TID - Asha feat TOP Band (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии •

  • @aileenlema2282
    @aileenlema2282 9 месяцев назад +222

    Niko hpa 2024 kama kuna mtu anaangalia hapa aje aweke ❤tuendeleee😊

  • @hashimumohamedi8245
    @hashimumohamedi8245 9 месяцев назад +64

    Wa 2024 tukutane na like hapa

  • @NOMADTRADERFX
    @NOMADTRADERFX 8 месяцев назад +22

    Tiktok brought me here 2024😂😂😂 huyu naye ni nani😅😅

  • @gerdmosler3180
    @gerdmosler3180 2 года назад +52

    TID hapa aliandika nyimbo ,Ni Ngoma Kali itakayodumu Vizazi na Vizazi

  • @gervasherman9226
    @gervasherman9226 8 месяцев назад +14

    Wapi wa 2024 wenye tuko hapa

  • @mazikumaziku8434
    @mazikumaziku8434 8 месяцев назад +22

    Wale wa TBT 2024 Tujuane🤣🤣

  • @LaulenceClaudio
    @LaulenceClaudio 8 месяцев назад +4

    Jmn mzuki zamani ilikuwa hatariii sana

  • @ChaBodo-y7y
    @ChaBodo-y7y Месяц назад +3

    2024 hii ngoma ina story yamapenz yangu daaah nkiiskia nakumbuka mbali sna nasiichok kuisklinzaaa

  • @belegeselestin9319
    @belegeselestin9319 8 месяцев назад +43

    Wale wa y betn my interview uar passng around tukutane hapa kwa like😂😂

  • @Promk112
    @Promk112 8 месяцев назад +7

    Madogo wa 2040 hizi ndio nyimbo zetu enzi zile leo tipo hapa 2024

  • @imuworldtz
    @imuworldtz 8 месяцев назад +13

    Huu ni mwaka 2030 na bado nipo hapa nasikiliza hii ngoma....

  • @JACKSONMMAKENE
    @JACKSONMMAKENE 5 месяцев назад +6

    Hiii ngoma imebeba maisha ang ya mahusiano very lovely song❤❤

  • @mylifepurpose
    @mylifepurpose 2 года назад +7

    Wa kwanza nipeni like 100 💯 tuuu nikavimbe.
    Quality sound from Tanzania

  • @medycazola6882
    @medycazola6882 8 месяцев назад +2

    Goma kali sana hili sichoki kila siku lazima nipite hapa tid mnyama

  • @nindymuruga4798
    @nindymuruga4798 8 месяцев назад +8

    Hizi ndio nyimbo sasa kitu kinachoma mpaka kumoyo

  • @tchakubutangongokhakee5871
    @tchakubutangongokhakee5871 11 месяцев назад +12

    Bro knocked me out on this baddass hit song, i never stopped listening to it in my car, man whenever you read this comment, from the deep inside of my little heart, I got a some to bless you with. 😊

  • @TeresiaMakoye
    @TeresiaMakoye 26 дней назад

    Nyimbo tamu hii tangu nikiwa la 7 mpaka sasa yaaani ni 😊❤

  • @fahadjafari1923
    @fahadjafari1923 24 дня назад +1

    2024. Inanikumbusha chuo udon hii ngoma. Mtoto Asha where u at

  • @KassimChavai
    @KassimChavai Месяц назад +1

    Nan mwingne anasikilza hii ngoma mwaka 2025

  • @Onthespot_trendings
    @Onthespot_trendings 2 года назад +9

    Nyimbo ya dunia 🏆

  • @olivamtewele7077
    @olivamtewele7077 4 месяца назад +1

    Kitu kizuri hakichoshii ❤❤tuendelee na kutafuta pesaa

  • @bongotvonline4883
    @bongotvonline4883 8 месяцев назад +1

    Hii ngoma imenikunbusha mbali sana.... Club mona pale Magomeni Cotters inaitwa Sweet Corner. Aisee, muziki ni maisha.

