Watoto wa kiislamu lkn wamepoteza muelekeo mpaka inakuwa mtihani jamani, Allah atunusuru cc na vizazi vyetu maana......ama kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa.
Ya, chuchu Hans nilisikia kusa Kwa ana watoto wengine kama wawil Sijui vile kabla hajazaa na Rey kipind kile nilikuwa nasikia alikuwa anakaa kalibu na uwanja wa ndege
Tema mate chin hakuna anaependa itokee hvyo na akuna anaejua mbere jmn kuzaa kila mtoto na babake sio kwamba mwanamke maraya hpana ila tu ni changamoto zinatokea ikasema labda hyu kumbe mtu analake moyon
Nimekuwa wakwanza naomben like zenu
Ambao tulikuwa tunajua Ana mtoto mmoja na leo tumejua wako 3 tujuane
Nipo
Mi nilijua ana wawili kumbe watatu
Nimekuwa wa pili naombeni coment zenu😒😒😆
Chuchu daima nakupenda wew bidada
Hongera sn chuchu hans mm nilijuwa una mtt 1 tu ambae ulizaa na ley
Sister Chuchu Mimi naitaji ivyo vikoti ulichovaa ww Niko Dar jmn
Nakupenda chuchu😍
Hongela sana chuchu hasi umefaya vizuli sana kuwekeza kwetu
This is my favorite actres
Hongera Sana kipenzi Ni vzr Sana kuwekeza nyumbani
Hongera chch
Hongera sana na hela unayo mpnz wengine tukiandika mpk vinafutika
Hongera sana
Uyu mdada huwa nampenda hatariiii 😋😋😋
Ulijiendea tanga mwaya!! Hongera saaana
Tujuane watu wa Tanga nakupenda sana home💕
Hata mm
Nimefurah kukujua my dear
Nimefurah kukujua my dear
Ht mm
Waooooow tupo wengi
Mashallah
Ooh my jamn mtt wa 4m5 jamn nimependa
Safi sana
Hongera
Chuchu nakupenda sana
Iiiiii acheni roho mbaya nyie chuchu mzuri jmn tena mzuri mashallah
Kweli Hata Madenda Yamenitoka Sijuwi Atanikubali???
@@salimsaid7200 😁😅usijali atakukubal
@@happypa2027 🥰🥰🥰👍👍👍
Awesome 👌
Nakupenda bureeee my dadaaaa
Parabéns
Ongera
We mrembo saana
Woow kumbe unawatto wakubwa
Mashaallah hongera
Kinacho niuma kwenu watoto wa kiislam kuacha dini na kufuata mila nyingine poleni sana
Hafu mwisho wa siku anakuja kua diamond akimjari chunchu watu wataanza kufunua midomo yao hawajuwi saivi chunchu anahangaika kiasi gani
Dada wa busara zake nakupenda buree
Chuchu kanenepa nilikuwa nampendaga
Tanga Raha 💓
Ok
We chuchu una mtoto wa form 5 ulimzaa mwaka gani?? 🤔
Eeh Mimi najua Mimi tu, kmbe tuko wengi.
Tumeingiliw ten namdudu mke waally anampend itakuwaje sevda
Jamani Rey kapoteza karembo kama ichi kweli mwenye macho daima anakua kipofu wa moyo
wameachana kwni
Wa tatu!
Wanaume wanauzi mwacheni kabisa mama dangote ale raha mana kasota namtoyo wake hakuna mtu aliye msaidia
Kwel kabisa
Watatu
Clarice 👅
Arekiba
Mpe hi Dada nimemiss Sana
Sioburewewe
Mtoto wangu ni msichana ni mzuri yaani ni mkali mimi pia ananipita nani kakwambia wewe mzuri??
😂😆🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Weee chuchu mzuri bwana asikwambie mtu
wivu uwooo
mzuri tu acha roho mbaya kwan mbaya mzur sana
Mimi Nimemwambia
Nimekua wa tatu, ujinga mtupu. 😏😏😏
Huyo mtoto hajanza skuli na huo mnyoyo?
Nina wasiwasi na vunja bei 🤔
Watoto wa kiislamu lkn wamepoteza muelekeo mpaka inakuwa mtihani jamani, Allah atunusuru cc na vizazi vyetu maana......ama kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa.
Munajifanya waisiramu kumbe hamuna rorote kwani amefanya zambi kujitafutia maisha au mbona wake na mabinti zenu Dada zenu wanajisitiri adi nekabu kumbe Maraya wachafu musiwe munajiosha turishawajua😂😂😂😂
Kamaweye apo umekosalakusema kwanikutafutamaisha nimpaka uendekenyume nama amrishoyamungu?duniya tunapita ayomaisha ataendanayokwamungu
Coz tanga moja.but Niko nje ya tz✍️
Haya sasa wababa mkiambiwa ukweli mnachukia
Nikija huko duka hilo mi mujeni walo
Kumbee uyuu Dada ni mkubwaaa aiseeee
Kuza siyo ukubwa wewe
Dada chuchu Naja uniuzie suti ya mwanangu ya ubarikio
We ndy maraya una mme ukaenda kutembea na Ray uku uko ndan ya nyumba yake unaingiza mwanaume kwenye nyumba ya mmeo kisa yupo nje ya nchi
Acha zako ww au inakuuma nn,,,,,Kwan hyo ndie alkua wakwanza kwake unajua n sabab gan ilyopelekea hayooo wabongo bwana
@@fadhilaongezaongeza226 Apana Alikuwa Mlinzi Wa Ray Ka
Amekatwa Mshahara 🤣🤣🤣🤣🤣
@@estersosthenes8413 kabis
So kuzaa nikawaida tu sio lazima uwe kwa ndoa🤔
Yeah ila nizambi
@@florarose1626 kabisa
Unaujingasana unakuamrahisi kuelezamaishayakoivo
Tanga Kwetu Nikija Ntakutafuta.
Asiwe Frank vunja Bei 2 maana wanawake sisi
Haha Johar bana fred😂
Ya, chuchu Hans nilisikia kusa Kwa ana watoto wengine kama wawil Sijui vile kabla hajazaa na Rey kipind kile nilikuwa nasikia alikuwa anakaa kalibu na uwanja wa ndege
Napendaga hiyo biashara ya duka wasanii wengi wanaipenda. Yupo kama mimi napendaga tembea kwenye ndoto zangu na napangaga hivyo
Ya wanasemaga pesa haikai
Ya, kumbe nimepatia ndio nilisema nilisikia hivyo alikuwa Ana, watoto wawil
Kwani una uzuri gani? Unajidanganya
Nashagaa pia
Ndohapo wazur wanasemaga
Ssss
Ww nae kila mtoto na baba yake
Tema mate chin hakuna anaependa itokee hvyo na akuna anaejua mbere jmn kuzaa kila mtoto na babake sio kwamba mwanamke maraya hpana ila tu ni changamoto zinatokea ikasema labda hyu kumbe mtu analake moyon
Kila mtoto anababa ake kumbe ndio msumbufu
Hongera
Hongera
Masha allaah kumbe unawatoto wengine hongera😍😍
Hongera
Hongera sn mdda n mekupenda bule