KUKURU KAKARA ULIZA UJIBIWE WAPOJIBIWA WAKASILIMU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 ноя 2024

Комментарии • 12

  • @RAMATHANI-eu5dk
    @RAMATHANI-eu5dk Месяц назад

    Mashallah

  • @josemu870
    @josemu870 Месяц назад

    Allahamdhulla kwa neema ya uislamu

  • @MohamedkheirMakuti
    @MohamedkheirMakuti Месяц назад

    Hapa ni street gani

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p Месяц назад

    Ma sha Allah tabaraka Rahman.waliona haki nakufuata

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni Месяц назад

    Alhamdulillah watu wameiona haki na wanaifata

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 Месяц назад

    mashallah ❤

  • @sweetheart2548
    @sweetheart2548 Месяц назад

    Mash Allah

  • @mobutu3884
    @mobutu3884 Месяц назад

    Walimu wa kiislam wakibanwa wapo tayari kuipinga quran huu ni msiba mzito, nyie endeleeni kuonea wasioijua quran, na hapo mmezungukwa na watu kazi yao kucheka utadhan wapo wanaangalia comedy😂 yani wao kila wanaloambia wanakubali hata kuhoji hawawezi utasema misukule 😂 Jose kakupa aya zilizo wazi mnabisha, kwa hiyo walioitafsiri quran walikosea ila nyie ndio mnajua kuliko wao😂 na ndio maana huwa tunasema uongo mwingi katika uislam umefichwa katika kiarabu ndio maana mtu akibanwa anadanganya kiarabu hakisemi hivyo kwa sababu anajua wengi hawajui kiarabu😂 wakati kilichotafsiriwa ni sahihi
    Without lie islam die.😂

    • @ustadhfarouq7729
      @ustadhfarouq7729 Месяц назад

      Kasome biblia kwanza mpaka uihifadhi yote kama vile Waislam huhifadhi Qur'an hvi nikuulize ww kati ya mtoto anayeenda kusoma angali mdogo 4yrs na ww unayesoma biblia ukiwa na ndevu zako hvi nani anaeza mkuwa mjuzi na mwemye ilmu...enda usome biblia kwanza Waislam hatupelekwi kama kondoo kila muislam ni msomi kwa kipimo chake kwa urefu wa ilmu yake hata kijana wa 10yrs wakiislam huezi mpanga na kijana wa kikristo kwa masomo ya dini...leo hii ww uwe wajua waifahamu zaidi Qur'an kuliko Waislam enda udanganye kanisani sio mbele ya waislam QUR'AN iko ktka vifua vya waislam huezi ongeza uwongo hapo.... lugha original ni Arabic na ipo kwa hyo ww tafsiri utakavyo lkn original iko na haifutiki...soma Bible uihifadhi kama waislam maana zikachomwa zote leo dunia nzima hamuezi ziandika tena milele😢

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 Месяц назад

      Hiyo ni tabia ya wakristo sio ya waislamu

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 Месяц назад

      @@nassorsharifu9837 Mfano ndio kama huu video ipo wazi ila unabisha 🤣🤣 yani nyie kazi yenu ni kupinga mambo yaliyo wazi hata kwenye quran huwa mnageuza tafsiri hivyohivyo kama unavyokataa sasa hivi na huku unaona dah😀

    • @HusseinAli-fx1ld
      @HusseinAli-fx1ld Месяц назад

      The fastest growing religion on earth 😊