Je, muungano wa Azimio na OKA utaweza kusambaratisha azma ya Ruto? | NTV Sasa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 окт 2024

Комментарии • 117

  • @lugomicheal6718
    @lugomicheal6718 2 года назад +2

    Baba ndaniii, ndaniiiii kabxa

  • @ezekiel2034
    @ezekiel2034 2 года назад +24

    Good this guy is speaking the true Ruto will winne 100 percent

  • @humphreykarugaa4597
    @humphreykarugaa4597 2 года назад +12

    How?watamweza kweli hawawezi

  • @chandalia1266
    @chandalia1266 2 года назад

    Thanks ktn kwa kazi nzuri mnafanya

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 2 года назад +7

    Ataweza, Raila tosha

  • @yemiliyanowachira406
    @yemiliyanowachira406 2 года назад +15

    As for now uhuru and kalonzo they have no value

  • @lugomicheal6718
    @lugomicheal6718 2 года назад +2

    Baba always is right,

  • @lugomicheal6718
    @lugomicheal6718 2 года назад +2

    The 5th n baba mpende msipende wangwana wa kupiga ndege mawe

  • @nyanseraalbert6806
    @nyanseraalbert6806 2 года назад +3

    Raila is the President of Kenya.

  • @josephndazi5863
    @josephndazi5863 2 года назад +3

    We dada how can a poweful coalition lead to the raising the economy?

  • @henlay8240
    @henlay8240 2 года назад

    Yes

  • @albertmutinda5590
    @albertmutinda5590 2 года назад +4

    Ruto hako sawa

  • @janebrenner6760
    @janebrenner6760 2 года назад +8

    U uda my part

  • @franklykingston9064
    @franklykingston9064 2 года назад +2

    Number 3 umeongea ukweli

  • @NobleHomeHealthCarePortland
    @NobleHomeHealthCarePortland 2 года назад +3

    The answer is? Yes yes and yes Ruto will go to his Sugoi home asubuhi na mapema

  • @maliamary2398
    @maliamary2398 2 года назад +2

    Lakini there was a time you could not sell ruto in Mt kenya aither because alichoma wakikuyu kiambaa church? Uhuru dio alipeleka ruto mulima...

  • @chandalia1266
    @chandalia1266 2 года назад

    Ruto ako mbele atawakiungana wote

  • @bernardkariuki2615
    @bernardkariuki2615 2 года назад +1

    Hakuna mtu ataweza rutooooo

  • @deniskibagendi1898
    @deniskibagendi1898 2 года назад

    Ruto ndani

  • @ezekiel2034
    @ezekiel2034 2 года назад +4

    Muranga ni wale wanaramba uhuru matako

  • @richardkyui9380
    @richardkyui9380 2 года назад +6

    Kuunza azimio Mt Kenya ni kama kuunza guruwe msikitini

    • @254alright2
      @254alright2 2 года назад

      more of a stereotype.

    • @hamisimwagarashi9501
      @hamisimwagarashi9501 2 года назад

      Hahahahahahaaaaaa..

    • @juliamongina6084
      @juliamongina6084 2 года назад

      Kyui Raila has won several times without mt Kenya votes. You are new in politics so it's not your mistake on this one.

  • @salmamwangi3497
    @salmamwangi3497 2 года назад

    hawatuezi ruto kwa neema ya mungu utashinda

  • @carolnderituofficial8655
    @carolnderituofficial8655 2 года назад +2

    Uhuru anampigia debe ruto lakini hajui....

  • @jiral_obeasy
    @jiral_obeasy 2 года назад +6

    Ruto is there to lead

  • @mercylynemusundi580
    @mercylynemusundi580 2 года назад +2

    Hio wabute mjinga sana

  • @wabannah9009
    @wabannah9009 2 года назад +2

    My Fellow Kenyans:"Ruto deserves Nothing under the sun including "Air/Food/water/shelter" considering what he did in 2007/08, Kiambaa church, Eldoret Massacre where Innocent Kikuyu Women/Children were Roasted Following Ruto's orders and the Teargassing of Langata Road Primary school kids who were Demonstrating against Ruto grabbing their playground!!!(Nawasihi Tusindanganyane) Yaani (Ndamuthaitha Tutige Kuhenania)"!!!!!.

