Munatuzingua bana maufundi sasa ndio unaikata pahali patamu kabisa aisee, halafu kila jumatatu ss tunaofatilia hii tunaisi unatuweka sana punguza muda kwa kuweka siku mbili kwenye wiki moja Ni maoni tuu!!!!
Mau Nakupa wazo. Tengeneza App ya series zako kama hzi. Tuta kuwa tuna download na kulipia kutazama kila episode. Nitakuwa mteja wako wa kwanza. Hebu fanya hv kaka. Chukua wazo hili.
Shobo shobo hazifia kuna mafuta naniii kasikia hiloo gonga like twende sawaa
Tulio anza kuifuatilia hii kuanzia Episode ya 1 like hapa tujuane
Helly Fridy good
Mm huyu jamaaa wa Gongo nimempenda haki😂😂😂
Huyo jamaa Ni cheche jaman naomba like Leo hata 5
FUNDI vip huu nimwendelezo wa mimba au
Aisee like za Ben mdogo jamani
Daaaah brow unajua mpk kero nakuona mbalii sanaa
Like za nn ushamba tu et gonga like alafu..kuna mtu ambae asiekubali uwezo wa mau
Mau upo vizuri toka nimeanza fuatilia kazi zako una kipaji hongera kwa kazi nzuri ila tunaomba kwa wiki toa epsode 02
😀😀😀😀 imekuwa bifu mkongo nausnich wake😀😀😀
Munatuzingua bana maufundi sasa ndio unaikata pahali patamu kabisa aisee, halafu kila jumatatu ss tunaofatilia hii tunaisi unatuweka sana punguza muda kwa kuweka siku mbili kwenye wiki moja
Ni maoni tuu!!!!
Unachofikil we unadhan nmehadithiwa kweli fundi
Kama unamkubali fundi ajawaikosea gonga like hapa
Shoga mnafiki hatari😂😂😂
😄😄😄😄😄uyo jamaa hanae ungea kama serengo wamekutana na kiko coco 😄😄😄😄
😂😂😂😂😂😂sio kwa mikauxho iyo mau😂😂😂
Sarifa Jangabar 😂😂😂😂😂
Duh hakunahata ckumoja cjapata like zenu jaman bs hataleo ndan ya kikococo
Hii tabia ya kuchekesha achekeshe mwengne Like muombe nyie mmeitoa wapi ? 🤔
acha shobo Tz hapa kuna Washeli
Mm Mau nampa asilimia mia kwenye uigizaji so ni m2 ambaye anakua silias so mnao mkubali Mau like APA👏👏👏👏👉👈
Ahsante sana 🙏
Kuna watu every day wanaomba like cjui zinawasaidia nn 😁😁😁
Kumbe na we umeona broo
Sijuw wana matatizo gana 😁😁
C ndio hp
Nawale wakusema m wa kwanza m wapili 🤣🤣🤣
huyu jamaa anamcopy Ben adi anaboa...njoo na style yako unachoshaaaaaaa
Kiko Coco mwanetu wa kusini Kusini ipo juu
Khaaa!! Chizi wa nchi za njee.. 😂
Mau mwenye dada anakutafuta umpe sheria zako za mkwaju, desh, ibara ya kumi
kiramba ukwaju unavyojua kumtisha mau mbona kapatikan leò
Ewaaaa,the waiting is over aseee,kip t up brooo!!
Ilo ndo kosa lako unasahau km mimi sijaadisiwa😅😅😅
Kilamba ukwaju na mau wamekaa poa sana kwenye hii series
uko vizur fundi 🤗🤗
kilamba ukwaju una mkopi Ben lkn uko vzr
Jamn mau tatizo lako unachelewesha sanaaa
wale wenzangu wanaomsubiria hii kitu kila j3 tujuane sasa mau ni zaid ya comedian wanaomwelewa gonga like hpa.
