Sam bass awesome🔥. Dada Dorcas hongera, unafanya kitu kizuri, ila ushauri wangu, natamani sana ufanye utafiti wa kutosha na kufahamu vizuri muziki, na maneno ya kitaalamu ya kimuziki, ili inapotokea unafanya interview na musian inakupa uwanda mpana wa kuuliza maswali na maswali yanakua unique na yanayoendana na music. Isiwe tu maswali ya kimaisha, Eg huyo ni sam bass, kwann Bass guitar, kwann ni 6 string bass na sio 4 au 5, genre gani ya music he loves to play, seben, rumba, south african nk. Hii itasaidia sana vijana wenye ndoto ya kufanya music kama yeye, kumuelewa zaidi.
Huyuuu jamaa anajuaaa sanaa🔥
Anajua jamaa🎸🎸🔥
🔥🔥🔥
Tumsubiri gwamaka mwakalinga , mwingine Ni bassist smoshally
🔥 🔥 🔥
Next time muwa interview ma drummers nao tuwasikie wakina Andrew, baraka ngowi, hansi
Sam bass awesome🔥.
Dada Dorcas hongera, unafanya kitu kizuri, ila ushauri wangu, natamani sana ufanye utafiti wa kutosha na kufahamu vizuri muziki, na maneno ya kitaalamu ya kimuziki, ili inapotokea unafanya interview na musian inakupa uwanda mpana wa kuuliza maswali na maswali yanakua unique na yanayoendana na music. Isiwe tu maswali ya kimaisha, Eg huyo ni sam bass, kwann Bass guitar, kwann ni 6 string bass na sio 4 au 5, genre gani ya music he loves to play, seben, rumba, south african nk. Hii itasaidia sana vijana wenye ndoto ya kufanya music kama yeye, kumuelewa zaidi.
Tafadhali wahoji wapiga ngoma(drum na percassions) akiwemo Erustus, Andrew Chitete na wengine wengi
Pamoja na Frank wa percussion huyo bwana hatari Sana huku Kenya 🇰🇪 Moore love
Sam bass 🎸🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌bro broooo brooooo ❤
Pia wengine MDs kina bro samyonah
Sam kaka mchele kitumbo 😂😂 nacheka ila I know bro , "a lot of people always see the victory but they don't know the story"....
Naomba mumuite quillian Kaka ake masanja producer atuambie alianza lini mzik
Yessir 🔥✅
Mentor ❤️🫂
🎉