Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Niwa 17 leo nipeni like wapenzi kuchelewa sio kuacha kufika nimewochi ❤❤❤❤❤
Muko vizuri sana hongera 🎉🎉
Gutale Yuko huku pia hahahaha,,
Tuwaombee ndugu zetu wa kariakoo
Baba wa uruma Awa okowe watu wa Congo tuna wa ombeya
Mungu awafariji wote kariakoo
Mbona jamani mm celew
Tuko wengi usijali boss
Jaman hii kumbukumbu ya nyuma mbona haiishi 😢jmni mwatusinyaaa jmnii irudi kule kwa mfungwa🤔🤔
Angalia ili ujue kwa nn uyo mfungwa alifungwa ili upate kujua chanzo ni nn
😂😂😂😂😂😂😂😂@@Scolayusuph558
Kule kwa mfungwa ndo iliishia saii tunapata kujua kwa nini mfungwa alifungwa na kutoroka ile siku
Kumbe tuko wengi tulio chaganyikiwa mm ata sijui movie imefika wapi maana sio kwa kuchanganyikiwa uko
Me nawaag jamn imenishind move imeanza vizur uku atasielew by by
Usiende nawe😂😂saii yule mfungwa anamuelezea daktari jinsi ilivyo kua mpaka kufungwa na kutoroka😅
Oooh ata mm sikua naelewa kumbe niivyo ngoja nikae kwa kutulia sasa
Pole yako lkn usiende tunafika kuelewa sasa
Wee chiko wee umejuwa kutuonyesha unaweza sana❤❤❤❤
oya leo nimekua wa kwanza mnifanye nifrahi wajameni😅😅😅
Naipenda Sana hii tamthiliya👌
Good job
Leo nimekuwa wa2 jmn naomba like zenu ply🎉🎉😊😊😢🎉
❤❤❤
Kwa wale wenye mnasema hamueli hii movie ni hivi....waliianza mwisho tukaonyeshwa mfungwa akitoroka na kupigwa risasi hatimaye kufaulu saii ndo tunaonyeshwa chanzo cha yote hadi kufikia huko kwa kufungwa😂😂😂😂are we 2 getha😅😅😅
Jamani wanao ielewa hii movie please twelezeni na sisi mabunga lala ili twendeni kwa pamoja
❤❤❤❤❤🎉🎉
𝗠𝗠 𝗹𝗲𝗼 𝗻𝗶 𝘄𝗮𝗸𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗺𝘂𝗻𝗶𝗽𝗲 𝗹𝗶𝗸𝗲𝘀 𝗷𝗮𝗺𝗲𝗻𝗶
Next plzz ya 7