RAYVANNY LANDS IN KENYA! KRG THE DON REPLIES TO PEOPLE NOT KNOWING HIS SONGS

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 фев 2023
  • #vincentmboya #rayvanny #krgthedon

Комментарии • 203

  • @Raymond_G
    @Raymond_G Год назад +30

    I think Presenter Ali is the realest interviewer❤️He know how to phrase questions in a nice way🌹

  • @drclaudeclaude9571
    @drclaudeclaude9571 Год назад +22

    Wewe sister mtangazaji wa nywele nyeupe waca madharau,respect wasani wa kwenu kenya.KRG anafanya kazi ya mziki nabidi sana,wewe nakiherehere unamtusi mbele ya mgeni wake,kwa hivo ulitaka kuonyesha rayvanny yakwamba KRG ngoma zake hazijulikani???waca ufala wewe sister mtangazaji wa nywele nyeupe.what go around come around.unaco mfanyia KRG kesho utafanyiwa wewe. My name is (dr claude)msani kutoka burundi

  • @officialjayclassic3614
    @officialjayclassic3614 Год назад +17

    Rayvanny my G.... Mboya naomba kuzungumza nawe sana

  • @norahyrron
    @norahyrron Год назад +16

    But Eve haukufanya poa kudhalilisha KRG Kwa Rayvanny... unprofessional kabisa

  • @mainawilliam6418
    @mainawilliam6418 Год назад +24

    Napenda nyimbo za Rivanyny sana, karibu Kenya

  • @jacklinejohnson4777
    @jacklinejohnson4777 Год назад +3

    Rayvanny anajua miaka Mia sita hamsini,weee mambo imechemka full kisunzi❤️❤️❤️😂😂😂😂😂🇰🇪🇹🇿

  • @supersportyofficialchannel1630
    @supersportyofficialchannel1630 Год назад +52

    Only presenter Ali is asking relevant questions 😅Hawa wengine zii

    • @254shorttrendystories4
      @254shorttrendystories4 Год назад +2

      Ali is a beast ,ni vile tu ufukuswi unamharibu 😂😂

    • @Aleckieofficial254
      @Aleckieofficial254 Год назад +1

      Is because is the best and the king of interview shida tuko na hao wengi they are not professional how can u ask someone or interview someone ukicheka ovyo ovyo mfano Mungai Eve

    • @linkenkenya9174
      @linkenkenya9174 Год назад

      Very true

    • @jonathankasembi9217
      @jonathankasembi9217 Год назад

      Ali is a journalist by Profession amesomea,wengine hapo Ni mmoja wawili najua wameisomea hii taaluma

  • @gladysnganga5387
    @gladysnganga5387 Год назад +22

    This guy is so funny 🤣🤣 bughaaaa

  • @puritykarimi_
    @puritykarimi_ Год назад +5

    Kazi sapi Vincent mboya. I had SUBSCRIBED already

  • @carolynewanjiru4662
    @carolynewanjiru4662 Год назад +26

    Rayvanny my no 1artist ,krg hdy mm cjui ngoma zako myb mambo imechemka 🤣🤣

  • @linkenkenya9174
    @linkenkenya9174 Год назад +3

    Presenter ali is the best interviewer,,he is professional,,hao wengine ni tufukuswi

  • @mungaieve796
    @mungaieve796 Год назад +8

    Keep shinning

  • @mejjaprince3182
    @mejjaprince3182 Год назад +25

    Krg hajai kuwa serious ati maadui😂😂😂😂😂

    • @janetndiku177
      @janetndiku177 Год назад +2

      Ukweli.he is a serious joker.🤣🤣

    • @graceabisaki4156
      @graceabisaki4156 Год назад

      Akii hawezi kosa jibu hyo 🤣🤣

    • @fellybossymachu9212
      @fellybossymachu9212 Год назад

      Wachana na nyimbo zake,ukweli mimi nilimjua wakati Erico alifungwa ukweli.But now i love and follow him

    • @mejjaprince3182
      @mejjaprince3182 Год назад

      @@janetndiku177 😂😂😂😂

    • @mejjaprince3182
      @mejjaprince3182 Год назад

      @@fellybossymachu9212 yeah he is not that famous

  • @iansoipei7566
    @iansoipei7566 Год назад +7

    😂mboyaa the reply manzee I feel the painn💔

    • @DonKhalifah
      @DonKhalifah Год назад

      Your pain is making him money.

