mazinge numeshuku toka enzi alikuja msikiti wa nurdeen kishki anawalazimisha waislamu kutowa hela ili anunuwe viyombo vya speakers na microphone yani kazi yake hela. kwanzia Leo nitamwita $$ sheikh hela. $$
Kwanza mtumewetu alitukataza isipokua tulinganie na qur an tu ndiokitabuchetu hao wanalingania watu nakitabu siochamtumewetu qur an imekusanya vitabuvyote viliopita na dini ikakamilika sasa mazinge alingania na biblia !
Usijali Sheikh Mwaipopo kwa kusema kweli kwasababu wakikuchukia hao Allah atakupenda tunajua sheikh Mwaipopo unamuogopa Allah ndio maana unasema ukweli Allah amlinde Sheikh Kishki na sheikh Mwaipopo. Aamiin
Sheikh Mwaipopo Allah akuhifadhi kwa hakika msema kweli ni mpenzi wa Allah. Sheikh Kishki sikiliza wazo la Sheikh Mwaipopo usiwajibu hao Allah atawajibu.
Shk mazinge mzee wetu tunampenda na yeye ni binadamu kakosea hajachelewa na arudi kwa Allah bdo tunamuhitaji na tunaumia kumuona yupo huko mashk badilikeni kuweni kitu kimoja mkiwa hivo na sisi mtatuvuruga Allah awaongoze mashk wetu muwe kitu kimoja mushikane ili umma uwe kitu kimoja
Kweli ata sisi Congo 🇨🇩, tume sikitika sana kumuona Mazinge upande wa uyo Kijana Firdaüs. Mazinge, ameshafanya kazi kubwa, asiharibu kazi yake... Tunampenda❤
Wallah kwenye nchi hii sheikh kishk ni mtu alieufanya uislam ukaonekana unamthamani sana hata majiran zetui wanatusifia kama Tanzania waislam wanaikubali Sana Qur'an Kwa sababu ya mashindano anayo yaanda yeye sasa hao waonaongea hivyo mtu hata Madrasa ya nyumbani kwake tu na familia yake kuifundisha waka mjua Allah Hana kazi ni kutuletea vitoto vidogo mtaani na kuwadanganya kinamama kwamba mtoto huyu ni wa maajabu kisha kuwaaaibia pesa zao Kwa kigezo cha dini Allah atawaumbua zaidi kama hawatabadilika hii sio kishi huyu ni Allah anaanza kuwazindua watu maskio kupitia kwa mashehe kama hawa kina kishi Allah atuhifadhi alhmdulilah nilikua naumia cku nyingi sanaa kuhusu haya mambo lakini Allah ameidhirisha sasa fitna hii iliyokua ikitia doa dini ya Allah
Hapo Kwa mazinge umenigusa shekhe wangu niliumia sana sana kumuona mazinge anaunga mkono huu ujinga unaoendelea Asante sana Kwa kumtaja na kumuambia ukweli niliumia mno😢😢😢
Wewe km mimi tena ilinishangaza kweli sheikh wetu mazinge kufanya utumbo ule nilikua najiuliza km kweli yupo sawa?au kuna kitu kimemsibu? Maana haielekei kwa akili zake na subra yake na uchamungu wake kutetea upuuzi lkn tuwaombee Mmungu na tujiombee nafsi zetu Allah atuhidi.
Tumegundua kuwa viongozi wengi wa tanzania wale wa kiislam kumbe ni njaa kali wanaangalia maslah tu ya tumbo Kimberly hawana Imani na dini wanatengeneza ATM ya kupiga pesa kupitia sharif feki na kuwapotosha watu eti sisi tunaowapinga watausomea dua wakati dua Yao haifiki hata juu ya paa. Sasa na mimi nawapinga nipigeni hio dua yenu kama itanifika kwendeni huko mushindwe na mulegee pumbavu zenu
Ulivyomtetea utafikiri ni ndugu yako wa kuzaliwa.. Kiukweli hongera sana Muhubiri Mwaipopo.. Umenyooka mwenyezi mungu akusimamie katika kheri zaidi ya hapo.