  • @SelemaniMarko
    @SelemaniMarko 4 месяца назад +1

    Madawa ya kulevya ya kukemea kabisa yanaharibu vijana duuh 2024 ❤❤❤❤

  • @JoelBizimana-v8n
    @JoelBizimana-v8n 15 дней назад

    ❤nakukubari,kwanyimbozoteza,tid

  • @jeffmwambe7657
    @jeffmwambe7657 7 дней назад

    Enzi izo wanaume atupendi matako wala wanawake awajui vibamia dah dunia hii

  • @tuzonyava8306
    @tuzonyava8306 2 месяца назад +1

    T I D alivo rudi toka gerezani akatoa hii ngoma nzuri tangu apo hatoa yakuizidi hii tena,, sjui angerud tena jela nahuenda angekuja na kitu kikubwazaidi ya hiki😅😅

  • @nyandagapi3364
    @nyandagapi3364 2 месяца назад +1

    TID mnyama walijua kuimba aisee ndo talents zinaitwa lakini saizi tunaogopa ata kupiga nyimbo mitusi balaa

  • @williammwashighadi970
    @williammwashighadi970 6 месяцев назад +8

    We are here the year is 2024 Month June. This was a major Hit wayback. The first time I heard of this track was in 2004. Big up TID for giving us great hits @ that time this tracks was the the greatest. Big up.

    • @Ebendentalclinic
      @Ebendentalclinic 3 месяца назад +1

      jamaa we mwongo bwana,hii ngoma imetoka 2009 baada ya TID kutoka Jera,katengeneza lamar studio ya fishcrab kariakoo ambayo pia aliianzisha 2008 mwishoni baada ya lamar kutoka 41 records kwa Producer Dunga

  • @aziywizy1060
    @aziywizy1060 2 месяца назад +1

    Mashairii makali sana umetishaa kijana wangu

  • @AmiryRimilaoga
    @AmiryRimilaoga Месяц назад

    Ngoma kali sana 2024 na ichek APA mwez 11

  • @Dymitri-Babushka.
    @Dymitri-Babushka. 7 месяцев назад +1

    TID kweli ana penda kenya,hata hii video anaipigia kenya ❤❤❤we love you brother ❤❤❤

  • @TONNYMASHA-b5g
    @TONNYMASHA-b5g Месяц назад

    Xf kiba kwa kuheshimu your job❤

  • @rahabutimoth1690
    @rahabutimoth1690 4 месяца назад +1

    ❤❤enzi hizo nipo primary 2009🙌🙌

  • @MsodokiSokoine-k2x
    @MsodokiSokoine-k2x 11 месяцев назад +1

    Tid my brother wewe noma sasa ❤❤❤❤❤

  • @mohamedhamisi9766
    @mohamedhamisi9766 Месяц назад

    Daz mwalimu kweli alikua mwalimu kweli kweli

  • @merckzedecksima-hi6xl
    @merckzedecksima-hi6xl 3 месяца назад

    Mtoto mdogoooooooo! hii ngoma ni ya moto watoto wadogo hawawezi elewa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mohammediabdallah5370
    @mohammediabdallah5370 2 месяца назад +1

    Living legend all the time💣💣💣

    • @mohammediabdallah5370
      @mohammediabdallah5370 2 месяца назад +1

      2024 BADO NASIKILIZA WALIOBA ULITISHA SANA ENZI ZAKO ..........!!!!

  • @dieumechikard8345
    @dieumechikard8345 Год назад +12

    🇨🇩it's 2023 to watch this songs Why T.i.d is he absent in music game? this sir sang very wounderful 🇹🇿🇹🇿

