Chumvi nakubali msela unaweza ongezea bidii ufike anga za juu😊
Jmaaan shamimu wajina wang ❤
From BUKOBA-KASHAI-RWOME
Nyingi ndiyo Icon za bongo
Sijamwona kipyuda
Safi sana chumvi nyingi na kukubali sana
Nawapenda sana chumvi nying gang
Asanteni kabisa
Hapo umeheleweka nampenda kichicho from, America Chicago Illinois nipo hapa kaka.
Mashallah ❤❤❤❤
Kwaiyo Mimi nikitaka kujiunga na chumvinyingi gang utaratibu unakuwaje..?
mapema leoooo
Nawapenda bure chumvi nyingi gang❤
Pashambe 💯 asikose kwa uchawi 😂
Hongereni sana jamani, kazi nzuri sana
Kazi Nzuri Mwamba Chumvi