Alllah amlinde shk wetu mpendwa shk nurdin kishk na kila. Shari na hasad amzidishie elimu zaid wala hamuwezi kumshusha heshima shk wetu kishk daima atabaki kuwa salama na Allah atamlinda na kila shari
Asalam alaykum tatizo kubwa Masheikh wengi hawana kazi za maana za kujipatia kipato Kwa hiyo nikusimama kwenye Jukwaa ndio maskini awashe jiko nyumbani sasa ndio maana ukaona wanapomuona mweziwao alhamdulillah yupo vizuri hasad inaanza kuwala cha msingi jaribuni kukutafutia shughuli ujihangaishe na Allah atakusaidieni Kwa kutegemea ulishwe na pesa za Swadaka mutaumbuka Allah atufanyie wepesi atusamehe Kwa tulipo kosea na utuunganishe nyoyo zetu huyu ni shetwani anatuchezea
Mim ninamtazamo tofaut izi chuki zid y kishk Allah amwifadh... Zitampandisha sana daraja zaid y hapo alipokua ..namwano akipata mialiko zaid nje y inch
Nakupenda kwa ajili ya ALLAH sheikh mwaipopo , kwa kuongea ukweli , waambie ukweli wahadhiri wakutia watu katika ushirikina na kuunga mkono wahadhiri matapeli
Mazinge umekaa upande mbaya na mungu akuonyeshe mwangaza na inaonekana hukufanya homework yako vizuri, SHEIKH kishki yupo vizuri na mkweli juu ya dini ya kiislamu. Kutoka kenya
Kam unamkubali mwaipopo gonga like
Like yangu anayo tena mara Mia namkubali kwa kweli wake na Sheikh wangu Kishki Allah akupe umri mrefu
Mashaaallah ❤❤❤@@husseinmukwambo9001
Shekh mwaipopo wewe ni mkweli sana huko sahihi muda wote mwenyezi mungu akujaalie khel
Huyu hawezi kukubali udhalilisha, kama huo upako kwenye usilam wapi na wapi? Mwaipopo safi sana ongea wewe,❤❤❤🎉🎉🎉
Toka nianze kuwafatilia Hawa mashee kutoka ughaibuni kuusu huu ugonvi wao leo mwaipopo nimekuelewa Sana mungu amzidishie amin
Mazinge na group lake la matapeli wanatuharibia dini yetu.njaa mbaya sana
mazinge numeshuku toka enzi alikuja msikiti wa nurdeen kishki anawalazimisha waislamu kutowa hela ili anunuwe viyombo vya speakers na microphone yani kazi yake hela. kwanzia Leo nitamwita $$ sheikh hela. $$
Nivipumbafu tu
Mtihani Allah Atuongoze Kwa huruma wake
Kwanza mtumewetu alitukataza isipokua tulinganie na qur an tu ndiokitabuchetu hao wanalingania watu nakitabu siochamtumewetu qur an imekusanya vitabuvyote viliopita na dini ikakamilika sasa mazinge alingania na biblia !
@@dragon4397Sasa Kuna tatizo gn kuomba kuchangia kwa ajl y vyombo vya kutangazia dini
Mashaallah.
SEMA KWELI JAPOKUWA CHUNGU SHEKH NA ALLAH ATAKUHIFADHI.
Maashaa Allah kaka yangu Saidi Mwaipopo umeongea maneno ya thamani sana .
Allaah akulipe kheri nyingi duniani na akhera .
Aameen
Huyu mwaipopo ni Simba nimemkubali.Allah amjaalie afiya
Usijali Sheikh Mwaipopo kwa kusema kweli kwasababu wakikuchukia hao Allah atakupenda tunajua sheikh Mwaipopo unamuogopa Allah ndio maana unasema ukweli
Allah amlinde Sheikh Kishki na sheikh Mwaipopo.
Aamiin
Shekh mwaipopo mimi wallahi nakupenda kwa ajili ya Allah sema kweli baba
Jamani namuonea huruma Sheikh Mazinge kwa bidii yake miaka mingi ila sasa hivi anatekwa akili,
Tuombe Allah atupe husn alkhatimah ndio muhim.
Mm namsikitia mazinge kaungana na matapeli kweli na atafute hatma njema machine na kugombana na waislamu wenzake
Sheikh Mwaipopo Allah akuhifadhi kwa hakika msema kweli ni mpenzi wa Allah.
Sheikh Kishki sikiliza wazo la Sheikh Mwaipopo usiwajibu hao Allah atawajibu.
Napenda kitu kimoja kwa Mwaipopo ni mkweli sana
Upo sahihi sana shekh mwaipopo. Nilishaangaa kumuona mazinge nae ameingia kwenye mfumo hali ya sasa inatisha.