Muridi omary Nauja snaga ushoga na wewe
Na staki ushoga na wewe
@@usajilikwanza2017 acha tuu hii kitu jombaa
Wajua vyenye nimekaa na mamtu kibao ila nmeona weww vyenye naa akiri ming sanna
Good mazeee ile kitu iliokua ikisubriwa
😀😀😀😀 kiko umepatikana jeuli yote kisha😀😀😀😀
nakukubar san mau jitahidkupost hat kwa wiki mar mbil au tatu
Sitaki ushoga na ww hahaha hahaha yeah maufundi fundi
Oya mwanetu ijaendelea iii mau
Het chizi wa nje😂😂😂😂😂😂 wangapi tumesikia
Aaaaaaa mzee baba umezingua Yan kama goli ndo lilikua Lina chomoka ghafla tu unasikia knock kwa doors Tena ya Shari., tupe vitu hivyo
ah chizi wa ncjizanje hhhhaaaa hhhhaaaa 😂😂😂😂😂
😁😁😁😁😁 eti hadi kwenye tobo anatoboa teba,umetisha mau.
Kiko coco inanipa raha sana leo umepatikana.
😂😂😂natoboa kila sehemu hadi kwenye tundu anatoboa tena
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭
huyu chiz wa nchi za nje kakutana na chzi wa vichekesho hahaha Deal done
Nic unachelewa sana
dhinatoboa kila thehem mpk kweny tobo anatoboa
Leo wa 1 gonga dole chini hapa kama unamkubali kikokoo😝😝
Una jitahidi kuongea swahili yaba Congolaiz .
Huyu jamaa naona kamuiga serengo
Anatoboa mpaka kwenye tobo anatoboa tena
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
fundi hafundishwi kweli
Anatoboa kila thehemu adi kwenye tobo anatoboa tena
Mau Nakupa wazo.
Tengeneza App ya series zako kama hzi. Tuta kuwa tuna download na kulipia kutazama kila episode.
Nitakuwa mteja wako wa kwanza. Hebu fanya hv kaka. Chukua wazo hili.
Dalali anafuata swaga za Ben selengo Kama kuna mtu amelijua hilo tujuane kwa like
Unajua jama kama serengo
Mau unatisha kaza zaidi maana ww Toka kitambo dogo aminia
Mbn zinachelewa kutoka
Mau tunaomba kwa week toa mbili
mau we noma hadi kweny tobo anaongeza tobo hahaha
😂😂😂
Dah mau pumbavu unamaliza Mb zangu Hahahahahha ila mau hana mpinzani
😁😁😀😀 bro umeyakanyaga
Aisee huyu jamaa kama kama beni
Anatoboa kila sehemu hadi kwenye tobo anatoboa tena!? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
tupo pamoja sana tajili wa keko
aaaah kurareki umekatisha patamu. lete next episode tafadhali
Nilicherewa ila konkii mau fundi
Hahaahaaaaa atari sanaaaa
Sikukosei tena adabu kila asubuh nitakua nakuamkia hahahaaaa
Tuma yegine unakawiza
Tisha sana kaka
Anatoboa kotekote adi kwenye kitobo anatoboa bure kabisa
😂😂😂mau namkubali sana
shobo shobo haifanyajii sikusikia malizieni
Ha2taki mazoea ni mnafiki huyoo
mau bana unaweka tuvipande tufupiii inaboa
Mamb vp
😂😂😂😂fundi jmn
kiko coco tajil wa keko🤣🤣🤣🤣
Huyu mkongo tokea mwanzo nasikia nangai tu ..
Mbona haiendelei vp
Chizi wa nchi za nje😃😃😃🤣🤣😂
MI NAAMINI HAKUNAGA ZAIDI KIKO COCO . WEWE JE ? REPLY &LIKE TWENDE SAWA ..
Piya
Hiyo sikukosei tena heshima nimependa
Nipo zambia najifunza kiswahil naomba u like ili unipe moyo
We unafikiri tukilike nd utapata moyo wa kujifunza,
Dhunnun Katchem 🤣🤣
@@tinamanzala unacheka nn Tina😁😂, Like bhn ndg yetu apate moyo🤣
Shoga wewe ukitaja Zambia ndo tukupemoyo wataka basi naona utakufa
Shobo shobo azifai kuna washeli
Manati ya kizungu
noma sanaaa
Umejaza musichana ya watu
Mauuuuuu unajuah xn my blood
Kila kwenye tobo anatoboa jamani
Sitaki ushoga na wewe 🤣
Mau uko poa ulistaili tunzu ileeeee
Yupo kama tool box😂😂😂😂😂😂😂
Zinakaa sana
hahahaha Leo kapatikana
Umetich😂😂😂😂😂👌
Uchizi wa Nje
😂😂chizi wa kizungu
Nakubali
Mwendelezo please
Jamaa anampatia Beni