  • @bonfacemark9048
    @bonfacemark9048 Год назад +2

    Mimi wasani wenye nyimbo kali nawajua wengi kutoka east Africa Nigeria na Ng'ambo ila sikuwaimskia KRG sukuizi ndio namuona Kwa interviews hapa na pale na Huwa anani inspire sana🙏 . Kwa mziki hapo Mimi kama shabiki wake nmekataa hajui

  • @chemicaliealvadon7669
    @chemicaliealvadon7669 Год назад +2

    Kisii representing🤝

  • @freshamwangishow2117
    @freshamwangishow2117 Год назад +5

    Eve ni kashetani sana she doesn't give others time to ask question

  • @j.jthemd2286
    @j.jthemd2286 Год назад +1

    carry forward those questions,

  • @humphreym4367
    @humphreym4367 Год назад +2

    Maadui ...akina dufla

  • @ashleyjoseph5736
    @ashleyjoseph5736 Год назад +3

    Ali🔥.Mungai Eve ni kuchekacheka tu kwa interview

  • @dorothyshee777
    @dorothyshee777 Год назад +12

    Bhugaaaa 😹 u so funny meanwhile nifikisheni 1k subscribers

  • @naominjoki-4266
    @naominjoki-4266 Год назад +3

    Rayvanny my favorite artist,,,,K.R.G hata cjui Ngoma yko hta Moja but keep it up guys

  • @isaacamani145
    @isaacamani145 Год назад +6

    Ali to the next level. Maswali poa

  • @Noah-zt5zf
    @Noah-zt5zf Год назад +5

    Krg is a business man anafaa akuwe promoter ama manager was wasanii period,not a musician

  • @bosrescores6515
    @bosrescores6515 Год назад

    😁😁😁rayvanny very humble always

  • @themwandus5377
    @themwandus5377 Год назад +1

    Exactly sijui hata moja lakini kibuli

  • @jacklinewambui1580
    @jacklinewambui1580 Год назад +1

    Bythe krg the don anaimba au on a serious note

  • @mwikzkamau8799
    @mwikzkamau8799 Год назад +1

    Ntio maana sija subscribe kwa hii mwanamke anaitwa sijui mungai....shienzi sana

  • @vittorio870
    @vittorio870 Год назад +6

    Oh yeah, rayvanny high as a kite !!

    • @Mina.15
      @Mina.15 Год назад

      No his not he doesn't even drink

  • @babaugalicomedy849
    @babaugalicomedy849 Год назад +1

    KAZI nzuli

  • @alfaryusfilms
    @alfaryusfilms Год назад +2

    Hata cjui ngoma yke yyte

  • @jacksonmwangi7228
    @jacksonmwangi7228 Год назад +1

    Hata Mimi sijui

  • @kariukij2508
    @kariukij2508 Год назад +8

    Ile ngoma yake "NITONGOZE" ft Simba ni hatari sana

  • @mitchellmusyoka
    @mitchellmusyoka Год назад +1

    Mmi sijui ata moja ya krg

  • @shammahboyke
    @shammahboyke Год назад +17

    Watch till end...you'll discover some bluetick 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤝

    • @housinghub.99
      @housinghub.99 Год назад +6

      Ambia watu wasubscribe
      Washaskia.....chest pains

    • @shammahboyke
      @shammahboyke Год назад +1

      @@housinghub.99 waambie kwa niaba yangu

    • @imeldakimani1959
      @imeldakimani1959 Год назад +1

      😂😂😂😂😂😂 wueh inauma

  • @almuhorig1077
    @almuhorig1077 Год назад +11

    Huyu Mungai eve ni Hater sanaa...Kana roho mbaya sana ndio maana kamekonda ...that wasn't the tume or place for such stupid questions ...why we always want to bring each other down ...shame on her