Mazinge njaa inamsumbua
Sawasawa mwaipopo uko vizur sana mungu akubarik... kwel unaijua haki
Duh Mwaipopo unauwezo wa kuipiga pentagon kweli ama ni mkwara tu ila leo umeweza kuisambaratisha kambi ya wapinzani
SWADAKTA SHEKH UMEONGEA POINTS SANA 🙏
Allah awabariki na awalinde Sheikhe Mwaipopo na Sheikhe kishik Insha'Allah, kwali mpo sawa kabisa👍
🎉🎉🎉🎉🎉safi sana kishki yupo sahihi na tutamsikiliza hata wamseme viiiiipiiiiii
Bora umemgusa na Mazinge me mwenyew namshangaa hajui heshima tuliyo nayo juu yke
Shk mazinge mzee wetu tunampenda na yeye ni binadamu kakosea hajachelewa na arudi kwa Allah bdo tunamuhitaji na tunaumia kumuona yupo huko mashk badilikeni kuweni kitu kimoja mkiwa hivo na sisi mtatuvuruga Allah awaongoze mashk wetu muwe kitu kimoja mushikane ili umma uwe kitu kimoja
Mwaipopo kanyooka sanaaa nakama angekuwa anatamaaa tamaaa Angebakii kwenye Ukafiriiii,, Mwaipopo safii Shekhee KISHKII safiiii,,
Mwaipopo upo sawa Hawa masharifu ni wahunii sana
Sheikh upo sahihi sana
Sema sheikh wangu ,hawa matapeli wamezidi sana .hawana cha dini wala nini,wanataka maokoto tu
Sheikh Mwaipopo upo sahihi kabisa
Mwaipopo wallah Allah atakulipa unachokifanya unabainisha ukweli bal wachache ndio watakao kuelewa
Kweli ata sisi Congo 🇨🇩, tume sikitika sana kumuona Mazinge upande wa uyo Kijana Firdaüs.
Mazinge, ameshafanya kazi kubwa, asiharibu kazi yake... Tunampenda❤
Allah sw Akulipe kheri za duniani na za Akhera. Sheikh mwaipopo.
Sema kweli Allah sw anawapenda sana wasema kweli.
Sheikh Allah awajaliye kwa kuongeya ukweli
Sijawahi kukupinga shekh mwaipopo
Mazinge Ana zeeka vibaya asimalizie umli vibaya achane nadunia
Ana njaaa
Njaa inamsumbua sana
@MussaBakil uislamu sio pesa. Mtume alikufa na riyali 7 kwa nyumba. Anamuuliza Aisha( RA) nitamuonaje Allah subhana wataala nyumbani kwangu kuna riyali 7? Zitoe sadaqa haraka.
@@Giftedness.Riyali ni nini ndugu
Pesa
Masha Allah umeongea maneno ya hekima sana Allah akubarik
Tatizo la Firdausi ana kibri hawezi kumuomba radhi mtu yeyote
Kale kashetan %98 we angalia kundilake linapandembili wapo wanjaa na 666 %100
YANI MWAIPOPO,AMESILIMU TU,ALIKUA KAFIRI MWANZO,LKN AMEELEWA NINI KISHKI ANAONGEA, LKN MAZINGE,MAULANA,DIWANI,MZIWANDA.NAWANGENE WENGI SUBHANNAH ALLAH
Uposahihi sanaa
Ubarikiwe shekhe
Mashallah mwenyezi Mungu akupe nguvu na akida ndio uweze kusaidia wenzake
Mazinge anavunja heshima yake kwa kupelekeshwa na hawa watoto wa mjini,haki iko wazi kabisa,kishiki yuko sahihi kukemea huu uhuni wa hawa hawa vijana
ALLAH awahifadhi wote wasemao Haki katika Dini hii
Upo sahihi wala hujakosea . Allaah anakuwa zaidi
Yaani mazinge kamdhalilisha saana shekh kishki ,kwakweli hatima yake mbaya
Kaka ninachoshangaa ,Mazinge aliwahi kukaribishwa pale Vertinary kapewa heshima kubwa sana atoe angalau neno moja ila dah binaadam ,tunajisahau sana!
