Sheikh " Swaum Ramadhan" je yafaa kula au kunywa pale tu Muadhini anapoanza kuadhini? au mpaka amalize ndio tunaruhusiwa kufungua Swaum " mana imeandikwa hairusiwi hata kusoma Quran ikipigwa Adhana " alaf upande mwengine tumeambiwa hatutakiwi kuchelewa kufungua Swaum pale tu muda muafaqa ukifika " sababu baada ya Adhana kinachofuata ni Swalat " na unaruhusiwa kutafuna wakati umeshafunga Salat? Wabillah Taufiq wa hadha ASALAAMALEYKU Warahmatull Llah wabaraqaat
Shuqraan jazzakalakher sheikh wetu maa shaa Allah
na je kusalii witri rakaa moja tu inaswihi?
😂😂😂😂nacheka tu huku
Barak Allah kheri
𝐉𝐚𝐳𝐳𝐚𝐤𝐚𝐥𝐥𝐚𝐡𝐤𝐡𝐚𝐢𝐫𝐲
Asalam Aleykum samahan nimekuuliza swali wasap naomba unijibu