NMB YAZINDUA AKAUNTI YA AKIBA "WEKEZA ACCOUNT"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 9

  • @FrankHamis-i9b
    @FrankHamis-i9b Месяц назад

    Naomba kupewa maelezo zaidi nmeipenda iyoo

  • @jeniphakavishe3646
    @jeniphakavishe3646 2 года назад +1

    Je naweza kufungua hio account nakuiblock ndani ya mwaka 1 nakuiunlock?

  • @andrewkibona6798
    @andrewkibona6798 Год назад

    Mimi ninataka kuwekeza kwenye WEKEZA ACCOUNT lakini kabla sijafanya hivyo lazima nilinganishe faida ya kuwekeza kwenye WEKEZA ACCOUNT AU FDR. Ninachoomba nipewe WEKEZA ACCOUNT CALCULATOR Kama ambavyo nimeiona CALCULATOR ya FDR.

    • @eldahussein1249
      @eldahussein1249 Год назад

      Kwa FDR wanatoa riba kiss gani ukilinganisha na huduma hii ya wekeza acc

  • @freefilmpro
    @freefilmpro 2 года назад +1

    Nimeenda NMB wamenambia hii account haipo

  • @beatriceeliah9340
    @beatriceeliah9340 3 года назад +1

    Iyo asilimia kumi na mbili maana yake kwa mwaka inalipwa asilimia 24 au

    • @wakunatahafai1969
      @wakunatahafai1969 3 года назад

      Ndo hivyo maana yake 12% June na 12% ingine tena December ,tuboreshe Maisha Tu Bonge la mchongo NMB kiboko🙌🙌🙌

    • @kiumbesambo6958
      @kiumbesambo6958 2 года назад

      Tatizo utiritimba mwingi sanaa

    • @margreth-rz6sr
      @margreth-rz6sr Год назад

      Unajiungaje