@salehothman6144 njaa brother
Maashaallah Allaah akujaalie kheri nyingi
Mashallah uko sahihi sana Mwaipopo
mashaAllah hongera shekh Mwaipopo umesema kweli kwenye hilo Mungu akulipe mema inshaallah
Asalamu. Alykum warahmatullah wabarakatuh mashaallah shekhe mwaipopo allah akulipe mazuri duniyani na akhera amin
Tokea nianze kukusikiliza ustaz mchungaji mwaipopo Huwa nakuelewa sana
Alhamdulillah Kwa neema hii Allah amekupa, Allah akupe umri mrefu waanufaa
MAZEE NASIKITIKA SANA KUONA DINI YA KIISLAMU INACHEZEWA
Mwaipopo piga hao vishandu wezi hao
Mashallah mwaipopo umeona mbali sana Allah akulipe tunamtegemeya sana shekhe kishk ndiyo anae ona na kuyasemeya maovu mengi kwa wanaopoteya
Wallah kwenye nchi hii sheikh kishk ni mtu alieufanya uislam ukaonekana unamthamani sana hata majiran zetui wanatusifia kama Tanzania waislam wanaikubali Sana Qur'an Kwa sababu ya mashindano anayo yaanda yeye sasa hao waonaongea hivyo mtu hata Madrasa ya nyumbani kwake tu na familia yake kuifundisha waka mjua Allah Hana kazi ni kutuletea vitoto vidogo mtaani na kuwadanganya kinamama kwamba mtoto huyu ni wa maajabu kisha kuwaaaibia pesa zao Kwa kigezo cha dini Allah atawaumbua zaidi kama hawatabadilika hii sio kishi huyu ni Allah anaanza kuwazindua watu maskio kupitia kwa mashehe kama hawa kina kishi Allah atuhifadhi alhmdulilah nilikua naumia cku nyingi sanaa kuhusu haya mambo lakini Allah ameidhirisha sasa fitna hii iliyokua ikitia doa dini ya Allah
Alhamdulillah umempa nasaha Sheikh Mazinge biidhnillah asifanye ubishi na ajutie makosa yake.
Aamiin
Hapo Kwa mazinge umenigusa shekhe wangu niliumia sana sana kumuona mazinge anaunga mkono huu ujinga unaoendelea Asante sana Kwa kumtaja na kumuambia ukweli niliumia mno😢😢😢
Wewe km mimi tena ilinishangaza kweli sheikh wetu mazinge kufanya utumbo ule nilikua najiuliza km kweli yupo sawa?au kuna kitu kimemsibu? Maana haielekei kwa akili zake na subra yake na uchamungu wake kutetea upuuzi lkn tuwaombee Mmungu na tujiombee nafsi zetu Allah atuhidi.
Allahu Akbar, ALLAH akuhifadhi uendele kulinda dini yetu, kupitia QURAN na Hadithi.
Allah akulipe
Tumegundua kuwa viongozi wengi wa tanzania wale wa kiislam kumbe ni njaa kali wanaangalia maslah tu ya tumbo Kimberly hawana Imani na dini wanatengeneza ATM ya kupiga pesa kupitia sharif feki na kuwapotosha watu eti sisi tunaowapinga watausomea dua wakati dua Yao haifiki hata juu ya paa. Sasa na mimi nawapinga nipigeni hio dua yenu kama itanifika kwendeni huko mushindwe na mulegee pumbavu zenu
Namba mashekhe musichoke kusimamia dining yahaki tunaiman ipo siku watadharirika duh
Upo sahihi shekhe
Allah akujazi kheri
Ulivyomtetea utafikiri ni ndugu yako wa kuzaliwa.. Kiukweli hongera sana Muhubiri Mwaipopo.. Umenyooka mwenyezi mungu akusimamie katika kheri zaidi ya hapo.