  • @ssembasaabdusalaam2537
    @ssembasaabdusalaam2537 7 месяцев назад +1

    Big song. missing you asha tz kutoka matwar missing you penzi wangu asha❤

  • @loulumony8519
    @loulumony8519 8 месяцев назад

    Iyi ngoma naipendag
    San kbx🎉🎉🥰🥰🥰🇴🇲🇧🇮🫡🫡

  • @husseinkadawa2846
    @husseinkadawa2846 Месяц назад

    asha km asha Niko hapa

  • @sosomokobiasharamgaya3020
    @sosomokobiasharamgaya3020 Год назад +1

    Uliumiza sana mzee TOP IN DAR ES SALAAM dundo litaishii miaka kibao sana

  • @justinkengere6037
    @justinkengere6037 28 дней назад

    Dir Adam Juma graced our childhood

  • @MohamedHiralr
    @MohamedHiralr 8 месяцев назад

    my all time roho inachoma sana ashaa

  • @EmanuelpitarEmanuelpitar
    @EmanuelpitarEmanuelpitar 2 месяца назад

    Namwona ashaaaa

  • @MzamiruAIIy
    @MzamiruAIIy 5 месяцев назад +1

    uyujamaa kapambana sana kwenye gemu

  • @queenvee
    @queenvee 7 месяцев назад +5

    2024...am here passing between your interview 😂😂😂😂

  • @benjaminenyasanga2195
    @benjaminenyasanga2195 Год назад +8

    its March 24,2023 The song was superb and still rocks on our Speakers.
    Hii nyimbo aliandikaaaaa 💥

  • @AzizNgitu-wk3ey
    @AzizNgitu-wk3ey 8 месяцев назад +4

    Eti Abby anasema akujui antaka laana

  • @tpclimitedit88
    @tpclimitedit88 4 месяца назад +1

    Kwel hyu mtu anajua mziki

  • @makumboproduction
    @makumboproduction 9 месяцев назад

    Mnyama sana mwanangu TID msanii Tz anaeongea kingereza kama kazaliwa nacho

  • @PastoryMziba-g4t
    @PastoryMziba-g4t 2 месяца назад

    Lini ntakuw na pesa dah! 😂😂 we live in our dreams

  • @WilleMwangomba
    @WilleMwangomba 8 месяцев назад

    Akuna na atakuepo kama wewe ❤❤❤❤❤ mwenye koma kali

  • @Karimslifee
    @Karimslifee 3 месяца назад

    TID kanyimbo kakutongozea kbs aka 😂😂

  • @AirtelMobigo2-zu3dg
    @AirtelMobigo2-zu3dg Год назад +1

    Zaidi ya ngoma mkuu

  • @osca_kitomari_journalist
    @osca_kitomari_journalist 8 месяцев назад

    Wale tuliokuwa primary school miaka ya 2007😂😂

  • @alterboyafrica
    @alterboyafrica 7 месяцев назад +1

    One of my favorite song from TID💯

  • @tuzonyava8306
    @tuzonyava8306 8 месяцев назад +2

    Anaye mjua yule dada wamovie ya Saradini aliitwa Subira akuje na like ake apa

  • @SofiaMasawe
    @SofiaMasawe 8 месяцев назад

    🎉🎉jamaa alikua handsome sana

  • @naftalmae8718
    @naftalmae8718 3 месяца назад +1

    Saladin kumbe ndio Aisha wa TID

  • @salummussa9880
    @salummussa9880 2 года назад +9

    My favorite song of all the time

  • @mysameomary7672
    @mysameomary7672 4 месяца назад

    Hii nyimbo ilipigwa nchi mzima ❤❤2024

  • @busnaoman9981
    @busnaoman9981 Год назад

    Nice song from muscat omn 🥤🥤 faamchezoo nini ngoma inagusa penyew kbs 😢😢

  • @khamiskhamis7070
    @khamiskhamis7070 Год назад +5

    MOST TALENTED ARTIST

  • @jaypablo
    @jaypablo 2 года назад +1

    TID wewe mtu wetu,napenda kazi zako sana ✌️

  • @ZuhuraDaniel
    @ZuhuraDaniel 8 месяцев назад

    Jamaa anaweza bhana

  • @kursoomabuu8192
    @kursoomabuu8192 Год назад +1

    Mpk nakosa chakuandika❤️👌

  • @jaquubjummah7538
    @jaquubjummah7538 8 месяцев назад +2

    Watoto wadogo

  • @yussufmohdjuma5357
    @yussufmohdjuma5357 8 месяцев назад

    Nyimb kal san 💥 mm pia naanglia 2024

  • @hfoya4569
    @hfoya4569 10 месяцев назад

    Kazi nzuri sana TID

  • @queenvee
    @queenvee Год назад +4

    2023 still here we miss u legend 🎉❤❤❤

  • @TheRwenzoriGirl
    @TheRwenzoriGirl 7 месяцев назад

    🇺🇬🇺🇬thank you TID legendary

  • @nyamaimomanyi4116
    @nyamaimomanyi4116 Год назад

    🇰🇪 Tumewakubali 100% mko Top

  • @CasmiryNikata-e3j
    @CasmiryNikata-e3j Год назад

    T.I.D ni bonge la artist na kama anatuliza kichwa hata sasa anaweza kuendeleza game maana ni mkali wa mistari inayoleta hisia , mnyama anaweza sana.