  • @jackywanyonyi7196
    @jackywanyonyi7196 2 года назад

    Big no

  • @justinngaithia6946
    @justinngaithia6946 2 года назад

    Ruto is unstoppable.

  • @wabannah9009
    @wabannah9009 2 года назад +1

    Wazalendo::2022 Presidency already gone with Raila the 5th(No to Ruto Presidency Liwe Liwalo)"!!!.

  • @jamesnganga1418
    @jamesnganga1418 2 года назад +1

    Mt Kenya is locked mlima ruto alipanda kitambo Kikuyu won't betray ruto Uhuru amalize aende nyumbani

    • @wanjikuchelsea7587
      @wanjikuchelsea7587 2 года назад

      Azimio damu

    • @jamesnganga1418
      @jamesnganga1418 2 года назад

      @@wanjikuchelsea7587 uhurao watanjua hawanjui wataabia watu nini Uhuru amalize aende nyumbani

  • @ezekiel2034
    @ezekiel2034 2 года назад +4

    Azimio la umpuzi na kuzimia na wanzimu

  • @nimonim6932
    @nimonim6932 2 года назад +1

    Raila Mt. Kenya ni kaa kuuza nguruwe kwa msikiti

  • @francisgitere7071
    @francisgitere7071 2 года назад

    Ruto is with God

  • @ezekiel2034
    @ezekiel2034 2 года назад +3

    Nonsense

  • @professorfrancismitulya5700
    @professorfrancismitulya5700 2 года назад

    Raila should be advised to concentrate on other areas of Kenya. Kikuyus have already decided.

  • @lydiakinyua627
    @lydiakinyua627 2 года назад

    Form ni UDA

  • @momfive8847
    @momfive8847 2 года назад +4

    In everything they are doing, our deputy president william will benefit..Ooh my God.

  • @piusnyaboga903
    @piusnyaboga903 2 года назад +2

    Akuna kitu hapo Gideon ako pekee yake

  • @juliamongina6084
    @juliamongina6084 2 года назад +3

    Raila won 2017 elections when it was uhuruto how come now? Raila has taken this one like yesterday

  • @kagirimoses3202
    @kagirimoses3202 2 года назад

    Hawawezi nyandarua

  • @priscillamugambi9203
    @priscillamugambi9203 2 года назад

    No way. Ruto our 5th God willing.

  • @mururuantonyburiu4792
    @mururuantonyburiu4792 2 года назад

    Iwezekani kamwe Raila kuingia

  • @stanleyb5089
    @stanleyb5089 2 года назад +10

    Wajinga nyinyi ongeeni kuhusu food prices,uhuru ameangusha economy ya kenya

  • @sibitaremorgan6134
    @sibitaremorgan6134 2 года назад +2

    Huyo number 3 eti Laila hawezi uzika Mt kenya but I think raila anauzika Mt kenya,,,,,,, and who is Laila in Kenyan politics?

  • @fly69jamual62
    @fly69jamual62 2 года назад

    OKA has even weakened the AZIMIO, Kalonzo has complicated everything with his demands and now parties are not speaking with one voice!

  • @josphatwachira3922
    @josphatwachira3922 2 года назад +4

    Ruto tosha

  • @bernardkariuki2615
    @bernardkariuki2615 2 года назад

    Wacheni ujinga hapo hakuna fareness

  • @pammora292
    @pammora292 2 года назад +1

    Nope

  • @conradmagaju2904
    @conradmagaju2904 2 года назад

    It's when we are on top of things that our destroyer wages total destruction.

