SERIKALI YAWEKA MKAKATI KUBORESHA SEKTA YA ELIMU MKOANI TABORA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024
  • Mkoa wa tabora umejiwekea mkakati wa kufanya maboresho kwenye sekta ya elimu kwa mwaka unaokuja wa 2025 ili kuongeza ufaulu.
    Akizungumza katika mkutano wa umoja wa walimu wakuu wa shule za msingi mkoa wa tabora TAPSHA, ambao umewakutanisha walimu wakuu wa shule za msingi zaidi ya mia tisa kutoka halmashauri nane za mkoa wa tabora.,afisa elimu mkoa wa tabora upendo rweyemamu amebainisha mikakati hiyo.

Комментарии •