  • @gastonamnon7005
    @gastonamnon7005 3 месяца назад +1

    2024 Still Hot Song 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @elhustler8232
    @elhustler8232 8 месяцев назад

    nakumbuka bro wangu alinituma barua nipelekw kwa she anaemfukuzia alooh alaf malipo nilipewa shilingi 20x2 ikawa sh40 alooo daah

  • @maroahkissiry4863
    @maroahkissiry4863 7 месяцев назад

    Nafikiri TID aungane na Simba ifanyike remix ya hii ngoma! Hapa mnyama akili zilikuwa hazijavurugika

  • @FRANKRWABUSHUBI
    @FRANKRWABUSHUBI 6 месяцев назад

    Hii ngoma ni kali sanaaa

  • @africanjamesbond71
    @africanjamesbond71 Год назад +1

    One of my all time favorite song in Tanzania ❤

  • @sosomokobiasharamgaya3020
    @sosomokobiasharamgaya3020 3 месяца назад

    Kazi kubwa mkuu

  • @georgenshashi1308
    @georgenshashi1308 5 месяцев назад

    Kitambo enzi za secondary...2007

  • @OchuUmeme
    @OchuUmeme 9 месяцев назад +1

    niapokua bize usikuchukie natafuta pesa,HALAH 20.03.2024

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 4 месяца назад

    TID mbona alikuwa mtu sana huko nyuma mlikuja kumlisha nn hadi leo amekuwa hivi haeleweki kbs na hana muendelezo mzuri wa kazi zake kama chidbenzi! Ni kambwa haka haka au kuna nn hawa jamaa

  • @mishelkariuki2650
    @mishelkariuki2650 8 месяцев назад +3

    Between my interview was very handsome😊❤

  • @muslihelbarca6435
    @muslihelbarca6435 7 месяцев назад

    Talk of the town LAMAR is fishcrab cookout presenting to you TID and top band is fishcrab cookout AUUUUUUUUUU

  • @mohaz612
    @mohaz612 Год назад +1

    👌stl my favorite song 💯

  • @hamisnchumilar5115
    @hamisnchumilar5115 Месяц назад

    Yule dem nilimpenda sana ila fresh tu😢

  • @allymbondo111
    @allymbondo111 5 месяцев назад

    Hii ilitoka baada ya TID kutoka gerezani....noma sana

    • @tuzonyava8306
      @tuzonyava8306 2 месяца назад

      Ilitakiwa aende Tena jela ili arudi nakibao kingine kikali

  • @zuberidaud4553
    @zuberidaud4553 2 месяца назад

    Tid is best for all time

  • @simontesh1636
    @simontesh1636 Год назад +2

    2023 April still listening to this jam🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jnote9283
    @jnote9283 8 месяцев назад

    Time flies! This is a classic

  • @wennybarny168
    @wennybarny168 8 месяцев назад

    Alivyokimbia baada ya kuona simba anamnyatia😢😢😢😢

  • @ibradani2255
    @ibradani2255 8 месяцев назад

    TID mnyama hataree

  • @AvuraKashindy
    @AvuraKashindy 3 месяца назад

    Mwamba aliuwa sana

  • @analisacecy
    @analisacecy 8 месяцев назад +4

    Who this guy passing aroud between my interview 😂😂😂

  • @faithmedza1391
    @faithmedza1391 Год назад +2

    One of my Fav among the songs of Tid.....

  • @JafariBakwema
    @JafariBakwema 11 месяцев назад

    miziki hii inadukumbusha mbali sana

  • @mohammedomar7292
    @mohammedomar7292 7 месяцев назад

    TID should continue with his comedy stunts, his music is still intact with too.much life..

  • @Bruno-ed1ps
    @Bruno-ed1ps 8 месяцев назад +1

    Waliokuja baada ya interview tujuane 2024😂

  • @MeddyQabous
    @MeddyQabous 7 месяцев назад

    Why between my interview your passing around..... I hate you 2024 @tidmusic you know 🤝💪