Mdada mwenye adabu zake ...cute na heshima bro mke umepata yani uyo ni wife material kabisa ....Mungu alikupendelea brother ni wasichana wachache sana kama uyo ...Big up sana
Story nzuri sana! Kweli hatima yenu mungu alipanga. Wote mnaonekana kuwa ni watu wema sana. Tunawapenda wote. Tunawatakia kila la kheri. Jesse and Upendo.
Now this is a wife.....yaani ulivyosema Ex wako alikua that singer, nilicheka haswa, but this woman will absolutely love you well and i wish you both the best❤
Kwahiyo jamani hamkukiss ata alivokuja kulala😅😅😅zile goodnight kiss,and Jesse hukumkumbatia wakati wa kulala?🤣yani kiufupi ndio vitu tunataka kujua😅😅😅but all in all mmeendana sana😍
Thanks for this, it’s a great idea. So do you think we should make a video where we tell people to ask us questions? And then the video after that will be replies to those questions?
@@jessetanzaniaI think you should invite questions on your social media pages, have questions in kitangula(kikapu) and do a vid of pick & answer, sijui unaonaje.
Mdada mwenye adabu zake ...cute na heshima bro mke umepata yani uyo ni wife material kabisa ....Mungu alikupendelea brother ni wasichana wachache sana kama uyo ...Big up sana
Pendo tabia yako nzuri nimeku penda Sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Waaaaooooo wasichana wa tz wanaheshima na ukarimu asilimia kubwa ,umepata mke mwema god bless you guys
Jesse is a gentleman for real . congratulations..! Your wife is pretty and a good story teller as well..much love from Kenya
Aw thank you ❤️🇰🇪
I think she's a very good story teller, I don't know why I am smiling this much 😅😅😅😅
Aw thank you that’s lovely
Yes, she makes us smile with them 😁
🩷❤️💚💙💙💚❤️🩷tunawatakiya mapenzi yenu adumu milele
Huyu dada ni mrembo sana ❤️❤️
She is so humble
Perfect combination
Story nzuri sana! Kweli hatima yenu mungu alipanga. Wote mnaonekana kuwa ni watu wema sana. Tunawapenda wote. Tunawatakia kila la kheri. Jesse and Upendo.
Asante sana tunashukuru sana
❤ wanapendeza sana.
🎉🎉🎉 nawapenda bure😊
Yaani upendo anajuwa vizuri kutoa story nawapenda sana❤ keep it up
I'm smiling like a crazy person everytime i watch your videos, you're meant for each other congrats bro Jesse
She’s so shy, which translates into cuteness😍
Hongera umepata mke mzur sana halafu mcheshi mkarimu mungu awape maisha marefuuuu
I’ve laughed so much,had to watch part 1 of this too. You got a new subscriber from 🇰🇪
Nimeipenda story yenu SK zote kila mtu ana story yake ktk maisha haijalishi ni mbaya au nzuri niwapongeze tu kwa story yenu nzuri ❤
Nawapenda sanaa 😍 Upendo umetuwakilisha vizuri wadada wa kibongo
Jaman huyu dada nampenda .... Ila Mbona mdomo wangu haufungi mda wote na smile😊
😂😂😂😂😂
Umeona ee😅
Umeona eeeh ata mi nipo natabasam tumda wotw
Now this is a wife.....yaani ulivyosema Ex wako alikua that singer, nilicheka haswa, but this woman will absolutely love you well and i wish you both the best❤
What singer jamani?
natumai namimi siku moja ntapata mume wa kweli ❤stori nzuri ila ingekua vizur jaman tuletee reality show plzzzzz tuwatazame kila siku
Utapata usiope muombe mngu anakupa
Yes also mee
Kabisaa
Jesse usnambie kama unajua amba la mwezi😂😂😂ww sio mzungu😂😂😂😂😂😂😂😂
Story yenu imenifanya nicheke mda wote love you guys ❤wish you the best
New subscriber from Kenya🇰🇪. I enjoyed your story
You guys are the cutest! I loved the video and thank you so much for the subtitles as well!!! 😍
Aw thank you. The subtitles are so much effort 😩🤣
Don't take too long to another video...some of us can't wait...am your fan from Kenya🇰🇪🇰🇪..and I looove your videos
Aww thank you so much. Love to Kenya ❤️🇰🇪
@@jessetanzania you welcome
Jessy na Upendo 😂😂mnafurahisha sana muanze kufanya comedy sasa🎉🎉
Almost fell runnimg to watch this! You guys are my new favourite couple❤ wishing you happiness, "loveness"😅,and Joy in your familly!
Hahaha you’re funny. Thank you so much ❤️❤️
wow, a very good love story, i found myself laughing all the time, as if i were watching a love drama nasubili season 3🙌
Watching this with a big smile 😂😂❤️blushing with you guys.
Mm pia mpka mwisho
Aw so sweet
I hope the final part you Wil introduce us jessen jnr😊
lol! Me too 😭😍
Tuko wengi 😂😂. I was smiling the entire video like a mumu 😂, nawapenda sana ❤️💯
Hapa sibanduki am just loving this channel all the way from Kenya forever your fun guys
Nimekuwa wa kwanza kucomment na kuangalia video hii kwa kweri mmependeza sana
Asanteeee sana
So lovely 😍
Mnyalu mwenzangu
😅😂😂😂kukiss sasa 😅mfike mbarii good story Jesse and upendo❤
Awwwhhhh❤❤❤,naenjoy sana wife anavyosimlia jmni...loving this ..nmewapenda sana bure.
