MCHOME MAPOVU APAGWA DUBE NA YANGA KWENDA YANGA/HATUNA HELA TUNAIBA WACHEZAJI/YANGA INAVUTIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 июн 2024
  • #alikamwe #azizki #hersisaid #live_ #mayele #msuva #yanga #yangaleo #yangasc #yangatv
  • СпортСпорт

Комментарии • 30

  • @nicodemusmemba1402
    @nicodemusmemba1402 6 дней назад +9

    Mchome, unasema kweli japo unachukiwa

  • @Izzoh2021
    @Izzoh2021 4 дня назад +2

    yanga wapo vyema sana mpaka kiongozi mkubwa nimchezaji inginia tofaut kabisa na team nyingine bg up kwa yanga

  • @carrenbenson2111
    @carrenbenson2111 6 дней назад +4

    Kweli mchome ulikuwa nzuri Sana, engender anajua boli

  • @user-nm2jq7xo5f
    @user-nm2jq7xo5f 6 дней назад +4

    Nimesema nnitasema mchome nimkweli na nimuumini wa ukweli tatizo Simba mnapenda kudanganywa ndio maana kufanikiwa inakuwa vigumu Sana kumbuka dunia imekua kijiji

  • @makejamaduhu7618
    @makejamaduhu7618 5 дней назад +1

    Ni kweli kabisa mchome ni aibu sana kugombania mchezaji na coastal union

  • @dismanManota
    @dismanManota 6 дней назад +3

    Msemakweli sana bro

  • @jseventz
    @jseventz 6 дней назад +3

    uko sawa simba imeshuka daraja

  • @EagerCardGame-kh6mb
    @EagerCardGame-kh6mb 5 дней назад +2

    Oy we daaahhh jamaa uyu

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 4 дня назад +1

    Huyu siyo mwanachama wasimba nyinyi waandishi mnakazania mama kindakindaki hamuoni aibu huyu ni bwabwa la yanga

  • @user-nm2jq7xo5f
    @user-nm2jq7xo5f 6 дней назад +2

    Nikweli simba inatia huruma

  • @user-yk6rd9xe2z
    @user-yk6rd9xe2z 5 дней назад +1

    Mchome ni tahira shida njaa kali

  • @AyubuMsindo
    @AyubuMsindo 5 дней назад +1

    Chawa bhana

    • @user-iz3hs8jl5p
      @user-iz3hs8jl5p 5 дней назад +1

      shida kubwa kolo hampendi kuambiwa kweli ndo maana mnamwita chawa

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 4 дня назад

    Simba mmekwisha,mnagombea mchezaji na Coster????😢😢😢😢

  • @user-qg8rp7kl6o
    @user-qg8rp7kl6o 6 дней назад +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 4 дня назад

    Madunduka na Coastal ni kama KAMBALE ---- Baba sharubu --- Mtoto sharubu " hajulikani mkubwa yupi,motto yupi "

  • @franccoz94
    @franccoz94 6 дней назад +3

    MANGUNGU MFUNGIE MCHOME KUSHABIKIA SIMBA 😂😂

  • @methodpeter1323
    @methodpeter1323 6 дней назад +1

    mchome mpuuzi mmoja Simba Gani weweee usidhan sie mafara kama wewe unaboa jiamin nenda natimu yako uto

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 6 дней назад +3

    Mchome unatumwa kuisema vibaya simba kila interview zako lakini kuna siku yako inakuja

    • @vincentdaud9954
      @vincentdaud9954 6 дней назад +1

      Acha ujinga . Kolo mbovu ya nini hata wewe njoo yng upate raha

    • @dismanManota
      @dismanManota 6 дней назад +1

      Aa wap maneno ya wakosaji wajinga wajinga

    • @reinfridlipili5666
      @reinfridlipili5666 6 дней назад +2

      Huyo sio shabiki OYAOYA...Ni MKWELI na daima watu hawa huwa hawapendwi! Hata wewe unajua Yanga ikoje kwa sasa!

    • @MhinaKulewa
      @MhinaKulewa 5 дней назад +1

      Ukweli ni hazina

    • @magrethmakauki235
      @magrethmakauki235 5 дней назад

      Tatizo ni mkwel