UNA NDOTO YA KUJIUNGA JESHI? TAZAMA MAZOEZI MAKALI, UKAKAMAVU WA VIJANA WAKIHITIMU JKT

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 65

  • @isaacmwailinga8921
    @isaacmwailinga8921 Год назад +8

    Mazoez sio Makali sifa morali Kunywa maji Mengi everything is possible na Kama unandoto nakushauri usikate tamaa endelea Mbele

  • @brunogerald-yw8le
    @brunogerald-yw8le Год назад +5

    Hiyo nd kaz iliyobak na ni ndoto ya vijana wengi lkn changamoto ipo kuingia kwnye system hyo

  • @felistermashamba4731
    @felistermashamba4731 Год назад +2

    Nitaikumbuka hii siku maisha yangu yote najivunia asante pia kwa wakufunzi wetu walitufundisha vyema

  • @kassimiddi8593
    @kassimiddi8593 Год назад +7

    Natamani sana ila daa naona kabisa sitoweza kufika huko ila daa hii ndio ndoto yangu

    • @papimwadikasongokasongo8212
      @papimwadikasongokasongo8212 Год назад

      huna ndoto ww ungekuwa kuwa na ndoto kweri usinge baki ungeenda hakuna kazi nzuri kama jeshi ndugu yangu

  • @congratulationmayunga3833
    @congratulationmayunga3833 Год назад +2

    Duuuuh naipendaaa mnooo bora nifiee jeshiini Yani napenda saana nilitumikie taifa langu

  • @ChristianKazimoto-d9k
    @ChristianKazimoto-d9k Год назад +1

    Foot drill mbna hukuonesha na kikundi cha pili apo hakijaonekana

  • @samuelmuro5195
    @samuelmuro5195 Год назад

    Ni rahaa kabs don't give up

  • @percysjohnsonmwapemukubwe.3705
    @percysjohnsonmwapemukubwe.3705 Год назад +2

    Lovely display of marching

  • @johariathumani5407
    @johariathumani5407 Год назад

    Dah!! Noma sana

  • @mikidadihassan8307
    @mikidadihassan8307 Год назад +5

    Yaaani Hadi sas natamani kua mlinzi wa kujenga taifa ilaaaaaaaaa daaaaaaaaa nafeli

  • @EvalistiGaudian
    @EvalistiGaudian Год назад

    Napenda xana

  • @LaizerLoserian
    @LaizerLoserian 11 месяцев назад

    very nicce

  • @adielymwarabu7040
    @adielymwarabu7040 Год назад +2

    Yaani nipo tayali muda wowote selikali yangu itakapo nihitaji!

  • @pascalkiula9474
    @pascalkiula9474 9 месяцев назад

    Mtabila my Hood😄

  • @lencers5310
    @lencers5310 Год назад

    Tunamxhukur mung tulimaliz xalam 🙏🙏 tunazid kumuomb mung awez kutufanyia weps tupate ajira🙏 naipnd kuitumikia nchi yang love tz

  • @azizihfarijala5307
    @azizihfarijala5307 Год назад

    sijapenda viongozi wapokea salam wamekaa hii ni zarau kubwa kinidhamu

  • @BarackKungu
    @BarackKungu Год назад

    Hiyo ndo kaz hata mm natamani kujiunga na jeshi ikitokea nimejiunga nitaambana na wezangu kujenga nguvu moj na lenye ushikamano

  • @ebenezernnko8251
    @ebenezernnko8251 Год назад +1

    Wananikumbusha mbali sana

  • @maniliki
    @maniliki Год назад +2

    Nataka kujiunga lini nafasi inatoka

    • @maniliki
      @maniliki Год назад

      Lin nafasi inatoka

  • @Mickidadlungoma
    @Mickidadlungoma 3 дня назад

    ndoto ninayo vigezo vinakizi lakini nafasi du

  • @alphanmgalega929
    @alphanmgalega929 Год назад

    Mmmm!!🙄🤭 Huo mpango Sina kabsa

  • @hamza_abeid
    @hamza_abeid Год назад

    Aliekuwa op Samia Suluhu mujibu wa sheria mikono juu😂✋

  • @yohanekopilato-wn3lo
    @yohanekopilato-wn3lo Год назад +1

    Na ndoto hizo Ila sasaa balaaa lipooo

  • @sharifumgwassa-oq3uj
    @sharifumgwassa-oq3uj Год назад

    Daaah nmekumbuka miaka kadhaa nyuma. Nilikua mtabila mwaka 2015 na sisi ndo tulikua wakwanza kufanya mafunzo ya kujitolea op kikwete. Daaah