  • @thedukeofafrica9565
    @thedukeofafrica9565 2 года назад

    Wacha kutafuta wa azimio kutudanganya hapa

  • @murunchaolendere4983
    @murunchaolendere4983 2 года назад

    Azimio na Oka hawana ushawishi hata kidogo

  • @bernardkariuki2615
    @bernardkariuki2615 2 года назад

    Huwa mnahoji watu wa azimio

  • @raelmoraa3936
    @raelmoraa3936 2 года назад +5

    Kijana kuna maali umepita...get sober and do deep analysis shenzi

    • @ngahuson5716
      @ngahuson5716 2 года назад

      Moraa, na siungeitwa mûraa....Ruto hadi ikuru. Uhuru and Raila hawana umaluvu wowote.

  • @anwarambar6141
    @anwarambar6141 2 года назад

    Baba the 5th, hili halitaki ushindani

  • @mbinyasammy8829
    @mbinyasammy8829 2 года назад

    Kama ajenda ni matusi kwa boss wako, uhuuru,raila na kalonzo, my fredndanganya vijana wale wanafuta bangi na sigara na makali ya soo

  • @charleskamau645
    @charleskamau645 7 месяцев назад

    Im watching from America Texas na nimetoka Muranga. Vile huyo kijana amesema ni kweli. Hawa wakiteua Marther Karua Ruto atakuwa hatarini na kwa sababu hawampendi sababu ni mkikuyu basi wasimteue sababu tumesema. Wacha wateule kutoka kabila ingine ndio Ruto aendelee mpaka 2032. Si Raila aliteua Marther Karua kuwa Runningmate yake? Bona sasa wakaenda kwa wengine? Ni kuonyesha ni Uhuru alimpembeleza Raila ateue Marther Karua wakati huo.

  • @ggman6939
    @ggman6939 2 года назад +2

    Huyu niwa wapi gakunia

  • @davidmwanziu2350
    @davidmwanziu2350 2 года назад

    Kama Kuna mtu haongei shida ya mwananch Ni uda Na Ruto , Kila saa popote Yule mtu wa vitendawili, Hawana ajenda . Hio ndio kujali mwananchi wa kawida? Pili hata loft mitambo aonekana kuengemea uda.

  • @danielssanky388
    @danielssanky388 2 года назад

    Yani hamna kinacho eza mtishia Ruto pia jueni kumuuza raila Mt Kenya nikama kuuza ngurue msikitini

  • @pamelaofulla7417
    @pamelaofulla7417 2 года назад +4

    Ruto is the DP, they promised to give jobs and reduce the prices of unga to ksh 60per pkt. What happened? He is part and parcel of all what is happening in Kenya now

  • @terramurimi6870
    @terramurimi6870 2 года назад +1

    But it's funny their ganging up for ruto

  • @collinswanjala12
    @collinswanjala12 2 года назад

    Ruto the 5th president whether you like it or not

  • @ezekiel2034
    @ezekiel2034 2 года назад +5

    Hawenzi kitu tuko ngangari na Rutoooooooo

  • @linetkerubo7353
    @linetkerubo7353 2 года назад

    Hiyo n ujinga munatwambia ndo tupogie baba kura mumewawekapo kando Kwa nn kura n Kwa Ruto toshaaaaaaaa nonsense 🤯🤯

  • @gracemwangi4268
    @gracemwangi4268 2 года назад

    Azimio ni bure haina mawimbi.

  • @bernardkariuki2615
    @bernardkariuki2615 2 года назад

    Mungano wa azimio na Kenya kwanza ni kama usiku na mchana,ruto the 5th

  • @jerrymcbride2230
    @jerrymcbride2230 2 года назад

    Na unajuaje awawezi yumbisha????????

  • @kimennjeri5248
    @kimennjeri5248 2 года назад +1

    Ruto kabisa

  • @guledgarasow7943
    @guledgarasow7943 2 года назад

    Sahawu paka waipe

  • @KIRAGUJOHN
    @KIRAGUJOHN 2 года назад +7

    Kama sio Baba tungekua tunafuata nyayo, kama sio Baba tungekua bila ugatuzi, kama sio Baba tungekua na ile constitution mzee ya imperial presidency, kama sio baba mlima ungekua bado umetengana (Kiambu, Neyri, Muranga). Sasa ile kazi imebaki kwa baba ni kutumalizia corruption baaaaas!!