Kishkiii awee makinii sanaaa yaniii katika iliii KISHKII awee makinii sanaaa watamzushia watamwambia sasaiviii kwanza sio raiaaaa wa Tanzaniaaa
Maa shaa Allah sheikh Allah akuripe kheir
kwel sekh mazinge na maulana wajitafakar wameingia sehemu mby
Nakukubali sana shekhe WW ndio mkweli ilobaki wengine wapiga mpunga
Mashaaallah Mashaaallah 🌹 mashaaallah ❤❤tumiombee kishii
Mwaminini YESU kristo mtaokolewa
Shekhe mwaipopo uko sahihi kabisaaa sikupingi na kishiki asinyamaze akemee aminyamaza kesho ataenda kuulizwa
Mashallah mashallah Allah akuongoze sheikh Mwaipopo Allah atakulipa kwa kusema ukweli nakupenda kwa ajiri ya Allah
Innalillah kwakweli nimtihani ,watoto hawataki kuwaskiza wakubwa wao ,pia wametokwa nakhofu ya Mungu
Alllah amlinde shk wetu mpendwa shk nurdin kishk na kila. Shari na hasad amzidishie elimu zaid wala hamuwezi kumshusha heshima shk wetu kishk daima atabaki kuwa salama na Allah atamlinda na kila shari
Asalam alaykum tatizo kubwa Masheikh wengi hawana kazi za maana za kujipatia kipato Kwa hiyo nikusimama kwenye Jukwaa ndio maskini awashe jiko nyumbani sasa ndio maana ukaona wanapomuona mweziwao alhamdulillah yupo vizuri hasad inaanza kuwala cha msingi jaribuni kukutafutia shughuli ujihangaishe na Allah atakusaidieni Kwa kutegemea ulishwe na pesa za Swadaka mutaumbuka Allah atufanyie wepesi atusamehe Kwa tulipo kosea na utuunganishe nyoyo zetu huyu ni shetwani anatuchezea
Kwel kbsa ni wahuni tu mwaipopo mungu akulinde hakuna kuogopa mtu
Ukweri ni ukweri MashaAllahu
Mim ninamtazamo tofaut izi chuki zid y kishk Allah amwifadh... Zitampandisha sana daraja zaid y hapo alipokua ..namwano akipata mialiko zaid nje y inch
Ukweli kabisa shek mwaipopo umetisha sana
Nimekuele muhubiri ALLAH AKUSIMAMIE USIMAMIE HAKI,USIWE KAMA MAZINGE ANAUKANA UISLAMU,NAKUPOTOSHA UMA,KISA PESA
Mashalah
Mwaipopo yupo sahihi Allah akuongoze katika íman InshaAllah
Sahihi kabisa, Allah akuhifadhi akujalie mwisho mwema nasi pia waumini tunaokutazama Allah atujalie mwisho mwema.
Hakika nakupenda sana kaka mwaipopo kwa ajili ya Allah upo katika haki kabisa
ALLAH AKUDUMISHE KTK HAKI..
UMESEMA KWRLI NA HAKI..
USHIRIKINA HAUKUBALIKI KTK DINI YA ALLAH
Mazinge kaungana na jadali kumsaliti mungu kwaajili ya Pesa Kweli waislam matapeli washilikina wanafiki wazonzi
MAZINGE ANAJIUNGA NA WATOTO
mungu akujalie sana mwaipopo
Allah akujaalie pepo shekhe wangu
Mashaallah allah akuongoze kusema haki lile nigenge la wahuni na wachawi2
Asalam aleikum ustadh mwaipopo masha Allah sema kweriii japo kuwa ni uchungu
Upo sahihi kbsa
Mashaaalla alhbdulilai
MashaAllah hakika umeongea point kubwa sana Allah akubariki
Nakupenda kwa ajili ya ALLAH sheikh mwaipopo , kwa kuongea ukweli , waambie ukweli wahadhiri wakutia watu katika ushirikina na kuunga mkono wahadhiri matapeli
Mashallah mashehe allah akuhifadhi atujalie afya njema atufungue sis waisilam
MashaAllah tabarakallah.ongea ukweli japo ni mchungu.wacha kunyeshe tujue panapo vuja.Allah akuifadhi uzidi kusema ikweli
Safi sana shekh wangu
Usema ukweli mwaipopo❤
Masha Allah tabarakallah may Allah protect you Shk Kishkii I'm umar from Uganda
Allah mjaalie mja wako maisha marefu na afya njema aaamin,nakukubali kaka yangu kstika imani ya dini ,from kenya 🇰🇪
Shehe Mwaipopo uko sahihi maashallah
Sheikh mwaipopo ni mtu mkweli sana Allah azidi kumtia nguvu
Mazinge umekaa upande mbaya na mungu akuonyeshe mwangaza na inaonekana hukufanya homework yako vizuri,
SHEIKH kishki yupo vizuri na mkweli juu ya dini ya kiislamu.
Kutoka kenya
Wahadhiri wa TANZANIA Njaa itawapeleka motoni tena milele
Huyu ndie alie gongelea msumari back 2016 ndio nikasilimu Alhamdulillah
Masha-allah ❤😂😂😂😂, sheikh