SIKILIZA KKKT WALIVYOMKATAA MTU WAO | WAKANA KUTOKUMJUA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 июн 2024
  • Askofu wa Jimbo katoliki Bukoba, Mhashamu Jovitus Mwijage amemsimamisha kazi Paroko Elipidius Rwegoshora aliyeratibu, kufadhili na kutekeleza mauaji ya Mtoto albino Asimwe kisha kunyofoa viungo vyake ikiwemo ulimi na mikono.
    Paroko huyu ameshirikiana na Baba mzazi wa Mtoto Asimwe Novart kutekeleza mauji hayo.
    Askofu ameamua kusimama na upande wa HAKI sasa sijui Kondoo mliokuwa mnamtetea paroko mtamkana na Askofu pia?
    Kondoo acheni upumbavu wa kuwatetea wachungaji wenu wanapotenda uhalifu. Mhalifu ni mhalifu tu na muuaji ni muuaji tu na mshirikina ni mshirikina tu bila kujali ni paroko au Askofu, Mtume au Nabii.
    Usimuamini yeyote! Hao wachungaji mnaowaamini sana ndio wamewageuza Kondoo wa machinjioni.
    #albinoauwawa #asimwe

Комментарии • 7

  • @AmanWilson-th5es
    @AmanWilson-th5es 5 дней назад

    Kwanza habari yenyewe inaonekana si ishu ya kanisa, Na kama ni MTU binafsi mzungumzie huyo mtu, acha kuchafua kanisa, tafadhali sana ututake radha sisi kanisa mapema sana.

  • @AmanWilson-th5es
    @AmanWilson-th5es 5 дней назад

    Tafadhali sana inashangaza umeandika KKKT ili kuchafua tu, maana habari zinaxosikika ni za katoliki, Ondoa hicho kichwa cha habari , weka kichwa kinachofanana na habari yenyewe.

  • @EmmanueliZani-ur9bi
    @EmmanueliZani-ur9bi 6 дней назад

    Mwandishi acha kuchanganya mambo, ni Kanisa katoliki, na siyo KKKT.
    Asante.

  • @MtotoHumbi
    @MtotoHumbi 6 дней назад

    Sasa kila mtu anashangaa,kwa hyo huyo ni paroko au syo paroko?na kama syo paroko kwa nn mzushe jina la utumishi kwenye tuhuma za mauaj?na huyu baba hajashawishiwa na paroko ispokuwa walipanga na hapo ukimhoji zaid baba wa mtoto mtasikia mengi baba paroko kama kweli umehusika umetukosea sana wakristu

  • @elizabethmkayula8770
    @elizabethmkayula8770 4 дня назад

    Wewe madora huwaga huelewi kabisa, hivyo vichwa vya habari vinaonesha dhahiri kumbe hujui kitu. Acha kuchafua Makanisa, hata hayakuhusu na hujui chochote kuhusu misingi ya kanisa. Hivi unaelewa maana ya KKKT ?? Hivi unaelewa maana ya KATOLIKI? Acha kupotosha watu kwa habari zako

    • @madoratv
      @madoratv  4 дня назад

      pole kama inauma

    • @Raphael51312
      @Raphael51312 8 часов назад

      ​@@madoratvww mjinga tu na hautafanikiwa kupitia RUclips, katafute ridhiki kwngne
      Unahc unaweza wafkia AYO tv na wengne