    • @derrickwekesa4604
      @derrickwekesa4604 Год назад

      She's very naive

    • @Mina.15
      @Mina.15 Год назад

      That's why Ako na macho ya makengeza 😂😂😂😂 forehead shine like diamond

  • @iNro64
    @iNro64 Год назад +5

    MUNGAI EVE AMECHOMA

  • @vkykesh001
    @vkykesh001 Год назад

    mbaya mbn rayvanny anakulega kaka

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b Год назад +4

    Bughaa toa ngoma mpya mashabiki zako tunakiu

  • @marysaisi6392
    @marysaisi6392 Год назад

    Eve surely

  • @hotmess7209
    @hotmess7209 Год назад +3

    I never knew don is a singer huwa ata sijui what he does namuonanga tu

  • @Mrvinnyke
    @Mrvinnyke Год назад

    💔👆🏾👆🏾👆🏾👆🏾😭

  • @bonfacemutembei1794
    @bonfacemutembei1794 Год назад

    Uyo jamaa krg akna song zake tunajua...mm sijui ata Moja

  • @vveronicamakori2297
    @vveronicamakori2297 Год назад +3

    Bughaa mwenyewe

  • @scofield6490
    @scofield6490 Год назад +6

    😂😂😂 krg the don

  • @bramwelchidan-hu1ws
    @bramwelchidan-hu1ws Год назад +5

    Just fear women

  • @carolinekimani2436
    @carolinekimani2436 Год назад +2

    Lakini kweli KRG song zake ni gani surely

  • @kennedysimiyu6931
    @kennedysimiyu6931 Год назад

    mko serious krg n muimbi😂😂

  • @miriamchebet6118
    @miriamchebet6118 Год назад +1

    Mimi sijelipwa na sijui ngoma ya KRG

  • @taledaime3094
    @taledaime3094 Год назад +1

    Sasa unamuuuliza apate dem kenya na kabiza unajua ako na mke wake

  • @omwamimwenyewe
    @omwamimwenyewe Год назад

    Presenter Ali the best

  • @JohnsonMaina-qf9cr
    @JohnsonMaina-qf9cr Год назад +3

    Lakini seriously 😂😂 hata Mimi sijui Ngoma za krg the donkey

  • @doctorabdul
    @doctorabdul Год назад

    Tushaskia👍

  • @gracendanu755
    @gracendanu755 Год назад +1

    Aki ukweli sijui wimbo wowote wa krg

  • @ndezyafrica_1330
    @ndezyafrica_1330 Год назад +5

    Mungai alichoma😹😹😸

  • @mutuginewton9416
    @mutuginewton9416 Год назад +2

    Vinnie bro fikisha ujumbe

  • @styvoll2004
    @styvoll2004 Год назад +4

    😂 hakuna maadui bro.. 😂😂

  • @TheOverallShow
    @TheOverallShow Год назад +3

    Mboya, haupatikani

  • @samuelmuendo7902
    @samuelmuendo7902 Год назад +1

    Ata kuhoji mtu surely can Ali teach you guys he has done some journalism maturity muhimu saitani.

  • @kongrey2542
    @kongrey2542 Год назад +1

    Bughaa huchemsha mambo😂😂😂

  • @marymuriithi6678
    @marymuriithi6678 Год назад +5

    "Washaskia"😔😂😂😂

    • @wilberforce2936
      @wilberforce2936 Год назад

      Aki imenivunja moyo na cjafurahia kabisa😟😟😂😂😂

  • @SherriehGNN
    @SherriehGNN Год назад +4

    Leo ndo nimejua "summer time' song ni ya krg na venye tumedance iyo song highschool 😂

  • @morrisneshofficial4624
    @morrisneshofficial4624 Год назад +1

    Hata Mimi sijui hata moja

  • @Harryking001
    @Harryking001 Год назад +3

    mtu wa light na mekup😂😂😂

  • @absolomkiptoon9051
    @absolomkiptoon9051 Год назад +2

    Pia mi sijawai skia Ngoma ya krg

  • @MrNoNonsenseYes
    @MrNoNonsenseYes Год назад +2

    Eve Muingai umemkosea KRG heshima sana, damn 😢

    • @mrima7706
      @mrima7706 10 месяцев назад

      Tena sana mtangazaji ujui uweledi wa kazi yako we ujasomea sector ya journalist ur so stupid so jifunze kuongea point mbele ya mgeni ,,umeniboo we kichwa kama nyumbu we

  • @kongrey2542
    @kongrey2542 Год назад +2

    Presenter ali aulize tu maswali..Lakini mungai eve anyamaze kabisaa..Anachemsha mambo😂😂😂

  • @fancykangogo8645
    @fancykangogo8645 Год назад +1

    Vincent mboya don't mind si tunakupenda sana.

  • @tombimashri8149
    @tombimashri8149 Год назад +1

    Where is Ryvanny from pse

  • @kingkong21458
    @kingkong21458 Год назад +3

    krg ako hapo anasema tupatie muda😅

  • @pdisel3455
    @pdisel3455 Год назад

    Did you see Aide de camp?

