hizi ni FAIDA za mzungwa / french thyme
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Leo@@kilimohalisi tunawaletea mmea unaitwa COUNTRY BORAGE
Zipo za aina nyingi japo zinafanana kimatibabu kipindi cha Corona virus🦠😷 mmea huu ulijipatia umaarufu nchini 🇲🇬 kwa kuwa uliponya watu wengi
Ukitaka kujifunza zaid tafuta majina haya ya kisayansi
Scientific names :coleus aromaticus. Coleus ambonicum,. Plectranthus ambonicus
Borago officinalis
Wengine huita Mexican mint/oregano, Indian borage, French thyme, Spanish thyme, soup mint, cuban oregano
Hapa kwetu ni mmea umeanza kutumika zamani Sana kwa kila makabila
Wahaya _Ekijera/ kitatelante
Zanzibar_Mpata kuva
Kibosho_ikingi/itolo
Kusini, pare,sambaa_MZUNGWA
FAIDA ZA COUNTRY BORAGE (MZUNGWA) /IKINGIli
1. Tiba ya asthma
2.Tiba ya chango kwa watoto na watu wazima
3.Husaidia kukata maumivu ya tumbo kwa haraka
4.Husaidia changamoto za figo
5.Husafisha damu
6.Husaidia Sana akina mama kwenye siku zao ndo maana huitwa queen of herb
7.Hutibu mafua
8.hutumika kutengenezea sabuni
9.Hutibu nyama za pua
10.Husaidia usizeeke mapema
11.Husaidia nywele na ngozi
12.Hushusha homa kwa haraka
13.hufukuza wadudu bustanini
14.husaidia matatizo yote ya kibofu na njia ya. Mkojo.
15.Tiba ya U. T. I
16.Dawa nzuri ya upele
17.Dawa ya ngiri
18.Husaidia kidonda kufunga haraka
19.Husaidia kitovu cha mototo kukauka
20.Husaidia kufua kubana,, korona
21.Dawa nzuri ya viungo
22.hutibu malaria ikichanganywa na limao
23.Husaidia wanawake kupata ujauzito inaamsha mayai. Hutumiwa kipindi cha
siku za mwanamke
24.Husaidia maumivu wakati wa hedhi
25.wengine hutumia kama tissue chooni
26.Hutibu kikohozi
27.Dawa nzuri kwa kifafa
Wengi mnauliza tunafaidikaje kwa elimu nzuri tunazotoe za mimea lishe. Jibu ni hili tunaagizwa kuwatafutia dawa wanao hitaji na pia tunatoa maelekezo ya matumizi ya dawa hizi kwa 10000 tu wiki ijayo bei itapanda
Kuuliza maelezo ni 10000
Ni elimu kubwa ya kuokoa uhai na kukupa afya ndo maana Ada yake ni ndogo 10000 Ila kujifunza kilimo online Ada 50000
Phone call 20000
Muamala what's up tuanze kazi
Tigo pesa
Misheck Lwenje
0652553944
Mjamzito haruhusiwi kutumia dawa hii ni hatari kwa mimba hasa changa
Huduma za muche piga simu hiizi bure
068453567/0672568516
Nimekunywa naharisha sana na nimeingia p hgafra
sio chungu
Tuliza mikono basi tuone hilo ni jani gani kwani?