PAZENI SAUTI - Ray Ufunguo | Kwaya ya Mt. Cecilia Hai Mjini

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 57

  • @DjTijay254
    @DjTijay254 6 месяцев назад +2

    Miondoko kweli kweli...😊❤❤❤

  • @DanielKyenze
    @DanielKyenze 5 месяцев назад +1

    Mimi ni mkenya, but my role model in music is Dr. RAY UFUNGUO kutoka majuu... yaani Tz. ( kubali nikuite Dr. Kwa sasa mkuu. I like your songs.)

  • @davincimoviestories5111
    @davincimoviestories5111 Месяц назад

    Nimeuona leo asubuhi tv tumaini baada ya hapo nikausachi RUclips. Hon̈gereni sana wimbo mtamu sana. Na video tamu

  • @victorombay6625
    @victorombay6625 6 месяцев назад +1

    Natamani niusikie kwenye speed ndogo kiasi nafikiri ingekuwa bomba sana kwa sababu ujumbe ni WA kutafakatisha zaidi, kiibada zaidi badala ya kuburudisha

  • @AntonyShitente
    @AntonyShitente 6 месяцев назад +1

    😍😍😍😍HONGERENI SANA, KAZI NZURIII MNOOOO,,,, MUNGU ATUKUZWE MILELE,,, Hakika kaka @RAY Mungu akubarikiii...🤗

  • @BarakaSechu
    @BarakaSechu 6 месяцев назад +1

    Sifa za Mungu zinajitangaza kupitia wimboo huu Mungu azidishe utume ndani yenu wa Seslia hai mjin.

  • @tomowili
    @tomowili Месяц назад

    Tamu...utupatie lyrics tuimbe along

  • @SusanAkello-i9j
    @SusanAkello-i9j 6 месяцев назад +1

    Nyimbo tamu saaaana usichoke kumtumia Mungu wetu

  • @joanwambura
    @joanwambura 6 месяцев назад +1

    This one has a nice child-like demeanor you just have to smile 😃✨🤍

  • @johnkeya3293
    @johnkeya3293 6 месяцев назад +1

    😮😮

  • @evelynesakalla3798
    @evelynesakalla3798 6 месяцев назад +2

    Mungu azidi kuwainua siku zote . ❤❤❤❤❤

  • @Prisca_Regine
    @Prisca_Regine 6 месяцев назад +1

    Kibao Kizuri Sana hiki🔥🔥💪💪 Tangazeni sifa za Mungu wetu🙌

  • @batistamngullu9235
    @batistamngullu9235 6 месяцев назад +1

    Sifa za Mwenyezi Mungu zitangazwe kila siku ❤ Hongereni Sana Wana wa Mt Sesilia Hai Mjini 😊

  • @LaudisLiveti
    @LaudisLiveti 5 месяцев назад +1

    Wow hongeren san ❤❤❤

  • @ngatholinahnjeri
    @ngatholinahnjeri 6 месяцев назад

    Lovely❣️Sweet❣️very very Creative ❣️❣️❣️
    This is going to be an anthem soon🤗🤗🤗

  • @margaretngunura2770
    @margaretngunura2770 6 месяцев назад +1

    Wow wow wow...
    Wimbo mtamu sana ❤
    Hongereni sana 👏👏👍

  • @mZeeBabu123
    @mZeeBabu123 6 месяцев назад +1

    Kazi safi sana

  • @albanTz001
    @albanTz001 6 месяцев назад +1

    Kazi safi❤

  • @GastonCanuty-tx6pp
    @GastonCanuty-tx6pp 6 месяцев назад +1

    Congratulation Ray ufunguo

  • @gabrielkweka8612
    @gabrielkweka8612 6 месяцев назад +1

    Ni moto wa kuotea mbali..hongeren sana kwaya ya mt cesila hai mjini..nawakubal

  • @pharilenelima4014
    @pharilenelima4014 6 месяцев назад +1

    May God bless you all mnapotangaza sifa za mungu🙏

  • @GraceMbiki-x7h
    @GraceMbiki-x7h 6 месяцев назад +1

    Amazing sana

  • @SmilingMonarchButterfly-kh4ve
    @SmilingMonarchButterfly-kh4ve 5 месяцев назад +1

    Waah 🤗🤗❤️❤️❤️

  • @GraceMbiki-x7h
    @GraceMbiki-x7h 6 месяцев назад +1

    Amazing sana, kwakweli tunawajibu wa kutangaza sifa za Mungu wetu ulimwenguni koote

  • @paschalduyi9323
    @paschalduyi9323 6 месяцев назад +1

    🎉🎉🎉

  • @DM.2200
    @DM.2200 6 месяцев назад +1

    Amaizing ❤

  • @Ntanguligwa
    @Ntanguligwa 6 месяцев назад +1

    Nice fam❤

  • @JACLINEMNENE
    @JACLINEMNENE 6 месяцев назад +1

    😘😘

  • @Arati3
    @Arati3 6 месяцев назад +1

    Nice❤

  • @felisterligwa
    @felisterligwa 6 месяцев назад +1

    Safi sana Mungu azidi kutukuzwa

  • @kwaya_ya_mt.agustino_wa_hippo
    @kwaya_ya_mt.agustino_wa_hippo 6 месяцев назад

    Oooh wonderful 👏

  • @DanielKyenze
    @DanielKyenze 5 месяцев назад +1

    Mimi ni mkenya, but my role model in music is Dr. RAY UFUNGUO kutoka majuu... yaani Tz. ( kubali nikuite Dr. Kwa sasa mkuu. I like your songs.)