  • @djafrokihindimovies7624
    @djafrokihindimovies7624 Год назад +2

    RAYVANY na MUNGAI EVE ❣❣❣❣WATCH this COUPLE

  • @djsmikek9727
    @djsmikek9727 Год назад +2

    KRG ni comedian si musician

  • @brianmwirigi200
    @brianmwirigi200 Год назад +1

    Only presenter Ali and Eve should be allowed to interview pple.hao wengine ni washenzi.very irrelevant questions.

  • @sugutfx
    @sugutfx Год назад

    aaaa🤣🤣🤣🤣 KRG hajulikani....ata hapa Thogonoi hatumjui io tumekataa

  • @funnytube91
    @funnytube91 Год назад

    Hatukujui buda

  • @lydiahmogire4518
    @lydiahmogire4518 Год назад +2

    Tuko wengi ata me sijui ngoma ya KRG ata moja. Chui welcome Kenya

  • @anonymoustim
    @anonymoustim Год назад +11

    Mungai Eve ni mTiaji anachomea msanii wetu kwa mgeni😂

  • @kelvinmwangi22
    @kelvinmwangi22 Год назад +1

    SAA zingine bloggers wanatuangusha

  • @gate2security409
    @gate2security409 Год назад +4

    Sasa maadui Gani bughaa🤣🤣🤣

  • @KambaOnlineMedia
    @KambaOnlineMedia Год назад +5

    Hawa wasanii wa Tanzania wananichekesha 😂😂, hawajui kizungu lakini wanaforce sana,, wanatamani WAONGEE sana

    • @officialnadoboytz1005
      @officialnadoboytz1005 Год назад +1

      Rayvann anaongea kingeleza wewe mamae

    • @riderrider26
      @riderrider26 Год назад +1

      Rayvanny speaks good English, not very fluent but he speaks good English with a relatively good accent as well.

  • @tylakamkora
    @tylakamkora Год назад +1

    Rayvanny ambia watu wa subscribe g hapa sijui mumeskia iyo 😂😂😂💔 iyo imeenda

  • @davidmwangi8973
    @davidmwangi8973 Год назад +2

    Mboya una record muskari kombo akipokea hela😂 7:47

  • @risperladee5718
    @risperladee5718 Год назад

    Hua anaimba POA but..heri ange solve issues zake na konde boy kimya kimya yaniiiii Babu kimya kimya hua ndio UDUME!

  • @TristanKevin
    @TristanKevin Год назад +1

    😁😁😁krg

  • @emmanuelmdawida504
    @emmanuelmdawida504 Год назад +2

    Haki mboya

  • @marvelke3159
    @marvelke3159 Год назад +2

    Si chuki but Eve Huwa anakula mahali hajapanda😂

  • @lyricitstudioscompany5821
    @lyricitstudioscompany5821 Год назад +13

    To be sincere, I don't know any krg's songs

  • @ruthwaitherasshhb9382
    @ruthwaitherasshhb9382 Год назад

    Rayvanny nkt wamesikia ndio nini sasa uwezi jibu Tu vizuri 🥺

  • @johnyyblessed
    @johnyyblessed Год назад +2

    Lakini on a serious note, krg ako na ngoma gani😂

  • @rasaga5482
    @rasaga5482 Год назад

    🇹🇿

  • @edwinmwangi777
    @edwinmwangi777 Год назад +6

    Mungai eve ana burn

    • @iNro64
      @iNro64 Год назад +1

      Ameburn sana

  • @wettakapaul9010
    @wettakapaul9010 Год назад +1

    Krg amna kitu

  • @hovsback1405
    @hovsback1405 Год назад

    Ata mimi sijui nyimbo yoyote ya KRG na sio unafiki

  • @naomihalex6083
    @naomihalex6083 Год назад +1

    Eve anachoma

  • @OMARKOMBO.9984
    @OMARKOMBO.9984 Год назад +1

    Ni bughaa

  • @beverlyneandia1616
    @beverlyneandia1616 Год назад +1

    Songs gani huyu ameimba,alafu Vanny boy hizi camera zenu zinamtoa kama za wa Tecno

  • @kodydasha2533
    @kodydasha2533 Год назад

    Me mwenyewe sikuwa najua alitoa ngoma

  • @roshee_.
    @roshee_. Год назад

    Ngoma ya krg ni kaa gani😂😂

  • @emmanueloinoth
    @emmanueloinoth Год назад +1

    chui