  • @henrycherutich6260
    @henrycherutich6260 2 года назад

    U pple,,ruto ni enigma,, hizo zote ni porojo,,ruto ako na wananchi

  • @khadijabintmohammadbintmoh8026
    @khadijabintmohammadbintmoh8026 2 года назад

    Baba toshaa

  • @ngisian
    @ngisian 2 года назад +1

    NONSENSE question there. Base your question on cost of UNGA.

  • @damianokaaria8715
    @damianokaaria8715 2 года назад

    Kalonzo has no numbers to offer to azimio He has only moved with his neligible die hards of his.That goes too with Karua.The two are oppotunionists!

    • @richardkyui9380
      @richardkyui9380 2 года назад

      I come from ukambani and kalonzo has nothing to offer to azimio this round

  • @MohamedOmar-wh4zc
    @MohamedOmar-wh4zc 2 года назад

    Why is NTV interviewing strong hold for UDA? Kenya is not only Embu and rift Valley.

    • @MohamedOmar-wh4zc
      @MohamedOmar-wh4zc 2 года назад

      @CHEROTICH NELLY You should question Citizen TV and demand quality reporting, don't ask me.

  • @catherinekilonzo1075
    @catherinekilonzo1075 2 года назад

    Oka as no voters

  • @rosealila4468
    @rosealila4468 2 года назад +1

    Why don't you interview people from all over Kenya? Central twins ktn tv are you people campaigning for ruto

  • @applekim2936
    @applekim2936 2 года назад +2

    Laila hawezi toboa 😂😂

  • @newchemchem567
    @newchemchem567 2 года назад +1

    Yaani kumuza raila ni sawa nguruwe msikitini hakubaliki hata kwenye familia yake mwenyewe asitumalizie mb zetu kwaherini,

  • @mbinyasammy8829
    @mbinyasammy8829 2 года назад

    We are tired of you, ata wakatigani hakuna mtu ata mmoja anaeza karibia raila kwa siasa plz. Na tuko hapa tuone mwisho wako

  • @lashielresh3547
    @lashielresh3547 2 года назад

    Conflict Conflict all we want is peace no wonder I'll never vote

  • @imaniwambui1787
    @imaniwambui1787 2 года назад

    Nonsense go and ask Russia about the gas . Think outside the box. Uhuru has nothing to do with gas .food commodities are expensive every where

  • @peterbergin4184
    @peterbergin4184 2 года назад +1

    Wewe ni murevi.....

    • @ruthwambui7532
      @ruthwambui7532 2 года назад

      Huko si muranga ...sijui wako wapi hats majina zao,,,wacha kutuchezea akili.

  • @catherinekilonzo1075
    @catherinekilonzo1075 2 года назад

    Raila can't be president,remember 1982,and 2007 ,2008.,any body who was there.

  • @olivernollyke
    @olivernollyke 2 года назад

    Walai this is planned jameni it can be seen in you guys

  • @jacoblok9752
    @jacoblok9752 2 года назад

    Muungano wa raila na rais utamfanya Ruto kwendu juu zaidi😂😂😂

  • @stanleyb5089
    @stanleyb5089 2 года назад +6

    Wajinga nyinyi ongeeni kuhusu food prices,uhuru ameangusha economy ya kenya

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 2 года назад +2

      Acha kulalamika sana bila kufikiria. Uchumi umeanguka ulimwengu mzima na uchumi umeangushwa na corona

    • @stanleyb5089
      @stanleyb5089 2 года назад +1

      Na pesa ya kemsa ilikuliwa na corona unayotanja acha ufala man,uhuru government na project wake raila have failed Kenyans

    • @pamelaofulla7417
      @pamelaofulla7417 2 года назад +1

      @@stanleyb5089 nonsense. Project ni nani?

    • @george1528
      @george1528 2 года назад +1

      @@stanleyb5089 tupatie pesa ya Kimwarer tukupatie za Kemsa.Fanya haraka.

  • @francisgitahi9783
    @francisgitahi9783 2 года назад

    Ruto tosha