Everything is just wouw 🥰 hongereni sana
Mnapendezana sana❤ nimempenda mkeo❤ Wife material♥️
you guys are cute and funny, smiling and laughing all the way thru the vid...☺☺
Hongera sana Upendo MUNGU awalinde mhehe! mwenzangu (ndisuka inguluvi nainene nipate msungu nyee)
We need part 3 of this story.
Lovely couple.. you inspire me a lot wajina
Y'all are too cute❤ Best wishes from Dada Mkubwa
❤❤❤I can't wait part 3
Story nzuri sana....mnafaana kweli...❤❤❤
He is soo caring and romantic
Hahahaa 🎉🎉🎉,, hongeren Sanaa nmeipenda,alooo uyu mdada ana character zanguu zote 😃😃🤭🤭
We kaongo nakujua vizuri tu😂
This lady is a gem
Muwe mnatupa hizi video mala kwa mala ni nzuri 😊
Story nzuri sana😊
Huyu dada anajielewa sana, Nawapenda sana
Nawapenda sana jmn pt3 isichelewee 🥰
Nimeipenda mwanzo hadi mwisho nimekaa nacheka mungu awabariki na azidi kuwaweka pamoja zaidii❤❤❤❤
I don't know why I'm smiling ❤
Same to mee
Nimefurahi sana, Jesse kuoa Tanzania,najua utainjog maisha ya Tanzania
It's Amazing Story.🎉🎉🎉
Ndugu 😅😂 umefanya niwe na furaha pongezi ❤ Kwa kumpenda make wako
I am eagerly waiting to see the wedding video!! Was it a huge celebration or something small...
Napenda sana hii couple may GOD BLESS U...Ushauri wangu kwa upendo mwanamke aliyetoka kujifungua akikaa anatakiwa kubana miguu hii itakusaidia asante.
Yes ni kwel ajitahid kukaa hvyo sawa mrembo wetu
Mungu Awabariki awatangulie kwa kila jambo, nawapendaaa ❤
Upendo uko so real yaan😂😂😂❤❤🎉🎉
Tutunzie Huyo Dada Yetu 🙏 Na Ukija Iringa Ututafute Upige Ulanzi Kidogo😅
Ipo ulonzilee
Love is a beautiful thing
Am just smiling kama chizi 😅 nimekupenda mwaya Loveness yan najiona mimi 😂
She’s so sweet ☺️❤ Jesse calling Fatma Dewji just for an iron is so random 😂😂😂
😂
❤❤❤❤❤❤🙏Mungu awabariki sana mdumishe ndoa yenu...
Umeenda iringa ❤❤❤❤
💗💗jesse unitaftie bac namm wauko kwenu
Ila awa wakipata na watoto wawili wakike na wakiume ,hii story yao itakua ndefu vzr🎉🎉🎉
I like it mimi sio mzungu mimi mbongo😂😂😂 hatunaga hayo sisi
AM WATCHING THIS WHILE SMILLING😩😩
Mungu awabariki sana nyeeee iposawaa
Yes, nimependa 😊mnapendeza lovely couple ❤
Watching this with Big smile
Wow nawapenda zaidi Mungu awalinde
Baba na maman mapenzi motomoto ❤❤❤❤ vraiment inapendeza ❤😂
Nimefurahi sanaa jamani daaa nilikua na smile tuu muda wote.
Awesome story I like it. Beautiful wife and good looking Jesse
Aw thank you
Muzungu who told me loveness need isn’t a word lol. She’s so cute. 😂❤
Aww you guys are so cute together,,smiling ear to ear about your story..Mungu awabariki sana!! ❤❤❤❤
Aw thank you
Aaaaww, mmepata subscriber hapa🥰 and sarcastic is kejeli by the way
Aw thank you, I love comments like this!
Nawapenda❤❤❤❤❤
Natabasam mwanzo mwisho jmn km nawajua love you watu
Sio pekeyako
Nimempenda Upendo jamani yupo real, fun , karembo. MUNGU awasimamie huu muungano wenu mfike mbali
im watching this on monday 25 11 2024 the story is good i like you guys too much really ❣️❣️❣️🌹
Mzungu umepata mke mzur sana tena sana🎉🎉🎉
Mdada mrembo sana❤
Shemeji jesse usiache Icho chombo🎉
I real admire you watu ninafurahi sana jamani❤❤
Such a beautiful love story🔥
This is so lovely jamani😂😂😂
Aww thank youuuu
I LIKE IT
She is soo beautiful congrats
Mungu awatunze vipenzi ❤🥰
Hongera wajina pendo huwa hatununagi wakina pendo
Another day to smile with strangers 😂😂😂
Nasubilia part 3 msichelewe
I love your channel beautiful couple she’s too cute
Thank you so much 🤗
She's a natural beauty 😍...
Kwahiyo jamani hamkukiss ata alivokuja kulala😅😅😅zile goodnight kiss,and Jesse hukumkumbatia wakati wa kulala?🤣yani kiufupi ndio vitu tunataka kujua😅😅😅but all in all mmeendana sana😍
Mungu awape maisha marefu
Next videos Q&A ,,, routines 🎉🎉
Thanks for this, it’s a great idea. So do you think we should make a video where we tell people to ask us questions? And then the video after that will be replies to those questions?
@@jessetanzaniaI think you should invite questions on your social media pages, have questions in kitangula(kikapu) and do a vid of pick & answer, sijui unaonaje.
Im just smiling here all the time,love u guys❤
Oh nawapenda sana
Nice couple, story yenu nzuri
I love this story ❤❤❤
Upendo you're soo pretty
Nikasema yeyeyeyeyee jamani nimekupenda bure mkalimu unaongea kwa upole❤