TUNDU LISSU AHAMIA CCM KWA SIRI | KIGAILA AFICHUA SIRI ZOTE ZA LISSU NA NCHIMBI l AMETUKATAA CHADEMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 12

  • @saliminyusuph6122
    @saliminyusuph6122 4 дня назад +2

    Ccm inaongoza kuwa na wanachama wengi. Ila chadema inawapenzi wengi haswa mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, manyara, Mbeya. Na Mara.

  • @why-ir8zl
    @why-ir8zl 4 дня назад +1

    Unazungumzia kanda ya pwani... lkn mfano unatolea wa Kilindi 😅😅😅

  • @DicksonAmbilikile
    @DicksonAmbilikile День назад +1

    Hao wanachama milioni saba hewa mbona ni uongo ulio komaa

  • @DicksonAmbilikile
    @DicksonAmbilikile День назад +1

    Mpata pakusemea kuwa wameenguliwa jibu ni kwamba makada wenu kidogo shule ipo mbali pili wapeni semina kabra ya kujaza fomu lingine hawajui kuandika jina la chama

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza День назад +1

    Mbona waandishi mnakuwa waongo? Kichwa cha habari na yaliyomo ni tofauti kubwa. Mmhh yangu macho na masikio

    • @Rai_online_tv
      @Rai_online_tv  День назад +1

      Mzee Usitumie Hisia kutafakari mambo Hatuwezi kuongopa maana hatutapata lolote

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 2 дня назад +1

    Muache Lissu ahamie popote atakapoona panamfaa.Tunahitaji watu wenye kekima busara na sio ugeugeu na porojo nyingi.Hata wewe ni CCM ubavu mmoja.

  • @DicksonAmbilikile
    @DicksonAmbilikile День назад +1

    Tofautisha mashabiki na wachama wewe kichwa kikubwa lakini akina akili

  • @ShabaniNgali
    @ShabaniNgali 5 дней назад

    Vyama vya msimu

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 5 дней назад +1

    Acha uwongo huwezi kuishinda CCM kwa wingi wa wanachama .Hakuna lolote maneno matupu hayo

    • @Kanyawela
      @Kanyawela 5 дней назад +1

      Inawezeka watu wapenda chama ila sio wanachama

  • @fidelludemwa7223
    @fidelludemwa7223 5 дней назад

    Huyu nikichaa kusema cdm et wanafikia 7m