winn ana moyo wa pekee wanawake wengi atutaki ujinga yn mwanaume anakuletea mwanamke ndani wewe unakaa kmy tuu mwanaume pakupi aki ya ndoa miezi 6 wewe upo tuu yn majaribu ni mtaji wa kuongeza imani
Ni bora tuwe Single kwa sababu mume wangu akifanya hivyo kuleta mchepuko wake nyumbani tunapoishi jamani kuna kitu kinaitwa TALAKA. 😊 kwa kifupi ni T.A.L.A.K.A🎉
Wifi huyu jamani ni hatari kwa ndoa ya kaka yake,tena atalipia maovu yake atakapoolewa au atakuwa anaolewa na kuteswa na mawifi zake nakuachika maisha yake yote
Wazinzi na waharibu ndoa za watu wanatumia madawa ya kuroga ndiyo maana huwa hayadumu itafika muda yanaisha tu hata iweje,hakuna ndoa rahisi kila moja inapitia changamoto tofauti tofauti
@@avelinabaluhya2804 kweli mama na unakuta mchepuko anafanya juu chini kuharibu kwa kujionyesha na kujitaganza kwa kila mtu alimrandi mke wa ndoa ajulìkane na hao hao mchepuko ndiy namba moja kwenda kuronga☺️
❤❤

Hayoko kama winn
Woow ! I'm no.1 thanks Bro
Mimi nipo hapa bilashaka
Winner mungu kwa roho likini Dada wa mume ndiyo mbaya kama yeye hakefanyewa hivyo hakesikiye vzuri malipo ni hapa Duniani asente Sana Lucas lumbasi
No2
Nice simuliz ❤❤
Wow nice ❤❤❤❤
Mimi kama winn siwezi ninaroho ndogo inguwa vurugu kwenda mbere mamukwe wa winn Mungu amuripe heri Lukasi 💕💕💕💕💕💕💕💕💕
Mimi wakanza mnipe komet zenu
Asante. Kaka lumbas
No 3 waah Leo nme wahi
Nimependezwa na winn na mavyaa yke
Be blessed AMEN AMEN
Mungu ni wetu sote
Ni bora tuwe Single kwa sababu mume wangu akifanya hivyo kuleta mchepuko wake nyumbani tunapoishi jamani kuna kitu kinaitwa TALAKA. 😊 kwa kifupi ni T.A.L.A.K.A🎉
Kusema kweli heri nipokee kichapo kutoka kwake jamni ila madharau mengine asinifanyie.pia mm Hua najifanya mjinga tuh juu inabindi😁😁
👌👌👌👌
Jamani mbona pambe mama mkwe wa winne mungu amlinde
Mtu kama winn ayupo ulimwengu uu
Mimi apa nipo MTU kama wini😂
❤️❤️❤️
Wifi huyu jamani ni hatari kwa ndoa ya kaka yake,tena atalipia maovu yake atakapoolewa au atakuwa anaolewa na kuteswa na mawifi zake nakuachika maisha yake yote
❤❤❤❤❤
Winn kanikosha
Lakini sitafuata mwanamke mwenzangu tuvutane mawigi kisa nimuonyeshe mwanaume nikiasi gni nampenda 😅kama mume mwenyewe ananipenda bsi hageenda kwa mke mwenzangu au bsi
Wazinzi na waharibu ndoa za watu wanatumia madawa ya kuroga ndiyo maana huwa hayadumu itafika muda yanaisha tu hata iweje,hakuna ndoa rahisi kila moja inapitia changamoto tofauti tofauti
@@avelinabaluhya2804 kweli mama na unakuta mchepuko anafanya juu chini kuharibu kwa kujionyesha na kujitaganza kwa kila mtu alimrandi mke wa ndoa ajulìkane na hao hao mchepuko ndiy namba moja kwenda kuronga☺️
@@avelinabaluhya2804 000pp0plllpplplp00000
Hahaha jamani bdotupo mmi hapa napikia warabu
❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤🎉
❤❤❤❤