  • @mkamaboy2016
    @mkamaboy2016 Год назад

    Gadi ya mwisho ni Nanga mstari wa MBELE

  • @ZashaoShaban-gh2yj
    @ZashaoShaban-gh2yj 9 месяцев назад

    Na mm napenda jmn

  • @wanomambadi17
    @wanomambadi17 Год назад

    Hta uniamshe usingz uniulize nn ndoto yko nitakwambia natak kuwa mjeshi kbx

  • @williammpina2706
    @williammpina2706 Год назад

    Amnaah kituu

  • @williammpina2706
    @williammpina2706 Год назад

    Boraa uendeeh ukalime utavunaa mahindi lakn apah utavuna sifa ambazoh hazinaah mcng😂😂😂 alikufaa mzalendo wa nchi

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 Год назад

    Unapewa mafunzo kama haya afu unaambiwa ukajiari APA si kwenda kuwa mhalifu ?muwape ajira vijana wawatu na si kuwapa mafunzo ya kikatili afu mseme wakajitaftie ajira

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 Год назад

    Mambo zangu hizi wayback

  • @wizzyjax8000
    @wizzyjax8000 Год назад

    Jkt mtabila😂

  • @yakoboesenga5754
    @yakoboesenga5754 Год назад

    Madem wamejazana apo jaribu kushusha mistati utakula mbili za uso na uchanganikiwe

  • @wizzyjax8000
    @wizzyjax8000 Год назад

    Dah😂

  • @YahyaJuma-si3fu
    @YahyaJuma-si3fu Год назад

    Dah na mm natak ila vigezo vya kujiunga ndo vigumu

  • @msafirimiracle6613
    @msafirimiracle6613 Год назад

    Mazoezi makali nduo yako wapi?hii nchi Ina Mambo hii?😁hivi nchi yetu sio television ya comedy kweli?

  • @nurdininanjota4056
    @nurdininanjota4056 Год назад

    Eeh my God ninyanyue na mimi pia na wale wote wenye maono kama Mimi kutimiza ndoto tulizokuwa nazo napenda sana nami nipate nafasi Kama hii. No retreat No slnder🙏🇹🇿.

  • @babumkusa
    @babumkusa Год назад +1

    😂😂😂 singee bwan

  • @AshaHassan-tt6jc
    @AshaHassan-tt6jc Год назад

    Shida nafasi

  • @GalaxyA-yw7eg
    @GalaxyA-yw7eg Год назад

    Nimemisi ezi hizo mafinga

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Год назад

    INAFURAHISHA KWA KWELI NAKUMBUKA GWALIDE KAMA HILI NILILICHEZA MWAKA 1975 KWENYE KILELE CHA MIAKA ISHIRINI YA TANU. NIKIWA NA KIKOSI CHA MWONGOZO.

  • @wardaswaib
    @wardaswaib Год назад

    Nafasi za kujiunga na jeshi zishatoka,?

    • @maftuhihassan3114
      @maftuhihassan3114 Год назад +1

      Zishatangazwa fanya chapu usijepitwa

    • @wardaswaib
      @wardaswaib Год назад

      @@maftuhihassan3114 kweli

    • @maftuhihassan3114
      @maftuhihassan3114 Год назад

      Nakwambiya fanya fast nenda selikali za mitaa ukauliziye wakizinguwa nenda wilayani

    • @maftuhihassan3114
      @maftuhihassan3114 Год назад

      Anza na yutumbu sachi utaona za j3 j4 zawiki iliyopita

  • @nattymussah7144
    @nattymussah7144 Год назад

    Safii Saaana

  • @mkamaboy2016
    @mkamaboy2016 Год назад

    Karne hii Bado tunacheza singe aisee kazi 🤣🤣🤣

    • @damxon3013
      @damxon3013 Год назад

      Singe ndo nn?

    • @mkamaboy2016
      @mkamaboy2016 Год назад

      @@damxon3013
      Zoezi Hilo la mwisho linacheza hapo wamejifunika na majini

  • @mishikikoti2948
    @mishikikoti2948 Год назад

    Kwa ukaka mavu huo mtu anapata wapi ujasiri wa kuingiziwa dudu matakoni

  • @ChristianKazimoto-d9k
    @ChristianKazimoto-d9k Год назад

    Foot drill mbna hukuonesha na kikundi cha pili apo hakijaonekana

  • @YahyaJuma-si3fu
    @YahyaJuma-si3fu Год назад

    Dah na mm natak ila vigezo vya kujiunga ndo vigumu