MISSO MISONDO AWAPAISHA MADENSA WAKE SIO WAZEE HAWA NI WAKISHUA SOUND CHECK MOSH CLUB

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 фев 2024
  • Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
    We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
    #entertainment #news #music #funny
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 25

  • @neeskpop
    @neeskpop 3 месяца назад +3

    Waendelee kuvaa makoti ndo siri na utamu wa mziki.❤❤😂

  • @godfreymsemwa3137
    @godfreymsemwa3137 3 месяца назад +5

    Wakivaa makoti ndo ududu

  • @MoSimba-ng1gm
    @MoSimba-ng1gm Месяц назад

    Jamaa wavae makoti bn

  • @user-rj2qv7cw5g
    @user-rj2qv7cw5g 3 месяца назад

    😂😂sijapendaaaa😢😢😢 makoti ndio bravo bravo 😢

  • @user-xb7fy4kn6t
    @user-xb7fy4kn6t 3 месяца назад

    Bila Makoti inakuwa so pw ❤❤❤

  • @user-lf2ze2xr7s
    @user-lf2ze2xr7s 3 месяца назад +1

    Mikoti ndioo utamuu

  • @user-lk2oy6lo3i
    @user-lk2oy6lo3i Месяц назад

    Vaeni makotiii halaka

  • @user-vh8cn8bi6d
    @user-vh8cn8bi6d 3 месяца назад +1

    Uyu dogo anajua kweli

  • @user-dx3fs8qj4b
    @user-dx3fs8qj4b 3 месяца назад +1

    Muwe mnavaa makoti

  • @AlexEsteli
    @AlexEsteli 2 месяца назад

    Nawa kubaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 месяца назад

    ❤❤❤❤

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 3 месяца назад

    Huyu dogo Misso anajua na anajua tena.

  • @damaspmtz1018
    @damaspmtz1018 3 месяца назад

    Wawndelee kuvaa uhalisia wao wasije wakajifanya teyali wameyamaliza

  • @edwinmwenda7772
    @edwinmwenda7772 2 месяца назад

    Kwenye comments ni kama watu hawaelewi sound check ni nini😂😂😂 Hayia! Before you perform unapaswa kukuwa familiar na stage utakayoperformia. Hauji na costumes hapo,,, unapiga ka rehearsal hivi

  • @nemesapollo4846
    @nemesapollo4846 3 месяца назад +1

    Kumbe majunk tu

  • @samyotimotheo37
    @samyotimotheo37 3 месяца назад

    Dogo msipo vaa makoti niujinga mtupu kua makin hiyo ndo kiki yako haya shauri zako

  • @BensonMpomo
    @BensonMpomo 3 месяца назад

    dogo Makoti yaendelee ndo Shelia na inabidi ifwatwe bila ivyo mtaferi m sipendi kuficha

  • @user-vj9vr7vw5f
    @user-vj9vr7vw5f 3 месяца назад

    wakivaa kisharo wanapotea km hapo wamepoteza radha

  • @mussandimbo9920
    @mussandimbo9920 3 месяца назад

    Mkijaribu kucheza bila makoti tutawakimbia fasta

  • @Adui_pro
    @Adui_pro 3 месяца назад +1

    Bila mokati hamna ishu

  • @samsonkingdom-xc8cg
    @samsonkingdom-xc8cg 3 месяца назад

    Taratibu wanapoteeza umaarufu

  • @ShakilaKhalifa-hl6ot
    @ShakilaKhalifa-hl6ot 3 месяца назад +3

    Miso hakikisha makot msiyavue maana ndo yanawapa jina kamili la miso misondo

    • @user-ug3lu2km4c
      @user-ug3lu2km4c 3 месяца назад

      Kabisaa wakishakua na izo nguo tutawaona Madance wakawaida co wamiso misondo ile inawatambulisha sana

  • @user-dw3oz3cq6l
    @user-dw3oz3cq6l 3 месяца назад +1

    😳😳😳 nilikuwa najua ni wazee duh kumbe vijan tu

  • @user-zu6vw9ur1s
    @user-zu6vw9ur1s 3 месяца назад +1

    Kama hawajavaa makot hapendez wakichez wavae makot yao ndo wanapendez